Jenerali Ulimwengu aandika shairi kuwaasa walioko madarakani
MLIO MADARAKANI, JIFUNZENI KUCHELEA
Nakuletea shairi, lino latoka moyoni
Nakuomba likariri, ulitie maanani,
Usije kulighairi, kuniona majinuni,
Mlio madarakani, jifunzeni kuchelea
Uliye nazo akili, huna budi utambue,
Mwenza wako...