Na Shemasi Jimmy 0659 611 252
Halleluja watu wa Mungu, maandiko yanasema apendaye mafundisho hupenda maarifa, karibu tujifunze kwani elimu haina mwisho. Leo tutajifunza kwa habri ya kukubali kukaa chini ya mchakato au maandalizi katika kuelekea hatima ya ndoto zako huku tukimtazama Yusufu...