Trend inaonyesha licha ya kuwepo maagizo ya kidini kusambaza imani zao. Bado wanasiasa wa ulaya watafuta Mali wakiarabu waliwatangulia wana dini kusambaa duniani. Yaani walianza wapererezi wamisionary nao wakafuata. Wengi walijikuta wanasambaza dini kisiasa.
Wanasiasa walipoanza kuhimiza Elimu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Baba mmoja anayefahamika kwa jina la Anthony Maningu, Mkazi wa Kayenze wilayani Ilemela mkoani Mwanza kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga na kitu kizito kichwani mwanaye aitwae Veronica Anthony, kwa madai ya kuchelewa kurudi nyumbani.
Akizungumza hii...
Dr Bashiru amesema ni marufuku wagombea waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kufanya kampeni bali wabakie kwenye mikoa yao.
Dkt. Bashiru amemtaja mbunge mmoja aliyepitishwa bila kupingwa Lindi lakini sasa yuko Mwanza anafanya kampeni na kumtaka kurudi Lindi mara moja akawasaidie wenzie...
Ratiba za kichama hapa Makao Makuu Dodoma zinaonesha kuwa vikao vya Kamati Kuu wa CCM almaarufu kama CC vilipaswa kufanyika tarehe 7 na 8 ya mwezi huu. Hata hivyo, hadi sasa hakuna kikao cha Kamati Kuu kilichoketi hapa Dodoma au hata Dar es Salaam. Ajenda kuu ya kikao hicho ni kupitisha majina...
Habari ndugu zangu
Naombeni msaada wa kutambua kuhusiana na hoja tajwa hapo juu. Generation ya leo tunashuhudia vijana, na hata rika za kati kwa madai ya kuwahi kumaliza tendo la ndoa na wengi wao kutafuta dawa kukabiliana na tatizo.
Wana Jf,
Kwa uhalisia wa sasa upepo unapoelekea mtia nia ya urais Membe ashaanza vikao vya siri tangu Jana alipoamua kujivua uanachama. Kuna fununu kuwa anakutana na viongozi wakuu kukubaliana nini kifanyike ili aweze kujiunga na chama ili atimize dhamila yake. Kiukweli membe ni mkamilifu...
MODs natumaini mtaunusuru uzi huu kumwangazia mheshimiwa rais hali ilivyo, ili naye, aweze:
1. Kujinusuru mwenyewe kuweza kuendelea kuongoza kama kazi hiyo anaipenda.
2. Kuyanusuru maisha ya watu wake wasio na hatia kwa maana ndiyo kazi kuu tuliyompa kama rais wetu.
3. Kulinusuru taifa ili...
Jana tarehe 16/4/2020 Mkoa wa Dar es Salaam ulishuhudia jua kuchelewa kuzama jambo ambalo liliwashangaza wengi na hivyo niliamua kufukua maarifa ya fizikia na Jiografia juu ya hali hiyo.
Kuna masuala mengi ya kifizikia na kijiografia yanayotokea Duniani ila kutokana na shughuli zetu za kila...
Kwanza naomba Mods, uzi huu usiunganishwe na nyengine.
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na kauli mbali mbali kuhusu Madai ya tume huru ya uchaguzi Tanzania.
Si vyama vya upinzani tu lakini hata wadau wa maendeleo na demokrasia wamesikika wakihimiza kwa serikali kuleta tume huru ya uchaguzi...
Sasa hii imeonekana ndio sababu ya wanaume kuchelewa nyumbani
Kila Nyumba anatajwa DK zainab kwamba ndio chanzo na kwamba walizimia usiku kucha.
Jamani
Huu mzigo niliagiza mnamo tarehe 15 December 2019, na movement zote zilienda vizuri isipokuwa hapo ilipoishia
"-Despatched to OverSeas Postal Admin (From SG/SIN to TZ/DAR)
2019-12-27 13:14:02 [GMT+8]"
Hapo imekaa tangu tarehe 27-Dec-2019.
Nimejaribu kwenda post na kuwapa tracking number, yule...
Raia wanne wa Uchina wamekamatwa na polisi baada ya video kusambaa katika mitandao ya kijamii ikiwaonesha wakimchapa viboko Mkenya.
Inasemekana kwamba Wchina hao wafanyakazi wa mgahawa mmoja uliopo jijini Nairobi, alinaswa akimchapa mfanyakazi Raia wa Kenya kupitia kamera kwa madai ya kufika...
Jeshi la polisi mkoani Njombe linamshikilia mwanamke aliyefahamika kwa jina la Apronia Mwinuka(35) mkazi wa mtaa wa Kikula kata ya Makambako mkoani Njombe kwa tuhuma za kumpiga na kumsababishia kifo shangazi yake Elina Mwinuka (18) kwa kosa la kuchelewa kurudi nyumbani.
Kamanda wa polisi mkoa...
Wanabodi, saa hizi inakwenda saa 7 usiku, tuko uwanja wa ndege wa Mwanza, tukisubiria ku board ndege yetu ya ATCL from Mwanza - Dar.
Ilikuwa turuke saa 3:00 tufike saa 4:15, lakini kukatokea dharura, tukaarifiwa mapema kuwa ndege itachelewa hadi saa 6:30 sasa tumeboard tunaruka saa 7:30 na...
Kuna taarifa kwamba Wizara ya Afya imeanza kushindwa kusimamia rasilimali watu zilizopo hospitali za mikoa.
Shida kubwa inatokana na mfumo wa Maafisa Utumishi wa Wizara kurundikana makao makuu ya Wizara.
Hivi karibuni, watumishi kadhaa wakihusisha madaktari waliajiriwa katika hospitali za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.