Kuna msimu yanga kila mechi walikuwa na jezi yake yaani mpaka msimu unaisha haijulikani jezi rasmi ni ipi,na sio mbali ni kama miaka mitatu au minne tu hivi,simba tukawafundisha ustaarabu.
Ghafla designer wao akaja na madera ,wanazi wakayatetea ila rohoni ilikuwa inachoma.
Nakumbuka yule...
Kwa miaka ya hivi karibuni hapa nchi katika septa ya michezo kumekua na porojo sana kuliko uhalisia wa mwelekeo wa mchezo wetu wa mpira wa miguu tumekua, tukiweka nguvu kubwa katika kuwahamasisha washabiki na kuwaaminisha kuwa uwepo wao uwanjani na upigaji kelele ndio chanzo kutuletea ushindi...
Waswahili walisema usiku wa deni haukawii kucha. Zimebaki siku chache ili watumishi wa umma nchini waweze kupokea mshahara wao mpya wa mwaka wa fedha 2022-2023.
Kufuatia nyongeza ya 23.3% iliyotangazwa na Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan siku ya Mei Mosi...
Good afternoon brothers. Majukumu ya malezi yanakwendaje?
Uhusiano wangu na jamii;
Tangu nazaliwa na kuanza kujitambua, mzee wangu amenilea malezi ambayo naona magumu yake na athari zake muda huu. Nina 'traits' za kushangaza ila naomba mjikite kwenye kutoa ushauri na ufafanuzi tafadhali...
Kama tujuavyo enzi za Simba wa Yuda nyongeza ya mishahara, kupanda madaraja na marupu rupu mengine ya wafanyakazi yalisimama,
Na hata mshahara huu wanaopata watumishi ni ule alioacha Jakaya Mrisho Kikwete..
Kumekua na Hekaya nyingi na ahadi nyingi!
Lakini kwa ujasiri MAMA katika mei Mosi ya...
Habari wakuu
Imepita takriba miaka kadhaaa toka niachane na JF kutokana na majukumu mbalimbali,
Sasa leo nmelog in ila nimejikuta naona aibu mwenyewe kwa nyuzi nilizokuwa na post sijui utoto dah ya nimechek mwenyewe.
Maisha ya utoto raha sana!
Leo nilipata wasaa wa kusikiliza kipindi cha 360 Mawingu ambapo alialikwa mwanasharia nguli na mwanasharia msomi mama Gloria Kahaya kutoka kituo kimoja cha kutoa haki za kisheria hapa nchini. Walikuwa wakijadili mambo ya ndoa na taraka lakini baadae bila ya kutegemea wakatumbukia katika hukumu...
Yaani iko hivi
Ukiwa na mke wako mkiwa wawili hacheki kabisa yaani full kununiana full ukauzu. Ila sasa wakiwepo washkaji na marafiki zako wa wa kazini au hata mtaani unakuta tabasamu halikauki usoni mwake.
Yaani ni kucheka mwanzo mwisho. Bashasha za hapa na pale hatari yaani hadi unaona aahh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.