Kijana acha kubeti, amua kuachana na utumwa huo bettingi haitakuacha salama
Katika betting sio tu unapoteza pesa bali unapoteza na uwezo wa kufikiri, ubunifu nk
Betting inaweza kuathiri sana akili ya mtu, na mara nyingi athari hizi hujikita taratibu, hivyo kuwa ngumu kugundulika mapema. Athari...