Leo kuna mchezo wa soka, robo fainali ya Kombe la shirikisho baina ya Simba ya Tanzania na Orando Pirates ya Afrika kusini.
Taarifa zilizotufikia chumba cha habari ni kwamba Mgeni rasmi atakuwa Abrahaman Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi.
Mechi hii ni ya kitaifa na inasubiriwa na...
#NGORONGORO SIO SEHEMU YA MAKAZI YA BINADAMU BALI NI HIFADHI YA WANYAMA POLI Naa Joseph #Yona
Mwaka 1960 Ngorongoro Ilikuwa na Tembo zaidi ya 2000! Ila leo hii Tembo waliobaki Ngorongoro ni 30! Moja ya utajiri wa kipekee duniani ni kuwa na wanyama Mwitu kama hawa ambao sisi wabongo...
Wakuu nauliza mashine za bei rahisi hasa hizi local za kusaga, kuchanganya na kutengeneza pellets za mifugo kwa hapa Tanzania zinapatikana wapi na kwa bei gani? Nataka hizi ndogo kabisa zinazotumia umeme wa single phase.
Sitaki majibu ya agiza China, ninajua China ipo na local zipo nataka hizi...
Viwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu Magufuli. Magufuli atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma.
Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage.
Viwanja hivyo ni vya wafanyabiashara, hawa watu wameumizwa sana na Magufuli , sanamu hili kuwekwa...
Njia ya kuchanganya chanjo za Covid -19 kwa kutumia chapa mbalimbali za chanjo ya Covid kwa dozi ya kwanza na ya pili - inatoa kinga nzuri dhidi ya virusi vya janga hilo, utafiti wa Uingereza umebaini.
Majaribio yalitazama ufanisi wa dozi mbili za Pfizer, AstraZeneca na Mchanganyiko wote...
Kwa wale wataalam wa kuchanganya hayo manukato na kupata harufu ambayo ni nzuri haikeri na inakaa muda mrefu, embu tupeni formula mchanganyiko upi ni best kwa maoni yako?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.