Kamwe mtu ambaye hana nguvu wala mamlaka hawezi kufanya maamuzi sahihi na yenye tija kwa wale anaowaongoza.
Pia kinga ya Rais ibaki kama ilivyosasa kumtoa wasiwasi wa kufanya maamuzi na kutoa amri. Unapokuwa na wasiwasi pamoja na uoga wa kukosea huwezi kufanya kazi kwa ufanisi na uhuru.
Kitu...
Kijana huyo ambae hajafahamika majina alimponda mbwa na jiwe jana usiku majira ya saa 2 usiku.
Tukio hilo la kustaajabisha liliyokea/limetokea Ukerewe Nansio maeneo ya Bakwata (Musoma road) mwisho wa lami.
Picha kukujia punde
Salaam Kwenu wakuu!
kama Kuna members walishawahi kupitia changamoto ya kurukwa na akili naomba wanisaidie uzoefu wao.
Nifanye Nini natamani sana kujua yafuatayo kutoka kwao.
1. Ukirukwa na akili maisha unakuwa unayatafsiri katika namna ipi katika angle ya Pesa, na mapenzi?
2. Mtu akikuita...
Awali ya yote, nipende kumshukuru Mungu mwenyezi atupae uhai na uzima bure, pamoja na afya kwa wana jamii forum wote. Afya njema iko juu ya mali na utajiri. Afya bora ni zaidi ya umaridadi au umashuhuri, na tena afya ni zaidi ya kutokuwa na ugonjwa. Zipo tafsiri mbalimbali juu ya afya ikiwemo...
Wanawake kubadili majina yao ya ukoo (surname) baada ya kuolewa na kufuata majina ya waume zao ina onyesha au kuashiria hali ya utegemezi wa mwanamke kwa waume zao, mwanamke kufuata jina la mume wake baada ya kuolewa kunaashiria kuwa yeye ni mali ya mwanaume (mume wake), na anakosa mamlaka ya...
Serikali ya Rais Samia Suluhu itatumia kiasi cha Tsh. Bil 130/- kwenye ujenzi wa kituo cha kupooza umeme Chalinze mkoani Pwani. Kituo hiko kinatajwa kuwa kikubwa, na cha kwanza nchini ambacho kitakuwa na jukumu la kupooza umeme unaotoka katika bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP).
Mradi huo unaitwa...
Tanzania ni moja ya nchi chache barani Afrika ambazo zimebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi sana ikiwemo madini, lakini isivyo bahati pia ni miongoni mwa nchi ambazo hazinufaiki na madini hayo hii ni kutokana na technolojia duni ikiwepo ni ukosefu wa nishati ya umeme ya uhakika ya kuendeshea...
Kwema Wakuu!
Huenda ukawa unajiuliza ni Kwa nini Taikon anapenda kujadili masuala ya familia, ndoa, na wanawake. Kwa kifupi tuu ni kuwa Msingi Mkuu wa Jamii ni Familia Bora, familia Bora ni matokeo ya ndoa iliyofuata misingi ya uadilifu. Familia Bora huleta jamii Bora, jamii Bora huzaa taifa...
Mwanangu George Mpole hongera sana kwa kuonyesha juhudi uwanjani katikati ya ligi iliyojaa wageni wengi, juhudi zako zinatamanisha wapenda soka wote duniani. Lakini lakini lakini bado unahitaji kuonekana tena tena kwa wadau wa mpira ukirudia kukifanya hiki ulichokifanya kwenye msimu huu ili...
Tundu Lissu kwenye maria space ameulizwa anaamini Mhe. Rais atafanyia Kazi Yale waliyojadiliana? Kwa majibu yake ni kwamba, kipimo kinaanza na kesi ya Mbowe. Asipomtoa tarehe 18/02/2022 ni shauri yake. Picha amepata ila furaha iliyotokana na hiyo picha itaondoka Kwa zaidi ya 50%.
Wakimnyima...
Wakuu nawasalimu kwa jina la jamhuri ya JMT.
Nataka tujadili katiba iliyopo kwamba vitu gani vibaki, viondolewe kabisa au kufanyiwa marekebisho. Mimi ninawaleteeni ibara tatu ambapo ya kwanza naona ibaki ilivyo, ya pili ifanyiwe marekebisho na ya tatu iondolewe kabisa. Ukizisoma ibara hizo kwa...
Katambi avunja gome ya Upinzani Ushetu " Tunahamia CCM hatuwezi kubaki kwenye chama kinachosusia kila Uchaguzi " Je Nani ni Nani leo kati ya ACT-Wazalendo na CCM-Tanzania
"Tutampa Rais Samia ushindi mnono kama shukrani yetu kwake -wapigakura "
Katika Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Hayati Elias...
Wasalaam,
Leo ilikuwa maadhimisho ya cku ya demokrasia duniani ambapo kwa hapa tanganyika mgeni rasmi alikua mh Rais wa JMT. Sasa nimesikitika na vijembe alivyokua akirusha wakati akihutubia ikiwemo kauli za kibaguzi dhidi ya wanaume.
Mh Samia hajaongelea hali ya demokrasia hapa tanganyika...
Watz wanawasiwasi na chanjo ya uviko 19 kutoka kwaabeberu.
Hata hivyo vitabu vyote vya elimu mashuleni, vya mitaala, kiada kwa miaka zaidi ya 10 vinafadhiliwa na pesa za mabeberu.
Ukitafakari kwa kina utaona kabisa ule usemi wa kimombo usemao
if you want to destroy any nation without war...
Nafasi ya uwaziri, tena wa Afya ni eneo sensitive sana, tena kwa kipindi kama hiki ni more sensitive.
Kwa kipindi hiki cha mgawanyiko mkubwa wa mitazamo kuhusu chanjo kwenye taifa letu,sio hekima kama waziri,msomi na mtaalamu kuzungumzia mambo binafsi ya mtu mwingine.
Hivi work ethics za...
Siku ya leo ni nzuri sana, kwasababu sehemu nyingi nilizotembelea zilinishangaza na kunifanya nikodoe macho hadi kukaribia kutoka. Mvuto wa sehemu hizo utaendelea kubaki mawazoni mwangu kwa muda mrefu sana. Kama kawaida ikiwa ni siku nyingine katika mfululizo wa matembezi yangu katika Mkoa...
Mwanaume mmoja kutoka Kijiji cha Gichugu Kaunti ya Kiriyanga nchini Kenya ameharibu mazao yanayokadiriwa kuwa na thamani ya Shilingi za Kenya 200,000 (sawa na Tsh. milioni 4.3 ) baada ya mke wake kukataa kubaki nyumbani kusherekea Siku ya Kina Baba Duniani.
Kwa mujibu wa mashahidi, mwanaume...
Baada kuleta hasara kubwa ya maisha ya watu na kuharibu mali kwa miaka takriban 10,Hatimae Marekani imeamua kuondoka nchini Afghanistan ikiwa ni sharti muhimu katika makubaliano yake na wanamgambo wa Taliban.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.