Unapaswa kujua kwamba Viagra haiongezei libido au kushughulikia sababu za kisaikolojia zinazokusababishia uwezo mdogo wa kudinda.
Viagra (sildenafil) haikufanyi "udumu zaidi" moja kwa moja kwa maana ya kuchelewesha kumwaga au kuongeza muda wa kujamiiana.
Kazi yake ya msingi ni kuwasaidia...
Mwalimu mmoja katika Kaunti ya Nyamira nchini Kenya amelazwa katika hospitali ya Ikonge baada ya kushambuliwa na mwalimu mkuu kwa madai ya kuchelewa kufika shuleni.
Mwalimu huyo wa Sekondari aitwaye Vincent Onyancha amesema alifanyiwa vurugu mbele ya wanafunzi wake darasani wakati akifundisha...
Habari wana JAMIIFORUMS
Kumekua na ucheleweshwaji wa kuajiri walimu tangu kutoka kwa kibali Cha ajira za walimu 2024 Hadi Leo 2025 mchakato umekua mrefu sana, pia kipindi usaili ukiwa unaendelea PSRS wameita baadhi ya walimu wa masomo ya physics, mathematics and English lakini kumekua na...
Kuchelewa sio nadharia bali kupo ila inatakiwa udhibiti hisia za kuchelewa ili usijipoteze zaidi
Zipo sababu nyingi zinafanya watu wachelewe ila bila kujali kuwa ulicheleweshwa au ulijichelesha ni muhimu kuwa na utulivu zaidi hasa pale unapojiona kuchelewa.
Kushindwa kudhibiti hisia za...
Kesi ya mauaji inayowakabili viongozi watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilolo, imeahirishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iringa kwa kuwa upelelezi wake haujakamilika.
Mwendesha Mashtaka, Wakili wa Serikali Sauli Makori, leo Jumanne, Januari 21, 2025, ameieleza Mahakama kuwa bado...
Watu wengi wanashangaa na kushtushwa na mtifuano wa uchaguzi wa viongozi wa kitaifa ndani ya CHADEMA. Wanaona ni jambo jipya. Wengi wameanza na kubashiri chama kupasuka. Lakini ukweli ni kwamba kwa wafuatiliaji na watafiti wa siasa za upinzani hususan zinazohusu CHADEMA na chaguzi zake karibu...
Habari zenu, mke wangu amekuwa akifanyiwa vipimo wanapo mchoma sindano kupata damu KWENYE mshipa damu I nachukua masaa mwili kukata, je itakuwa ni tatizo gani na je nini tiba yake kama ni tatizo?
Kila mwezi serikali inaingiza fedha za uendeshaji shule kwa kuzingatia idadi ya wanafunzi, fedha hizo zimekuwa zikichelewa sana na kusababisha kero kwa walimu , lakini upande wa sekondari huwekewa fedha zao mapema.
Pamoja na changamoto hizo wanazopitia walimu wako baadhi ya madiwani wanaopanda...
Anonymous
Thread
elimu
elimu msingi
fedha
kuchelewa
malalamiko
msingi
sana
serikali
shule
shule za msingi
ucheleweshaji
uendeshaji
upande
MAMBO AMBAYO HUTAKIWI KUCHELEWA KWENYE MAISHA KAMA TAYARI UNAMPANGO WA KUFANYA JAMBO HUSIKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Leo sitawachosha ndugu zangu. Nitashusha vitu kisha nitawaacha mkitatafakari kwenye weekend hii.
Kwenye akili yako kuna mambo yanaendelea, kuna mambo unayawaza kuhusu...
Wananchi wa Kata ya Nyatwali waliamuriwa na Serikali kupisha eneo hilo ili pawe mapito ya wanyama pori mpaka Ziwa Victoria na wanyama waweze kuchunga na kunywa maji kwa urahisi. Wananchi walifanyiwa tathmini ya maeneo yao, mali zao na sasa imekwishapita mwaka moja na nusu tangu kufanyika kwa...
Habari.
Naomba kwasilisha kero wanayopitia baadhi ya wanafunzi wanufaika wa mkopo unaotolewa na HESLB ambapo hela kwaajili ya kadi za bima ya afya kwenye akaunti zao inaonyesha wameshalipia lakini kadi haziko activated.
CHANZO CHA TATIZO
Kosa linalofanywa na HESLB ni kulipa hela hii moja kwa...
Habarini wakuu,husika na mada tajwa hapo juu.Kama kuna viongozi humu wa UTT amis,tunaomba muangalie namna ambavyo salio linaweza soma haraka kwenye akaunti baada ya kuwekeza at least iwe within 24hrs kuliko hii ya kukaa muda mrefu kwani inazua taharuki kwa wawekezaji wengi.Lakini pia itawasaidia...
Habari za Leo mabibi na mabwana.
Mnamo 14/05/2024 tulimzika mzee mmoja kijijini kwetu jina (..)
Mzee yule alikuwa amemuoa shangazi yangu Mimi. Chanzo Cha kifo chake ni ugonjwa wa kisukari uliodumu Kwa muda mrefu.
Baada ya kuzunguka huku na huko na hospital mbalimbali kutafuta matibbu ya...
UKIANZA KUFANYA MAMBO KUKIMBIZANA NA UMRI JUA KUNA KITUO SIO CHAKO ULISIMAMA SANA
Akitokea mtu anakwambia alimaliza shule ya msingi na miaka 20 jambo la haraka ambalo kama usipomuuliza basi utajiuliza ni hili "KIPI KILIMCHELEWESHA?
MAISHA NI SAFARI KADRI UNAVYOSIMAMA SANA NDIVYO...
Halmashauri ya Wilaya Moshi kuna changamoto ya watumishi kucheleweshwa kupewa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu yoyote ile angali utaratibu ni mtumishi akitimiza mwaka mmoja anapaswa kupewa barua.
Lakini huku inaweza chukua hata miaka kuanzia miwili na muda mwingine watumishi hulazimika...
Anonymous
Thread
barua
changamoto
halmashauri
kazini
kuchelewa
moshi
mtumishi
utaratibu
wakati
watumishi
wilaya
Wadau habari zenu, kumekua na ongezeko la malalamiko kuhusu kucheleweshwa kwa mizigo bandarini hadi kufikia siku 40 mzigo unakuta umekwama.
Vipi hili swala limekaaaje? Changamoto ni nini haswa?
Habari: fedha ya kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo hususani Chuo cha mipango na maendeleo vijijini imeingia toka tarehe 30 ya mwezi 4 lakini ajabu mpaka leo tarehe 8 ,fedha izo azijaingizwa kwenye Account za wanafunzi ili waweze kuzisaini, matokeo yake tunaambiwa eti tutakatwa ela kwa sababu...
Mradi wa Bwawa la Nyerere tuliambiwa ungekamilika June 2022, lakini haikuwa hivyo.
Hata hivyo mwezi wa 12/2022 bwawa la mwalimu nyerere lilianza kujazwa maji, ambapo Ili bwawa kujaa kabisa linapaswa kufikia Mita 184 kutoka usawa wa bahari.
Kusua kusua Kwa mradi na kuchelewa Kwa kufungwa...
Toka Awamu ya Mama aingie madarakani kumekuwa na ucheleweshaji wa malipo ya wakandarasi wnaofanya kazi na serekali.
Mwezi wa 11 mwaka jana Waziri Bashungwa alifanya kikao na wakandarasi moja ya malalamiko aliyapata ilikuwa na ucheleweshaji wa fedha za wakandarasi tofauti na miaka ya nyuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.