Wasalaam.
Nakumbuka july 26 mwaka 2017 aliekuwa spika wa bunge JMT mh ndugai aliwavua ubunge wabunge 8 wa CUF mara baada ya wabunge hao kuvuliwa uanachama na barua ya kuvuliwa uanachama kupokelewa na bunge japo wabunge hao walifungua kesi mahakamani. Spika ndugai alisema nanukuu 'unapovuliwa...
Mbunge wa Kawe akiwa bungeni, Joseph Gwajima amesema kwa miaka mitano Taifa limelipa fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 2.2 kununua chuma, Gwajima amesema kwa mtu yoyote mwenye akili na anajua kuzitumia jambo hili hawezi kuruhusu kufanyika.
Gwajima amesema nchi imeanza na reli ambayo...
Handeni. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameliagiza jeshi la polisi wilayani Handeni kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi wawili wa wizara hiyo na mkandarasi anayejenga bwawa la Kwenkambala kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi kuhusu ujenzi wa bwawa hilo.
Waziri Aweso ametoa agizo hilo leo Jumanne...
asante
bado
bwawa
chafu
hata
hii
kuchimba
kupotea
mahakamani
maji
milioni
pole sana
sana
taarifa
video
wahandisi
waziri
waziri wa maji
wizara
wizara ya maji
yako
Habari
Naomba kufahamu anayeijua biashara ya kuchimba mawe ya gypsum. Kwa maeneo ya kilwa au makanya. Gharama Hadi kiwandani ni kiasi gani, na faida ni kiasi gani
Nawasilisha
Nilipokuwa ziarani Morogoro nilijulishwa kuwa, hakuna mashine/gari au niseme kampuni hata moja iliyopo mjini Morogoro yenye gari la kuchimba visima
Nilichokikuta pale ni madalali ambao hupatana na mteja halafu wao huenda kukodisha mashine/gari la kuchimba huko DAR na hivyo kufanya bei ya...
Huduma zetu!
KUCHIMBA VISIMA VYA MAJI.
KUWEKA NA KUTENGENEZA BOMBA (PLUMBING SYSTEM) KWENYE MAJENGO YALIYO KWENYE UJENZI NA YATUMIKAYO.
KUBADILISHA/ KUSAFISHA PIPE ZA MAJI SAFI/TAKA ZILIZOPASUKA/ KUZIBA.
KUTENGENEZA (REPAIR) PUMPS ZA MAJI.
0759600809
Gerezani
Wazungu wana bahari kubwa kuliko waafrika, na mchanga wa bahari uko kwenye fukwe na ndani ya maji Bahraini. Swali ni kwanini wazungu waje kuchimba mchanga huo TANZANIA? Je, huu mchanga wanaotaka kuchimba kwetu haupatikani kwenye nchi nyingine Africa, Asia, ulaya au marekani ila Kigamboni tu...
ENEO la nyumba ya mkazi wa Kijiji cha Nyambogo Kata ya Nyakafuru Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita limevamia na watu zaidi ya 6,000 kwa ajili ya kusaka madini ya dhahabu.
Makundi mbalimbali ya watu kutoka maeneo kadhaa yamefika kijijini hapo kwenye nyumba hiyo, baada ya mwanakijiji...
Nilikuwa nikimfuatalia mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh.Amos leo kupitia tv, kwangu nimemfananisha mkuu huyo na wale watumishi wa Mungu wachungaji wa zamani wakitatua matatizo au migogolo ya wahumini wake. Amekuwa veri hambo sana. Tofauti na aliyewai kuwa mkuu wa mkoa huo ambaye nadhani hatokuja...
Inajulikana toka enzi na enzi na tangu kuumbwa kwa mtu kwa kwanza kwamba, binadamu mwisho wake ni kifo na baada ya kifo ni kuuzika mwili wake katika Kaburi, wengi huamini hapo ndipo kwenye nyumba yake ya milele, japo zipo tamaduni nyingine, marehemu anachomwa moto.
Hata hivyo, baadhi ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.