kuchagua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Titicomb

    Rais Trump maisha yake yapo hatarini. Sababu amechagua amani Ulaya na kukataa 'uliberali'

    Kwa ilivyo sasa Raisi Donald Trump maisha yake yapo hatarini mara kumi zaidi ya wakati wa kampeni za kugombea uraisi wa Marekani kwa awamu ya pili. Viongozi wengi wa nchi kadhaa za bara la Ulaya hawataki amani kati ya Ukraine na Russia. Wanataka vita sababu nchi zao nyingi ni maskini wa...
  2. Crocodiletooth

    Pre GE2025 Majimbo ambayo yametosheka na maendeleo yanaweza kuchagua wapiga porojo!

    Wale wote ambao wametosheka na maendeleo ndani ya majimbo yao ya kiuchaguzi wanaweza kuchagua wapiga porojo wenye ubishi mkali, wapenda sifa za maongezi, wasioweza kufanya lolote ndani ya majimbo yao. Tunashuhudia siasa za jirani zetu Kenya, ambapo malumbano yanaendelea asubuhi mpaka jioni...
  3. S

    Tetesi: Majimbo karibu yote Kanda ya Ziwa kuchagua wabunge wa upinzani

    Kuna tetesi zinazoendelea chini kwa chini ndani ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa kuwa uchaguzi wa mwaka huu wataamua kuchagua wawakilishi wabunge na madiwani kutoka vyama vya upinzania baada ya kubaini kuwa wabunge wengi wa CCM wanashindwa kuwatetea kwenye mambo ya msingi kwa kuhofia kutoteuliwa na CCM...
  4. milele amina

    Hatari ya CCM Kuchagua Nchimbi Mapema kugombea Umakamu wa Rais

    Utangulizi Katika kipindi hiki cha kisiasa, ni muhimu sana kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa makini na maamuzi yake, hasa katika kumchagua Nchimbi kuwa Makamu wa Rais kuelekea mwaka 2030. Hatari hii inaonekana wazi kwa sababu inawezekana kwamba tunajenga msingi wa Rais wa mwaka 2030 hadi...
  5. Stevevanny

    Ati kupanga ni kuchagua

    Wadau nimekuwa nikifikiria sana Hakuna suala gumu kama kufanya planning...Napata shida sana kwenye kufukiria nn nifanye nje ya box (business) yaan cna idea kabisa japo mtaj ninao kama 1M hv nashindwa nifanye business gan mnanishaulije wataalam
  6. Jack Daniel

    Utapeli wa ndoa na hatima ya mwanaume kwenye jamii

    Salaam jamiiforum Si ajabu kuona vijana Kwa wazee wanapishana katika madanguro au sehemu wanapojiuza wanawake. Yaani vijana umri wa miaka 21 hadi 35 lakini pia kuna umri huu 35 mpaka 55 wote hao wanapishana na kupeana koneksheni ya madanguro (machimbo) mapya. Hii yote inasababishwa na...
  7. M

    Uchaguzi wa CDM January 2025 ni kuchagua kukinusuru au kukiua kabisa chama.

    Uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa hasa Mwenyekiti ni kwenda kusaini hati ya kifo au uhai wa chama. Kumchagua FAM kutaleta anguko kubwa sana la chama. Tatizo kubwa ni kwamba, FAM hajali chochote iwe chama kufa au kupona kwake si hoja ya msingi bali kubaki madarakani ndo hoja ya msingi kwake...
  8. Ngwatuson

    Msaada kuchagua mchumba sahihi kati ya hawa nitakaowataja

    Habari Rafiki yangu ameniomba ushauri nikaona sio vibaya kuwashirikisha Wana jamii. Amesema "Ana wapenzi wawili wote wanamkubali, Wakwanza ni nesi japo halipwi hata mshahara mkubwa na sio bikra zodiac sign yake inaendana na jamaa, she's cool nyashi ya kueleweka anatokea Lindi Wapili ni...
  9. Mad Max

    Maisha ni kuchagua: Ili kuagiza BMW 3 series cheap kabisa kutoka JP unatakiwa uwe na Mil 14, ila IST lazima uwe na angalau Mil 17!

