kubeti

  1. R

    Nimefuatilia sana sijawahi kuona kijana wa CHADEMA kwenye mabanda ya kubeti na kamari

    Hii sijui imekaaje au ni kwa kuwa hawaoni fursa huko? Au je, ni kwa vile ni vijana wanaojitambua hivyo hawana muda wa kupoteza? Naapa kabisa mbele yenu wana jukwaa ktk utafiti wangu mdogo kuanzia Dodoma, Morogoro, Dar na Zanzibar sijawahi kuona Vijana na wafuasi wa Chama cha demokrasia na...
  2. T

    Mbinu gani umetumia kuachana na uraibu wa kamari aka Kubeti?

    Katika miaka ya hivi karibuni hapa nchini Tanzania.Michezo ya kubashiri aka kamari/kubeti imekuwa ikishika hatamu kwa vijana, kitendo kinachopelekea kuzaliwa kwa waraibu/ walevi wa kamari (gambling addicts). Nina imani humu kuna watu waliokwisha pitia uraibu huu na kufanikiwa kuuacha. Naomba...
  3. MINESOPOTAMIA

    Ni siku gani kubeti kulitaka kukutoa uhai?

    Kuna jamaa mmoja alikuta timu ipo dakika ya 67 na inaongoza goli tatu kwahiyo akaipa ishinde na akatia ada yake pale. Mchezo uliisha 3 - 3! Kuna maumivu makubwa sana kwenye kubeti, wewe kilikukuta nini mpaka ukaona roho itaacha mwili?
  4. N

    Nafasi za kampuni za kubeti kwa maendeleo ya taifa

    Tasnia ya michezo ya bahati nasibu inakua kwa Kasi ya ajabu kutokana na kuongezeka kwa watumiaji wengi wa intaneti, na kukua kwa miamala ya kifedha. Kwa miaka ya hivi karibuni Tanzania imezidi kuwa Soko pendwa katika biashara hii inayotajwa kushika nafasi za juu kuwa na mkwanja mrefu. Je...
  5. Narumu kwetu

    Kuwa makini na hizi kampuni zifuatazo za kubeti maana ni matapeli

    Kuna makampuni matatu ambayo kiukweli usijaribu kuweka dau refu au usiwategemee sana pindi unapobashiri michezo mbalilili. 1.Gal spot Betting; hawa jamaa siku wakiliwa sana wanazima mtandao,au wakiona kuna mechi zimekaa mkao wanahofu watapigwa lazma wazime mtandao.Ukiweka dau kubwa kuanzia...
  6. Mnyakyusa5000

    SoC02 Acheni kutusimanga sisi wasomi wa Tanzania

    Sio kwa nia mbaya ila ni ukweli kuwa kwa miaka ya hivi karibuni imezuka kasumba ya kila mtu anayetaka hoja zake kuhusu maendeleo zisikilizwe basi lazima awaseme vibaya wasomi wa nchi (Tanzania) na kubeza kabisa mfumo wa elimu yetu. Kama wasomi hatukatai kukosolewa lakini kwa sasa watu...
  7. Mufti kuku The Infinity

    Hoja: Kwanini vijana wa Kiume ndio mstari wa mbele kwenye masuala ya kubeti?

    Thread was deleted
  8. NYUNDO YA MOTO

    Wimbi la ubakaji kwa watoto limekithiri, ni nini kinasababisha?

    Mimi nimekaa najiuliza sijapata jibu mpaka sasa. Mtu una mke au wake au una Mpenzi au wapenzi Inawewezekanaje ukaenda kumuingilia mtoto mdogo wa umri wa miaka m3 Asiyejua chochote! Kwani amekukosea nini? Mbona wanawake wamejaa na wanatoa huduma ya line zote! Umekosa nini huku labda wana Jamii...
  9. Trubarg

    Simu yangu inajazwa na meseji za kushawishiwa kubeti

    Kuna kitu ambacho sikielewi... hawa watu wa betting wanapata wapi namba yangu. Sijawahi ata mara moja kubeti lakini ntapata message Zaidi ya kumi kwa siku za kushawishiwa kubeti. Huu usumbufu wa kutojitakia unaratibiwa na nani? Naomba kufahaku jinsi ya kuwashitaki hawa watu wanaonisababishia...
  10. VinJoe

    Kwa Experience yangu ya muda mfupi kwenye "Betting" nimegundua mambo machache

    Jambo la kwanza na kubwa kabisa betting is addictive very addictive hutaamini itakavyo kukamata na kuingia kwenye mishipa ya damu yaani kuna wakati kukaa bila kua na ka mkeka unakokasubiria ka tick ✅ basi unahisi kama kuna kitu hakiko sawa hivi. Jambo lingine ni kwamba utakua na matumizi yasio...
  11. Mngurimi

    MSAADA: Naomba mwenye ujuzi wa mashine za kubeti anisaidie tafadhali

    Ndugu, habari za wakati huu. Bila kupoteza muda ningependa kuomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa juu ya zile mashine ambazo zinatumiwa kwa ajili ya kubeti mfano, premier bet, pm bet n.k Naomba kujua cost ya kuwa wakala au kununua. Pia naomba kujua commission yake kwa mwezi, namna ya...
  12. Post M-alone

    Forex haiwezi kukutoa kimaisha, ni bora ubeti au ukalime

    Wakuu habari zenu, Baada ya kupigwa pesa zangu kwenye forex nimeamua na mimi nije kushare jinsi forex ilivyopelekea mpaka nime break up na gf wangu, lakini yote maisha nimejua wanawake almost wote ni lowkey gold diggers, kwa nini nasema hivyo nimepigwa $3200, $1000 zilikuwa ni za kwangu...
  13. Kiume3000

    Hii sijaisoma kabisa akili za kubeti na...

    Maisha yanamambo sana..hii kwa moarange ni neno maarufu sana nini maana yake. Kubeti. Usimba na uyanga. Chips. Vinaeleweka. Kwa mparange ni nini?
  14. Jile79

    Kubeti ni kama kudanga tu!

    Sijaona maendeleo yoyote tangu nianze kubeti miaka 3 iliyopita. Wenzangu na mimi hali ikoje? Naweza kupata maujuzi zaidi ama niachane na kudanga huku? Tena madanga yangu km ya wanawake wa Buza, leo nimepata buku siku mbili sipati kitu. Nikipata elfu kumi inapita wiki mbili cjapata chochote...
Back
Top Bottom