kuchagua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The introvert

    Msaada katika ku-confirm kozi kati ya programu hizi

    Habari zenu wakuu, Nahitaji msaada niconfirm kozi ipi kati ya hizi ambazo nimechaguliwa katika second selection. Kozi zenyewe ni Bsc in Environmental health science-RUCU, Bsc in Agriculture in general-SUA na Bsc in Laboratory Science and Technology-MUST. Naomba ushauri uangalie zaidi kuhusu...
  2. The Burning Spear

    Utawala wa Samia ni Fundisho tosha kwa Nchi Namna ya kuchagua Makamu wa Rais

    Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu. Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba 1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi 2. Rais na Makamu wake...
  3. Black Opal

    Ungeweza kuchagua kazi yoyote hapa duniani ungetamani kufanya kazi gani?

    Wakuu kwema? Kama ungepewa nafasi ya kuchagua kazi yoyote hapa duniani ungependa kufanya kazi gani? Haijalishi ina hela au lah, lakini kazi hiyo inakupa amani ya moyo na furaha na unaona ungekuwa unafanya hiyo yaani utakuwa na furaha maisha yako yote, ungependa kufanya nini? Mi napenda sana...
  4. R

    Msaada wa program ya kuchagua UDOM

    Nisaidie tumsaidie huyu kijana kufanya maombi ya kujiunga na chuo UDOM 1. Pass za kijana ni 13 III G studies D, Geogr D, Chemistry E , Biology D, BAM F 2. Kozi gani anaweza kusoma UDOM be it Degree or Diploma
  5. The Burning Spear

    Siku tukiacha kuchagua Wabunge Wafanyabiashara tutaona Mapinduzi Makubwa ya Bunge

    Amini usiamini hili bunge letu ni la Wafanya Biashara siyo Bunge la wananchi. Asilimia 80 ni Wafanya Biashara wakubwa and not start ups. Mfanya Biashara ni mtu ambaye all the time anawaza cash flow kwenye business zake. Always thinking ways to maintain his/her wealth... At the same time mtu...
  6. Chachu Ombara

    Marekebisho Sheria ya Huduma za Habari: Serikali kuwa na uhuru wa kuchagua chombo cha habari itakachokitumia kwa ajili ya matangazo

    Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali ikiwemo Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 Akiwasilisha hotuba yake bungeni, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Eliezer Feleshi amesema kifungu cha 5 cha Sheria ya Huduma za Habari, Sura ya 229 kinapendekeza kufanya...
  7. Scars

    Kamati ya Tuzo TFF imetumia vigezo gani kuchagua Beki Bora wa Ligi ya NBC?

    Jamani ebu tufahamishane vizuri hapa wote tujue. Dickson Job kapewa tuzo ya Beki Bora kwa Criteria gani? Haya tuliyaona TMA na tuzo zao za CUBA, leo hii kwenye NBC mambo kama yanajirudia.
  8. CK Allan

    Ni Tanzania pekee baada ya ligi kwisha kamati inakaa kuchagua mfungaji Bora, kwanini kanuni isiwe wazi mwanzoni mwa msimu?

    Yaani sijui nani katuroga! Basi kama kulikua hakuna hizo kanuni kwanini msikae juzi baada ya mechi ya Simba Maana tayari kulikuwa na dalili ya Saido kulingana na Mayele! Kwanini yaani! Eti ooh, Kamati ndio itakuwa! Kamati my foot! Suala la mfungaji Bora wala halihitaji kamati ni kanuni tu...
  9. Mwl.RCT

    SoC03 Maneno Matupu ya Kisiasa: Je, Wana Uwezo wa Kuongoza?

    MANENO MATUPU YA KISIASA: JE, WANA UWEZO WA KUONGOZA? Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Katika siasa za Tanzania, maneno matupu ya kisiasa yamekuwa yakitumiwa sana na wanasiasa kama njia ya kuwavutia wapiga kura. Hata hivyo, swali muhimu ni iwapo maneno haya yanaweza kuonesha uwezo wa viongozi...
  10. Mcqueenen

    Jinsi ya kuchagua nguo dukani

    Kuchagua nguo nzuri dukani kunaweza kuwa changamoto, lakini hapa kuna vidokezo kadhaa vinavyoweza kusaidia: Angalia ubora wa kitambaa - Kitambaa ni jambo muhimu sana kuzingatia wakati wa kuchagua nguo. Hakikisha unapata nguo yenye kitambaa chenye ubora mzuri na kinachoweza kudumu kwa muda...
  11. William Mshumbusi

    TFF ilileta siasa za Simba na Yanga kuchagua kikosi. Kapombe na Zimbwe wasikubali unafiki

