CHAUMMA waja na mkeka wakuchangia chama kutoka kwa wananchi

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
Michango ya makada, viongozi na wadau mbalimbali ndiyo itakayogharamia uhai wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), huku chama hicho kikizindua Operesheni "Tujenge Pamoja #Tanzania"

Akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama, Kaimu Katibu Mkuu wa CHAUMMA, Benson Kigaila, amesema operesheni hiyo inalenga kukusanya maoni yatakayosaidia kufanyika kwa maboresho ya Katiba ya chama.

Kigaila amesema uamuzi wa kuendesha operesheni hiyo ulifikiwa katika kikao cha Halmashauri Kuu ya chama, ambapo ilikubaliwa kuwa fedha za utekelezaji wake zitakusanywa kupitia michango ya makada, viongozi na wadau mbalimbali wa CHAUMMA.

Pia soma: CHAUMMA yazindua operesheni “Tujenge Pamoja Tanzania ni Sisi", yazindua mchango kwa wanachama
 
Michango ya makada, viongozi na wadau mbalimbali ndiyo itakayogharamia uhai wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), huku chama hicho kikizindua Operesheni "Tujenge Pamoja #Tanzania"

Akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama, Kaimu Katibu Mkuu wa CHAUMMA, Benson Kigaila, amesema operesheni hiyo inalenga kukusanya maoni yatakayosaidia kufanyika kwa maboresho ya Katiba ya chama.

Kigaila amesema uamuzi wa kuendesha operesheni hiyo ulifikiwa katika kikao cha Halmashauri Kuu ya chama, ambapo ilikubaliwa kuwa fedha za utekelezaji wake zitakusanywa kupitia michango ya makada, viongozi na wadau mbalimbali wa CHAUMMA.
Siwezi kuchangia chama tanzu cha CCM. Afadhali niinywee pombe tu hela yangu!
 
Michango ya makada, viongozi na wadau mbalimbali ndiyo itakayogharamia uhai wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), huku chama hicho kikizindua Operesheni "Tujenge Pamoja #Tanzania"

Akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama, Kaimu Katibu Mkuu wa CHAUMMA, Benson Kigaila, amesema operesheni hiyo inalenga kukusanya maoni yatakayosaidia kufanyika kwa maboresho ya Katiba ya chama.

Kigaila amesema uamuzi wa kuendesha operesheni hiyo ulifikiwa katika kikao cha Halmashauri Kuu ya chama, ambapo ilikubaliwa kuwa fedha za utekelezaji wake zitakusanywa kupitia michango ya makada, viongozi na wadau mbalimbali wa CHAUMMA.
Pumbavu, hakuna kuchanga, watachota ccm na kujifanya wanachangisha,,,,,,,,,,,,,,,,,,tawi la ccm...vyama shikizi
 
Chauma siyo wajinga wanataka kutafuna pesa ya CCM washajua.namna ya kula pesa

Hashimu rungwe ajiandae kutolewa mchezoni mda si mrefu

Kigaila maisha yake yanategemea vyama hajawah hata kugombea nafas YOYOTE ya kiuongoz nje ya vyama

Ndio maana ujio wa tundu kwake alishajua hana chake tena
 
Back
Top Bottom