Nakumbuka awamu ya tatu wakati serikali ikitaka kununua ndege ya Rais aina ya Gulfstream G550 kwa thamani ya bilioni 46
Watanzania walio wengi, walionyesha kupinga hatua hiyo, kwa kuzingatia hali ya uchumi ya nchi yetu kwa wakati huo
Lakini, aliyekuwa waziri wa fedha wa wakati huo, mzee...
Binafsi nimebahatika kusoma chuo kwa Tanzania kilicho na kozi nyingi za Bachelor Degree kuliko vyuo vingine, Chuo kikuu cha Dodoma, Nilikuwa nasoma Shahada ya kwanza ya Ualimu katika ndaki ya sayansi asilia pamoja na hesabu(CNMS), Hivyo nimebahatika kula, kuishi, kujadili, kuongelea na kulala...
Mmeshindaje ndugu zangu. Ikitokea ukaambiwa uchague sehemu moja ya kuishi kati ya Tandale na Manzese ni wapi utapokuwa tayari kwenda kuishi? Na kwanini? Pia ningependa mtu au watu waeleze utofauti wa sehem hizo mbili ki miundo mbinu, kimazingira, kibiashara na pia sehem inayoongoza kwa kuwa na...
Hali bado sio nzuri kwetu wanaume kama bado wanawake mtaendelea na msimamo wenu ule ule kuangalia mwanamme una nini au unafanya kazi gani naona mwisho wenu utakuwa mbaya zaidi.
Mmevunja mahusiano mengi kwa dharau zenu na viburi sababu kuu ni mwanaume hana kipato unachotaka mmetuacha na maumivu...
Case study iwe ya Majani, P funk na mwanae Paula aliyezaa na Kajala.
1. Usizae na mwanamke mwanaharakati maarufu kama Feminist, yeye hajua kushindwa wala kukosa, kichwani mwao hawa wanawake kumejaa fikra za kuonewa na kukandamizwa na kufight kutoka kweny hali hiyo.
2. Usizae na mwanamke msomi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.