Unapiga porojo kuwa tuna helikopta za usaifiri tu. Kwani nini msiwe na kunyanyulia mizigo?
Pesa zipo lakini mnaelekeza kwenye mashangingi na ufisadi tu.
Kama tungekuwa na aerial cranes hata nne. Moja kanda ya ziwa, nyingine kusini, kaskazini na pwani ndungu zetu tungewaokoa.
Huyu mtoto anajeuri sana, mimi nimeshindwa kuvumilia.
Namuomba mwakinyo kubali kupigana na twaha Ili ujiweke fiti zaidi pambano lako na twaha litakupa nguvu zaidi Kwa mapambano yajayo njoo umpasue huyo tumechoka na madharau yake.
Miezi nane ijayo Raisi Samia atakuwa madarakani kwa mwaka wa pili tangu amrithi hayati John Magufuli na hadi sasa atakuwa amejifunza mengi na sasa unaonyesha kusimama ingawa bado, kuna figisu za hapa na pale. Kuongoza nchi ni kazi ngumu ambayo pia yahitaji maamuzi magumu pale unopoona pahitaji...
Bado nawashangaa sana watu waliokuwa wanaibeza Royal Tour na kusema kwamba Rais Samia Suluhu anapoteza muda bora katiba.
Mimi nafikiri sasa watanzania tunapaswa kutambua kuna vitu vya muhimu zaidi kuliko katiba, hivi royal tour ingefanyika saa ngapi kama mama angeanza na katiba?
Hivi mnahisi...
Nchi hii tuna Katiba inayotuongoza, tuna sheria, kanuni na taratibu mbalimbali pia zinatuongoza.
Kwa suala la Wabunge wanawake kutoka CHADEMA ninakuomba kubali yaishe tuendelee a mengine. Uwe kama Pilato.
Wewe huna kosa bali unatekeleza na kufuata sheria. Nisingetumaini pia kesho...
Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai.
Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha...
Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kuelimika na kujua kiingereza hapa nchini kwetu. Kwasabb lugha yetu ya kufundishia ni kiingereza.
Hivyo ili mtu aweze kuipata elimu kwa kiwango kikubwa lazima aifahamu vema lugha ya kiingereza maana ndiyo iliyobeba taarifa zote zinazotakiwa na mwanafunzi...
Leo kwa mara ya kwanza Rais Samia amekuja hadharani na kukiri wazi kuwa anaongoza serikali iliyogawanyika vibaya, amezungukwa na wasaidizi wanao mhujumu wazi wazi na yuko kwenye vita kali ya kuupambania urais wake kwa hali na mali. Hali ni tete mnoo kwake, na hatakubali!
Bila kumumunya maneno...
Hizi biashara zetu ijalishi ni biashara gani!
Ila biashara ukiona mnafanya zinafanana na wote mpo eneo moja au soko lenu lipo sehemu mmoja, kubali haya:
• Chuki
• Wivu wa wateja, masoko, kuuza
• Ushirikina
• Kuchongeana kwenye taasisi TRA au idara mbalimbali
• Fitina za kibiashara nyingi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.