CHAUMMA waja na mkeka wakuchangia chama kutoka kwa wananchi

CHAUMMA waja na mkeka wakuchangia chama kutoka kwa wananchi

Michango ya makada, viongozi na wadau mbalimbali ndiyo itakayogharamia uhai wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), huku chama hicho kikizindua Operesheni "Tujenge Pamoja #Tanzania"

Akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama, Kaimu Katibu Mkuu wa CHAUMMA, Benson Kigaila, amesema operesheni hiyo inalenga kukusanya maoni yatakayosaidia kufanyika kwa maboresho ya Katiba ya chama.

Kigaila amesema uamuzi wa kuendesha operesheni hiyo ulifikiwa katika kikao cha Halmashauri Kuu ya chama, ambapo ilikubaliwa kuwa fedha za utekelezaji wake zitakusanywa kupitia michango ya makada, viongozi na wadau mbalimbali wa CHAUMMA.
Wanajaribu Zari
 
Wakipata hata million 10 najinyea labda wawe wamefanya geresha ili wafadhiri wao wawape pesa ili ionekane wanachangiwa na wananchi
 
CCM wameandaa fungu la Chaubwabwa hizi walizoleta ni distraction tu kwenye kampeni ya CHADEMA.
 
Michango ya makada, viongozi na wadau mbalimbali ndiyo itakayogharamia uhai wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), huku chama hicho kikizindua Operesheni "Tujenge Pamoja #Tanzania"

Akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama, Kaimu Katibu Mkuu wa CHAUMMA, Benson Kigaila, amesema operesheni hiyo inalenga kukusanya maoni yatakayosaidia kufanyika kwa maboresho ya Katiba ya chama.

Kigaila amesema uamuzi wa kuendesha operesheni hiyo ulifikiwa katika kikao cha Halmashauri Kuu ya chama, ambapo ilikubaliwa kuwa fedha za utekelezaji wake zitakusanywa kupitia michango ya makada, viongozi na wadau mbalimbali wa CHAUMMA.
ccm ambaye ni MDAU mkubwa wa CHAUMMA naye ATACHANGIA
 
Hahaha waaiga kila kitu, umma wenyewe unakifahamu hiki chama?
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeanza kwa kishindo kampeni yake mpya ya ukusanyaji wa rasilimali baada ya kufanikiwa kupata jumla ya shilingi milioni 11 ndani ya saa zisizofika 24, Fedha ambazo zimepatikana kupitia kampeni maalum inayofahamika kama "Operesheni Tujenge Pamoja", zikiwa na lengo la kimkakati la kukusanya shilingi milioni 186 kwaajili ya awamu ya kwanza ya utekelezaji wa mipango ya chama kuelekea mabadiliko ya kisiasa nchini.

Katika taarifa rasmi ya mchanganuo wa mapato hayo ya Siku ya Kwanza yaliyotolewa leo Jumatano Julai 22, 2026 na Makao Makuu ya chama hicho, kundi la wabunge limeonekana kubeba mzigo mkubwa zaidi kwa kuchangia kiasi cha shilingi milioni 6.

Hali kadhalika, nguvu ya umma imeonesha mchango mkubwa ambapo kundi la Wanachama, Wananchi na Wadau mbalimbali limechangia shilingi milioni 2.4. Makundi mengine yaliyowasilisha michango yao ni pamoja na Kamati Kuu Shilingi milioni 1.2, Viongozi Wakuu Shilingi milioni 0.8 na Viongozi wa Mikoa Shilingi milioni 0.6

Kiasi hicho cha Shilingi milioni 11 kilichokusanywa ndani ya saa 24 za kwanza kinawakilisha asilimia 6 (6%) ya lengo kuu la awamu ya kwanza. Licha ya kuwa bado kuna safari ndefu kufikia shilingi milioni 186 zilizokusudiwa, uongozi wa CHAUMMA umeeleza kuridhishwa na mwitikio huo wa awali.

"Asanteni sana viongozi na Watanzania wote, tumeanza vizuri," ilieleza sehemu ya taarifa hiyo ya shukrani kwa umma, huku ikihimiza mshikamano zaidi ili kufikia malengo yaliyowekwa.

Chama hicho kimesisitiza kuwa zoezi la uchangiaji bado linaendelea kupitia akaunti yao ya Benki ya CRDB na mtandao wa M-Pesa.

Operesheni hii inakwenda sambamba na joto la kisiasa nchini linalochochewa na kampeni za kidijitali za #TanzaniaNiSisi na #KatibaMpya.
 
Kwani watu na viongozi wa Chadema walianza kuchangia chama chao baada tu ya Lissu kuwa Mwenyekiti? Wakina Kigaila walikuwa Chadema na walikuwa wanachangisha watu. Kusema kuwa wameiga Tone Tone ni kutowatendea haki. Na hawata kuwa wakwanza kukubali michango kutoka CCM maana Lissu alipokea kwa uwazi CCM walipochangia ununuzi wa gari lake jipya.
Namna pekee Chaumma itakavyoweza kujitofautisha na vyama vingine ni kuwa wawazi kwenye michango na matumizi yao.

Amandla...
 
CCM is at work. Subiri muone mchezo unaotaka kuchezwa. Watachangiwa fedha nyingi sana na CCM. Wakitaka kuuaminisha umma kuwa watu wanapenda CHAUMA kuliko CHADEMA. ndo maana michango ya mamilioni inaingia
Hii ndio comment yangu...wacha tujionee!
 
Back
Top Bottom