    Niliona juzi kati kunaa mdau anaulizia gari ambalo akiendesha watu wajue amejipata. Sasa leo nikawa nafanya comparison ya kutaka kuagiza magari mawili, yote ya mwaka mmoja 2006. BMW 3 series, 2006 generation ya E90, model 320i, ikiwa mpya 2006 iliuzwa $40,000 na leo naweza ipata kwa $930...
  10. chiembe

    Mbowe ana haki ya kikatiba ya kuchaguliwa na kuchagua, asizuiwe kutumia hizo kwa sababu tu Lissu na yeye anataka kugombea

    Naonakuna genge limejikita kusema Mbowe asigombee, huu ni upuuzi mkubwa sana kufanywa na wanachama wa chama kinajiita cha demokrasia. Katiba yao inamruhusu agombee, kwa nini Mbowe asiachwe ashinde/ashindwe kwenye sanduku la kura, ila anashinikizwa asigombee? Sasa kutakuwa na tofauti gani na...
  11. Waufukweni

    Namibia: Wananchi wapiga kura kuchagua Rais mpya na wabunge, SWAPO hatari ya kupoteza baada ya Miaka 33

    Wananchi nchini Namibia wanapiga kura kuchagua Rais mpya na wabunge katika uchaguzi unaotajwa kuwa mgumu kwa taifa hilo. Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa mapema leo Novemba 27 ambapo maeneo mengi yameshuhudia msururu mrefu wa wapiga kura. Chama tawala cha SWAPO kinapewa nafasi ndogo ya...
  12. Waufukweni

    LGE2024 Arusha: Maoni ya Wananchi kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa

    Maoni ya wakazi wa Kata ya Levolosi, Arusha kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024. TBC imeshuhudia zoezi hilo la upigaji kura likiendelea katika mazingira ya amani na utulivu. Baadhi ya wananchi waliopiga kura wameonyesha...
  13. Mindyou

    LGE2024 Mkuu Wa Wilaya Ya Ilala Edward Mpogolo apiga kura kuchagua mwenyekiti wa mtaa na wajumbe

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo amewasili na kutimiza Haki yake ya Msingi ya Kikatiba ya Kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao Leo Novemba 27, 2024 unafanyika Tanzania Bara. DC Mpogolo amepiga kura yake katika Mtaa wa Karume uliopo Kata ya Ilala, akiwa hapo amewahimiza...
  14. Waufukweni

    LGE2024 Dar: Amos Makalla apiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla, amewasili mtaa wa TPDC Mikocheni B Jijini DSM kwa ajili ya kupiga kura ya kuchagua viongozi wa serikali za mitaa ikiwa Mwenyekiti pamoja na wajumbe wa Serikali za Mitaa.
  15. Waufukweni

    LGE2024 Tanga: DC Kubecha apiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa

    Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha leo Tarehe 27 Novemba 2024 Ameongoza Wananchi wa Wilaya ya Tanga kwenye zoezi la kupiga kura kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata ya Central kituo cha Raskazone.
  16. Mwamuzi wa Tanzania

    Nitafanya ujinga wote ila sio ujinga wa kuchagua kilichochaguliwa

    Leo hii watu wengi wamepanga foleni kuchagua kilichochaguliwa. Huo muda mchafu sina
  17. Mto wa mbu

    Je, ni kweli kuwa Utumishi watapangia walimu vituo kwa kuchagua wenye GPA kubwa?

    Hello wakuu, Kuna tetesi nimezipata kuwa Utumishi ,hawatawafanyisha usahili walimu, badala yake wame wamechagua selection criteria, nazo ni mwenye GPA kubwa atapata ajira. Na tetesi zinasema kuwa below 3.0, unaweza husi chaguliwe. Je, yanaukweli hayo? Na ni kweli mwenye GPA ya 4.0 anaweza...
  18. H

    Jenga Ndoto au Jenga Mahusiano: Chagua njia yako

    Kwa wadogo zangu wote ambao bado mnapambania ndoto zetu. Kama hauwezi kuwa single kwa miaka kadhaa ya kujitafuta basi uamuzi wa mwisho kabisa kuufanya angalao jitahidi kuwa na mwanamke mmoja tu(ingawa bado itakugharimu) Mahusiano ni gharama sana kwa mwanaume, hasa katika kizazi hiki ambacho...
  19. Natafuta Ajira

    Jenga ndoto au jenga mahusiano. Unatakiwa kuchagua kimoja

    Vijana wenzangu wote ambao bado tunapambania ndoto zetu. Kama hauwezi kuwa single kwa miaka kadhaa ya kujitafuta basi uamuzi wa mwisho kabisa kuufanya angalao jitahidi kuwa na mwanamke mmoja tu(ingawa bado itakugharimu) Mahusiano ni gharama sana kwa mwanaume, hasa katika kizazi hiki ambacho...
  20. Edsheraan

    Ni kweli kwamba kama hujajiandikisha kuchagua hutopata mkopo benki na kudhamini watu?

    Za asubuhi? Nimeskia sehemu kwamba wanaanzisha Sheria uchwara kama hukujiandikisha kuchagua huwezi kupata mkopo benki, huwezi kumdhamini mtu. Unatambulika sio raia wa nchi hii hali ni mbaya katika daftari la uandikishaji wananzengo waligoma.
Back
Top Bottom