    Tuliaminishwa kuwa Kapombe na Hussein (Zimbwe Jr) ama wamezeeka au viwango vimeporomoka. Leo baada ya ushindi wa kishindo watu wanakuja kupiganao picha kwa mkapa. Wakaitwa watu wanachezea benchi. Nazani TFF wasilete usanii. Waachwe tu waende na Kibwana Shomari na nabi kwenye benchi tusubiri...
  12. R

    Wazazi kuweni makini sana katika kuchagua vyuo hasa vya NACTE kuwapeleka watoto wenu

    Sitafuni maneno, chuo kama cha MATI Mtwara, ni kambi ya kupata manamba wa kufanya kazi kwenye Mikorosho, ufuta, alizeti, mpunga (kidogo), mahindi,mboga mboga za aina zote unazoweza kuzifikiria etc etc ya the so called chuo na vyuo vingine vya hivyo. . Hakuna watoto wanachosoma cha kuwasaidia...
  13. Yofav

    Amini kwamba maisha ni kuchagua

    Oy wakuu habarini, Moja kwa moja kwenye point, Maisha ya hapa duniani ni mafupi mno na hayana raha yoyote kwani ili uishi maisha yanayoeleweka basi itakubidi uchague njia moja kati ya mbili (amini kwamba) Katika njia hizo mbili basi kila moja ina changamoto zake so, wewe ndo utachagua na...
  14. Mama Edina

    Edina mwanangu, uzuri wako ni wa babaako. Usikosee kuchagua mume

    Habarini Mwanangu ni mrembo Sana hata kuliko Mimi mamaako Umechagua baba wa wanao mzuri sana ni tatizo na ukichagua mbaya Sana ni tatizo pia. Uwe una balance. Edina mwanangu uzuri wako ni kwa sababu nilijua kumchgua baba ako. Usikosee kuchagua mume. Aliwahi kusema jackline kwenye Uzi wake...
  15. Justdr

    Technology: Mifuko ya uzazi bandia inayotengeneza watoto, wanawake hawatabeba tena mimba. Wazazi kuchagua jinsia,rangi,akili urefu wa watoto?

    Mwanateknolojia wa kibaolojia na mtayarishaji wa Filamu Hashem Al-Ghaili anatupeleka kwenye ziara isiyotulia lakini ya kuvutia ndani ya EctoLife - kituo cha kwanza cha uzazi wa mpango EctoLife ni teknolojia itakayowapa wazazi wa siku za usoni njia mbadala inayodhaniwa kuwa salama zaidi ya...
  16. C

    Ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kuchagua mwenza na uchumba unapaswa kudumu kwa muda gani kabla ya kufunga ndoa?

    Ukisoma threads nyingi hapa jukwaani zinahusu mahusiano ya wanandoa, utagundua kwamba wengi waliingia bila kujua ni nini hasa walipaswa kufanya kabla ya kufikia maamzi mazito ya kuoana. Niwaombe mliopo kwenye ndoa mtusaidie mambo kadhaa tunayotakiwa kujua hasa wakati wa uchumba na je, uchumba...
  17. Pang Fung Mi

    Changamoto ya kuchagua rangi, uzuri, umbo na kimo cha mwanamke

    Niwe mkweli hivi makusudi ya Mungu kutuumba sisi wanaume na ubabaifu wa macho, au ni mimi tu mwenye macho ya Ndoige sieleweki vybez zangu ni zipi white Ndoige, dark Ndoige, nundu Ndoige, mshepu Ndoige, mfupi Ndoige, mrefu Ndoige, mwembamba Ndoige. Hadi najishangaa huu ujazo wa utajiri wa huyu...
  18. dyuteromaikota

    Kwa nini tunapewa wakati mgumu katika kuchagua?

    Unafika mahari unakutana na pisi matata, kabla hata hujachukua namba inapita nyingine ambayo unaona ndo pisi kali zaidi! Mpaka unakuja kufanya maamuzi uchukue namba ya pisi ipi muda ushaenda na hujafanikiwa kupata namba ya hata mmoja. "Mungu tupe macho tuone" by Christina Shusho.
  19. Poker

    Ni kwanini watu wenye jinsia mbili hawapewi uhuru wa kuchagua jinsi yao?

    Watoto wengi wanaozaliwa na jinsia mbili mara nyingi hufanyiwa upasuaji na wazazi kupanga wawe jinsi gani. Sasa kwanini wasiachwe wakue ili wao wenyewe waamue jinsia wanayoitaka? Hapa nazungumzia intersex ama watu wanaozaliwa na jinsi mbili.
  20. Mcqueenen

    Jinsi ya kuchagua machungwa

    Leo ngoja nikupe hii siri. Maana inakera pale umeshachagua chungwa lako tena la kudumu nalo halafu baada ya kulimenya unakuta halina maji, kavu au sio tamu yani ladhaless. Ukitaka kupata chungwa tamu. Usiangalie kwa nje lenye sura nzuri. Angalia lile chungwa bayabaya ambalo kama lina mabaka...
Back
Top Bottom