kubaki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Siku hizi hakuna haja ya kubaki na mapengo tiba zipo za meno bandia

    Wana JF habari za Jumapili , ikiwa una tatizo la mapengo unaweza tabasamu upya kwa kuwekewa meno bandia ya kudumu kwa gharama rafiki Tazama jinsi mama wa miaka 67 alivyotabasamu kwa mara ya kwanza tangu apoteze meno yake akiwa na miaka 45 🙌🏿😁 Hapo chini Nimekuwekea Picha Kabla na Baada Ya...
  2. Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la kibali cha kupeleka maombi ya kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Mpango kuendelea kubaki madarakani

    Mahakama Kuu imetupilia mbali ombi la Wakili Tenzi Anthony Nyundulwa (Mleta Maombi) la kuomba kibali cha kupeleka maombi Mahakama Kuu kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango kuendelea kubakia madarakani kufuatia taarifa za kuwasilisha barua ya kujiuzulu katika nafasi hiyo...
  3. Ushauri: Niendelee kubaki Private institution au niende nikafanye kazi ya mtu binafsi

    Habarini wana jamvi. Kutokana na vijana wengi waliopata nafasi za kuajiriwa kwa mikataba ya muda maalum katika mashirika binafsi hujikuta kuendelea kuomba nafasi sehemu zingine huku wakiwa bado wapo katika mikataba yao ya awali. Binafsi nimejikuta nimesomea fani ya Ujenzi nikiwa chuo as a...
  4. Erling Haaland asaini mkataba mpya kubaki Man City mpaka 2034

    MSHAHARA WA ERLING HAALAND NDANI YA MAN CITY Thamani ya Mkataba Jumla £260,000,000 (Tsh. Bilioni 798.6) Kwa Mwaka £26,000,000 (Tsh. Bilioni 79.8) Kwa mwezi £2,166,666 (Tsh. Bilioni 6.6) kwa Wiki £500,000 (Tsh. Bilioni 1.5) Kwa siku £71,428 (Tsh. Milioni 219.4) Kwa Saa £2,976 (Tsh. Milioni...
  5. K

    Haya mazungumzo ndio ya kumkamata Slaa?!! Mbowe kweli anapewa msaada na dola kubaki CHADEMA?!! Mbowe aaminiwe ama amegeuka kua dalali wa watawala?!

    MODERATORS: Tafadhali msiunganishe Uzi huu kwani una umuhimu,unatoa insights kadhaa za miaka mitatu nyuma na yajayo. Kwa mustakabali mpana wa yanayojiri kwa Slaa,Mbowe,Lissu na CHADEMA kwa sasa,nakuomba ungana nami kwa dakika chache tutafakari na kuamua baada ya kusoma,kutazama na kusikiza...
  6. Swali fikirishi, ni kwanini Mbowe anatumia nguvu kubwa kubaki madarakani?

    Wasalaam Inashangaza sana kuona mtu mzima bwana Mbowe anatumia nguvu kubwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ili hali wanaCHADEMA wamemkataa na wanataka mabadiliko ndani ya chama na nchi kwa ujumla. Iko wazi kabisa Mbowe anashirikiana na maCCM kuhakikisha anaendelea kuwa madarakani na kuendelea...
  7. Pre GE2025 Ni dhahiri Lissu akishindwa Uenyekiti hawezi kubaki CHADEMA. Akibaki naye atakuwa Walewale tu

    Habari za Leo. Hakuna kitakachomfanya Lisu aendelee kubaki CHADEMA. Lisu anagombea uenyekiti ili aisafishe CHADEMA Hasa kwenye Safu ya juu ya uongozi ambayo anaishutumu imechafuka kwa Rushwa na matendo ya kifisadi. Ikitokea Lisu amepigwa chini. Na uongozi ule anaosema umechafuka kwa Rushwa...
  8. Yanayoendelea CHADEMA yanadhihirisha kwa nini wananchi walichagua kubaki na chama kimoja

    Watanzania waliwahi kuhojiwa rasmi juu ya mfumo wa vyama vingi au kimoja. Majibu yao yalikuwa wazi na ya moja kwa moja kwamba wangependa kubaki na mfumo wa chama kimoja. Mwalimu Nyerere aliona ni vyema kukataa maoni hayo kutokana na mashinikizo ya mabepari. Lakini uhalisia wa mambo unaendelea...
  9. Hongera sana Mbowe kwa msimamo wa kubaki CHADEMA. Tambua kuwa mpango wa kukuondoa ulikuwa kuua Chama. Nashkuru umegundua hilo

