Serikali ijikite kuangalia na kuchukua hatua kwa kituo cha mkata kwenye suala la Afya .Juzi wakati nasafiri kutokea Tanga tulisimama hapo kupata Chakula nilichukua takeaway wakati nipo kwenye gari nimeanza kula nikahisi nimekula Chakula kilicholala na kimechacha ilibidi nikitupe kwenye...
Wazazi na walezi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara wamehamasika kujitolea kuchimba msingi katika ujenzi wa uzio shule ya sekondari chuno ili kudhibiti wanafunzi kuingia na kutoka shuleni kiholela.
Kukamilika kwa uzio katika shule hiyo ya Sekondari Chuno kutasaidia wanafunzi...
📖Mhadhara (76)✍️
Katika pita pita zangu kwenye mikoa ya Mbeya na Songwe nimefanikiwa kugundua kero inayohatarisha maisha ya watu hasa watoto wadogo.
Wenyeji wa mikoa tajwa mnapenda sana kuchimba mashimo marefu (kwa matumizi ya visima, vyoo, maji taka, n.k) na kuyaacha wazi kwa muda mrefu...
Noble Helium imetangaza kuchagua maeneo matatu ya kwanza kwa uchimbaji katika Mradi wa North Rukwa ikiwa ni hatua muhimu katika kuchunguza uwepo wa gesi kwenye maeneo yenye kina kifupi.
Maeneo haya yaliyochaguliwa ni sehemu ya maeneo 10 ambayo yanaonekana kuwa na potential ya uwepo wa gesi...
Kufuatia tamko la mkuu wa mkoa wa dar es salaam mh. Chalamila kuwa tare 23 vyombo vya ulinzi vitafanya usafi mkoa wa dar salaam mi naona kuwa kwa kuwa hivyi vyombo viko vingi angepanga kwa mafungu kuwa chombo hiki kije na maslesha chombo hiki kije na sururu chombo hiki kije reky na hiki...
Uganda, nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta katika eneo la Albertine Rift Basin, inaendelea kujifunza na kuboresha uelewa wake wa jiolojia ya eneo hilo wakati wa mchakato wa uchimbaji wa mafuta. Kupitia ushirikiano na kampuni za kimataifa za mafuta na wataalamu wa ndani, serikali ya Uganda...
Serikali ya Iran ipo kwenye khofu endapo watajaribu kulipiza kisasi dhidi ya Israel baada ya kauli ya kibabe ya Netanyahu. vita inaweza kuwa kubwa na Tatizo la Israel huwalenga kwanza Viongozi na Iran haipo tayari kabisa kumpoteza Ayyatollah au aishi kwenye mapango na mahandaki kama mwenzake wa...
Ni sahihi kuchimba kisima cha maji kipindi cha mvua?
Sikuwa na mpango wa kukichimba muda huu, lakini mtu anayelihudumia shamba langu kwa sasa kaniambia anaweza kukichimba kwa bei nafuu hadi ayakute maji. Nilipomwambia kuwa visima vianvyochimbwa nyakati za mvua zinaweza kuishiwa maji wakati wa...
Katika vitu ambavyo Kila nikifikiria nakosa majibu ni gharama ya kuchimba kisima na Ile mitambo yao kiujumla, Sote tunajua kuwa katika mitambo inayouzwa bei ghali ni mitambo ya kutengeneza Barabara na ya migodini, ikiwemo Wheel loader, Excavator, Bull dozer (mashine ya kipekee ambayo ukiwa Dar...
Wadau,
Naoimba muongozo, nataka kuchimba bwawa kaajiri ya mifugo na kilimo cha umwagiliaji katika shamba lililoko bagamoyo. Muongozo wa jinsi ya kufanya hili na kama naweza pata mdau anafanya kazi hii.
Then baada ya mwisho wa kuchimba deposits za mafuta, zitakuwa zimeisha sasa wanatengeneza mikataba ya kilaghai ili ku meet future economic demands maeneo mbali mbali ili kupata future ecomonic sources of income hapo baadae when oil deposits runs out aisee.
Baada ya muda kidogo kufuatilia vifo vinavyotokana na biashara hizi mbili nimegundua kuwa utofauti uliopo baina ya biashara hizi ni kwamba Betting haiitaji mtaji mkubwa wa kifedha bali inahitaji mtaji mkubwa wa akili (Intelligence); Biashara ya Betting inatumia akili zaidi na inakupasa uwe na...
Kwanza nimpongeze Waziri Bashe kwa kuona umuhimu mkubwa wa hili. Waziri Bashe ni mmoja katika Mawaziri wachache wenye maono kwenye serikali yetu na naomba asichafuliwe aendelee, kwani Tanzania kila afanyaye vizuri atatafutiwa mkwara.
Uchimbaji wa mabwawa ya maji kwa kweli ungeanza mara tu...
Kuna siku moja nilikuwa nasafiri kutoka mkoa A kwenda mkoa B na safari ilichukua takribani masaa 16. Kuna muda dereva wa basi alituamuru tushuke kichakani tuchimbe dawa na tutumie dakika 5, kweli abiria wote wake kwa waume tulishuka.
Mimi nikaelekea upande fulani halafu kuna mdada nikashangaa...
Karibu kila eneo la taifa letu limejaliwa kuwa na madini ya kila namna. Dhahabu ndio inapatikana kwa wingi kila mahala hapa nchini.
Kama kuna baadhi ya kampuni za kigeni zina migodi ambayo uwekezaji wake haufiki hata bil 200 na wanachimba na kupata faida na pesa nyingi tu.
Kwa nini huyu...
Habari za muda huu wadau wa JF?
Naomba msaada hapa.
Nina rafiki mmoja ameniomba msaada anataka kununua eneo kwa ajili ya uchimbaji wa dhahabu.
Anapendelea zaidi Geita na maeneo ya Dutwa (kwa kifupi kanda ya ziwa kwa ujumla)
Pia anaomba kujua Gharama za Upimaji wa eneo husika kujua kiwango...
Hiki kimondo kinaitwa Phsyche. Utajili wake ni sawa na Kila mwanadamu anakuwa na utajili wa Bill gates. Kiko ktk ya sayari za mars na Jupiter ila beberu USA kafikisha Voyager na mpango ni kuyachimba madini ya huko. Tujifunze kutoka Kwa hawa watu kuliko kuwachukia. Wako mbali sana kisayansi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.