Imezuka tabia ya wahubiri vijana kuhubiri kwa kuchanganya kiswahili na kingereza (broken English) na tabia hii mimi binafsi inanifikirisha sana.
Kiufupi nikishajua muhubiri huyu ni mchanganyaji wa lugha huwa siwezi kumsikiliza hata nusu dakika. Sijui ndio ujanja au ndio waumini wanaelewa zaidi...
Nimeona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwasema waislamu wanao mkosoa HMh Rais, kuwa kwa uislamu wao wasifanye hivyo.
Hapo naingia wasi wasi mkubwa kwa kiongozi wa juu kiserikali na kichama.
Wakuu,
Jana usiku kuna namba ngeni ilinicheki. Sikupokea.
Leo asubuhi naitext 'Hello', ikafuata 'Hi City Owl, I miss you'
Akili ikanipeleka moja kwa moja kwa dem mmoja nilipita naye mwezi uliopita, kisha, pamoja na uzuri na utamu wake, nikampotezea baada ya kujua kaolewa.
Mimi hukwepa wake...
Kadinali Pengo huyu Novemba mwaka 2019 akiwa kwenye kongamano la kumsifia Magufuli alisema kauli hii ifuatayo “Tunajiuliza baada ya Magufuli atakuwa nani ila mkiwepo wa aina yako (Makonda) wengi nisingekuwa na shaka ya kuwaza nani atafiata baada yake Magufuli” na akamalizia kwa kusema anatamani...
Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive.
Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema.
Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
ahukumiwa
bure
chakula
chakula sumu
dawa
gharama
hata
hatari
hospitalini
kifungo
kuchanganya
kunogesha
lishe
magonjwa
mahakama
mama lishe
mapishi
mkaa
mmoja
mtu
mtu mmoja
sumu
supu
utumbo
Uhusiano kati ya dini na siasa ni suala ambalo limekuwa na athari kubwa katika historia ya binadamu. Dini na siasa zinaweza kuwa na uhusiano wa karibu au wa mbali, na athari za uhusiano huu zinaweza kutofautiana kulingana na muktadha wa kihistoria, kitamaduni, na kijamii. Hapa kuna baadhi ya...
Khadija Abbas Rashid (74) miongoni mwa walioshiriki kuchanganya udongo wa iliyokuwa Tanganyika na Zanzibar amefariki dunia jana Jumanne Agosti 23, 2023 nyumbani kwake Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano ambapo wametoa...
Nimekuwa nikiwaza, kimyakimya....
Hivi siasa ni nini na dini ni nini?
Hivi ni wapi dini inachanganywa na siasa na ni wapi siasa inachanganywa na dini?
Hivi majukumu ya dini ni yapi na majukumu ya siasa ni yapi?
Hivi dini inafanyikia wapi na mipaka yake ni gani?
Na siasa je, inafanyikia wapi...
kuna msemo wa kirumi Vox Populi Vox dei ( Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu).
Huu msemo ni sahihi kisiasa sio kidini au kiimani. Wanasiasa walitumia huu msemo kujihalalishia mambo yao hata kinyume cha Mungu na wengine ilikula kwao. Sasa ni aibu kwa kauli hii kusikika kwa watu wa dini. Ibaki...
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, tena sio Mkatoliki mlei tuu, ni miongoni mwa Wakatoliki wacheche waliokwenda kuhiji Israel, na waliofika St. Peter's Basilica, Rome, Italy, nikiwa mdogo nimehudunu utumishi kanisani chini ya Muadhama Laurian, Cardinal Rugambwa, na...
"Tutakapolimaliza ya bandari ya Dar es Salaam hata Mwanza hapa tuna bandari, tunawataka Waarabu hapa, waje Waarabu DP world sijui na nani, waje hapa watuendelezee bandari ya Mwanza.
"Tukitoka hapa tunahamia Ukerewe, tukitoka hapo ni visiwa vyote vya ukala, wape Waarabu. Waarabu oyeee...
Akihojiwa na chombo kimoja cha habari, Mwanasheria Phillipo Mwakilima anemkosoa vikali Spika Tulia Ackson kwa staili yake ya kujifanya ni mtafsiri sheria na mwalimu wa sheria kila sehemu anayokuwepo.
Wakili Mwakilima, akaponda kauli za spika kuwa eti bungeni walipitisha makubaliano na siyo...
1: Maombi yatakufanya uangalie mambo kama Mungu anavyoaangalia sio kama watu wa kawaida wanavyoona. Hivyo huamasisha uthubutu.
Mwanzo 18:14
Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda BWANA?
2: Maombi yatabadilisha mtazamo wako juu ya ukubwa na ugumu wa lengo lako. Yatakufanya uone inawezekana...
Habari za leo wadau wa jukwaa hili, leo kwa bahati mbaya nimechanganya mafuta, nina gari aina ya hiace ambayo inatumia Petroli, nimekwenda kituo cha mafuta muuzaji bila kuuliza akashindilia diesel kama lita 4 hivi na ndani ya tank kulikuwa kama na lita 7 za petroli nilipoondoka tu umbali...
Salamu kwa wote na heri za maadhimisho ya kumbukumbu ya muungano wetu.
Tuna kila sababu ya kuwapongeza waasisi wetu kwa kuwa na fikra chanya za kutaka kuungana na hatimaye ikawa hivyo.
Umoja, undugu, mshikamano kwa kiasi kikubwa imekuwa sababu ya kupelekea maendeleo ya moja kwa moja kwa wale...
Kada maarufu wa CHADEMA, James Mbowe ameandika kuhusiana na utaratibu ulionzishwa na Askofu Josephat Gwajima kuendesha mikutano ya Injili huku akitumia kufanya kampeni za siasa.
===
"Bishop Gwajima nisikilize kwa makini huenda umezungukwa na watu ambao hawakuambii ukweli! Lakini huu usanii...
Aya mambo mengine jamani yasikieni tu na kila siku tujitahidi kufanya ibada/ Maombi kwa sababu kuna muda tunapitia changamoto. ila sasa muda wengine tunapitia changamoto mfululizo yani haijamaliza changamoto hii inakuja nyingine.
Sasa naomba moja kwa moja kwenya mada.
Kutokana na tukio hili la...
"Royal Tour ya Rais Samia imesababisha Hoteli zote Kubwa Dar es Salaam, Kilimayna Arusha kujaa kwa miezi Mitatu ijayo" Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dk. Ashatu Kijaji.
Halafu GENTAMYCINE nawaulizeni nyie Viongozi wa Serikali hivi mnavyokuwa mnatudanganya kiasi hiki huwa mnadhani kuwa...
Amani iwe juu yenu wakuu..
Kwanza natoa shukrani kwenye hili jukwaa maana limenipa faida katika kufikiri mambo.
Tuje kwenye mada sasa...
Mimi naomba kupewa bei ya mshine za kuchanganya rangi za nyumba mana nimeuliza huko mitaani sipati jibu la uhakika ila naamini humu siwezi kukosa jibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.