    Hongera sana Mh Mbowe kwa msimamo wa kiume wa kubaki CHADEMA, tambua kua mpango wa kukuondoa wewe ilikuwa kuua chama nashkuru umegundua hilo. Mh Mbowe hongera sana ufahamu wako umefunguka kama nilivyokuombea. Mh Mbowe mpango wa kukuondoa CHADEMA ilikua kuua chama kwasababu Lissu ni mharibifu...
  10. Diddy kubaki jela hadi 2025, akosa dhamana tena

    Mahakama ya New York, Marekani imekataa ombi la Msanii, Sean “Diddy” Combs kutaka kuachiliwa kwa dhamana na kuishi katika nyumba binafsi (Appartment) wakati akisubiri kesi inayomkabili ya mashtaka ya usafirishaji wa Binadamu kwa ajili ya unyanyasaji wa kingono kuanza kusikilizwa mwakani 2025...
  11. Wananchi wakubali yaishe, bangi kubaki historia Tarime

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama ikiwemo jeshi la polisi, jeshi la akiba pamoja na wananchi imefanya operesheni kubwa ya kihistoria kwa muda wa wiki tatu katika wilaya ya Tarime na Serengeti, mkoani Mara kwa lengo la...
  12. Nini chanzo cha nyumba nyingi zinazojengewa Tanzania kubaki mapagala yaliyogeuka magofu?

    Katika mambo huwa yananishangaza na kunifikirisha sehemu mbalimbali za nchi hii ni uwepo wa majengo mengi ya nyumba za watu walionza kujenga kubaki bila kumaliziwa(mapagala) kwa muda mrefu sana na hatimaye kugeuka magofu. Tatizo huwa ni nini? Ni ujenzi wa kukurupuka? Ujenzi bila kuwa na...
  13. Mafuta gani yanafanya kubaki na ngozi asilia, bila kubadili mwonekano.

    Salaam wanajukwaa huru la urembo, mitindo na utanashati yaani lifestyles..... Mimi ni mwanaume mweusi (weusi wa chocolate yaani maji ya kunde), recently natamani sana nibakie kwenye weusi wangu asilia yaani from my origin. Kipindi cha nyuma like few years past niliona kunga'aa ni good looking...
  14. J

    Mwanafunzi anayedaiwa kuchapwa viboko na kumuacha na uvimbe na makovu Dodoma

    Mwanafunzi wa shule ya sekondary mnadani iliyopo mkoani Dodoma ameonekana akiwa amevimba mikono na akionesha makovu kwenye sehemu ya mwili wake akidai ni moja ya mwalimu ndo alimpa adhabu hiyo
  15. Mpenzi wangu anakula sana kupitiliza, nimechoka hii tabia yake...

    Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee. Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu. Jana tumetoka out nikaagiza kongoro yeye akaagiza kuku mzima, minikajua atakula kiasi then abaki tunamfunga...
  16. Tumalize Ubishi hapa: Ipi bora kati ya Chama kubaki Simba au kwenda Yanga?

    Salaam Wakuu, Kama ilivyo ada inapofika mwisho wa msimu baadhi ya Wachezaji pia humaliza mikataba na timu zao, Miongoni mwa Wachezaji waliomaliza mikataba yao kwa nchi yetu ni Cloatus Chota Chama ambaye kwa sasa anakipiga mitaa ya Msimbazi Kariakoo. Kutokana na umahiri wa mchezaji huyu...
  17. D

    Chama kubaki Simba ni dalili mbaya

    Chama is an amazing player no doubt. but he doesn't give everything to the team. to let a foreign player act like a coward and still keep him at any cost, simba has disciple issues. #These foreigners come to our league to improve our players. the moment he act like, he is bigger than the...
  18. Tetesi: Aziz Ki anataka Dola laki tano kubaki Yanga

    Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5. Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
  19. Je? Nikifaulu oral interview utumishi naweza kubaki database?

    Habari wanajf, kuna suala ambalo linanitatiza naomba wenye uelewa wanisaidie!! Iko Hivi Mimi nina Diploma ya Civil engineering (Civil technician) nikafanya Oral interview ya ( VOCATIONAL TEACHER II PLUMBING AND PIPE FITTINGS) ambayo ilihitaji mtu mwenye diploma ya civil nikafaulu ila kutokana...
  20. tukisema turudie kuhakiki NIDA,PASSPORT na hati za ardhi tunaweza kubaki mdomo wazi

    nakumbuka niko kwa madiba jamaa yangu alibahatika kupata uraia na kupata kitambulisho cha taifa ila kiligeuka mateso kwake sababu si rahisi hata mwenyeji kila mtu kupata kutokana taratibu zake. ukija huku kwetu yani nahisi hata mchina kukuta ana kitambulisho cha taifa,swala la passport ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…