Michango ya makada, viongozi na wadau mbalimbali ndiyo itakayogharamia uhai wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), huku chama hicho kikizindua Operesheni "Tujenge Pamoja #Tanzania"
Akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama, Kaimu Katibu Mkuu wa CHAUMMA, Benson Kigaila...