kuchimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mahakama isitumike kulinda wizi, ufisadi na uvunjifu wa Katiba ya JMT

    Wasalaam. Nakumbuka july 26 mwaka 2017 aliekuwa spika wa bunge JMT mh ndugai aliwavua ubunge wabunge 8 wa CUF mara baada ya wabunge hao kuvuliwa uanachama na barua ya kuvuliwa uanachama kupokelewa na bunge japo wabunge hao walifungua kesi mahakamani. Spika ndugai alisema nanukuu 'unapovuliwa...
  2. Gwajima: Taifa tumekosa maono, inakuwaje kujenga reli kabla ya kuchimba chuma? Waziri Mwigulu ampinga

    Mbunge wa Kawe akiwa bungeni, Joseph Gwajima amesema kwa miaka mitano Taifa limelipa fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 2.2 kununua chuma, Gwajima amesema kwa mtu yoyote mwenye akili na anajua kuzitumia jambo hili hawezi kuruhusu kufanyika. Gwajima amesema nchi imeanza na reli ambayo...
  3. Waziri Aweso awasweka ndani wahandisi, mkandarasi Handeni

    Handeni. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameliagiza jeshi la polisi wilayani Handeni kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi wawili wa wizara hiyo na mkandarasi anayejenga bwawa la Kwenkambala kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi kuhusu ujenzi wa bwawa hilo. Waziri Aweso ametoa agizo hilo leo Jumanne...
  4. B

    Biashara ya kuchimba mawe ya gypsum

    Habari Naomba kufahamu anayeijua biashara ya kuchimba mawe ya gypsum. Kwa maeneo ya kilwa au makanya. Gharama Hadi kiwandani ni kiasi gani, na faida ni kiasi gani Nawasilisha
  5. Mashine ya kuchimba visima Morogoro!

    Nilipokuwa ziarani Morogoro nilijulishwa kuwa, hakuna mashine/gari au niseme kampuni hata moja iliyopo mjini Morogoro yenye gari la kuchimba visima Nilichokikuta pale ni madalali ambao hupatana na mteja halafu wao huenda kukodisha mashine/gari la kuchimba huko DAR na hivyo kufanya bei ya...
  6. M

    Kuna uwezekano wa kuchimba kisima kwenye beach plots

    Habarini wakuu, Tafadhali naomba kujua kama kuna uwezekano wa kuchimba kisima kwa beach plots ambazo zipo kama 400m toka beach. Asante.
  7. Mafundi wa kuchimba choo

    Kamaunaitaji mafundi wa kukuchimbia choo wapo hapa bei nafuu Fut 12×12 tsh lak3 Futi 12×10 tsh lak2na50 Futi 10×10 tsh lak 2 Tupigie 0752252123
  8. E

    Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

    Huduma zetu! KUCHIMBA VISIMA VYA MAJI. KUWEKA NA KUTENGENEZA BOMBA (PLUMBING SYSTEM) KWENYE MAJENGO YALIYO KWENYE UJENZI NA YATUMIKAYO. KUBADILISHA/ KUSAFISHA PIPE ZA MAJI SAFI/TAKA ZILIZOPASUKA/ KUZIBA. KUTENGENEZA (REPAIR) PUMPS ZA MAJI. 0759600809 Gerezani
  9. Kuchimba mchanga wa bahari kama madini kunaleta wasiwasi wa kimazingira

    Wazungu wana bahari kubwa kuliko waafrika, na mchanga wa bahari uko kwenye fukwe na ndani ya maji Bahraini. Swali ni kwanini wazungu waje kuchimba mchanga huo TANZANIA? Je, huu mchanga wanaotaka kuchimba kwetu haupatikani kwenye nchi nyingine Africa, Asia, ulaya au marekani ila Kigamboni tu...
  10. Geita: Watu 6000 wavamia nyumba ya mtu ili kuchimba dhahabu

    ENEO la nyumba ya mkazi wa Kijiji cha Nyambogo Kata ya Nyakafuru Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita limevamia na watu zaidi ya 6,000 kwa ajili ya kusaka madini ya dhahabu. Makundi mbalimbali ya watu kutoka maeneo kadhaa yamefika kijijini hapo kwenye nyumba hiyo, baada ya mwanakijiji...
  11. M

    Hongera Amos Makalla kwa kazi nzuri, kikao chako leo hukutukana mtu, hukumkebei mtu, hukumdhalilisha mtu, hukuonyesha ubabe wala majigambo

    Nilikuwa nikimfuatalia mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh.Amos leo kupitia tv, kwangu nimemfananisha mkuu huyo na wale watumishi wa Mungu wachungaji wa zamani wakitatua matatizo au migogolo ya wahumini wake. Amekuwa veri hambo sana. Tofauti na aliyewai kuwa mkuu wa mkoa huo ambaye nadhani hatokuja...
  12. A

    Hatua 8 za kuchimba kaburi kabla ya kuuhifadhi mwili

    Inajulikana toka enzi na enzi na tangu kuumbwa kwa mtu kwa kwanza kwamba, binadamu mwisho wake ni kifo na baada ya kifo ni kuuzika mwili wake katika Kaburi, wengi huamini hapo ndipo kwenye nyumba yake ya milele, japo zipo tamaduni nyingine, marehemu anachomwa moto. Hata hivyo, baadhi ya watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…