Kumekuwepo na taarifa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia gazeti la Mwananchi limeandika kuwa Serikali ya Marekani imewawekea vikwazo wanasiasa wanne wa Kenya pamoja na familia zao akiwemo Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua baada ya kupata taarifa kuwa wanasiasa hao walipanga na kufadhili...
China imetoa waraka muhimu wa kisiasa unaojulikana kama “Waraka Na. 1 wa serikali kuu” wa mwaka 2023, ambapo nchi hii imesisitiza lengo lake la kusukuma kwa pande zote ufufukaji wa vijijini kwa kuunganisha juhudi za Chama cha Kikomunisti cha China na jamii nzima, na pia kuongeza kasi ya kutimiza...
VIPAUMBELE VYA FEDHA ZA MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF) 2022/2023 - IGUNGA
1. Kukamilisha ujenzi ulioanza wa Ofisi za Kata, Ofisi za Serikali za Vijiji, Vyoo vya Walimu, Vyoo vya Wanafunzi na nyumba za Walimu.
2. Kutengeneza Madawati ya Shule za Msingi na Shule za Sekondari.
3...
RC Makongoro Nyerere ametoa tuhuma hizo dhidi ya Gekul na kumtaja pia Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji, Babati, Abdulrahaman Kololi kwa kuwatuma wananchi kuvamia shamba la mwekezaji
Amemwagiza RPC George Katabazi kuwakamata waliovamia shamba wahojiwe hadi wawataje wanaowatuma, na kudai kuwa...
Kiongozi wa juu kabisa wa irani amezinyooshea kidole cha lawama marekani na israel kwa kusema ndio waratibu wa machafuko hayo nchini irani ikiwa ni hotuba yake ya kwanza tangu kuanza kwa machafuko nchini irani.
============================
Iran's supreme leader has blamed the US and Israel for...
Mh Tulia Ackson ametoa ushauri huo ndani ya bunge analoliongoza , kwa hoja kwamba Taarifa za vifo zinazotangazwa kila kukicha na Jeshi la Polisi hazisaidii kupunguza mauaji , na badala yake zinasababisha mauaji kuongezeka zaidi.
Bado haijafahamika hasa lengo la hoja yake hiyo.
Bali ikumbukwe...
Uhamasishaji wa kijeshi Urusi na kura za haraka za maoni katika maeneo yanayokaliwa mashariki mwa Ukraine ni ishara za udhaifu.
Putin amekosea; gharama wanalipa maelfu ya Warusi kwa maisha yao.
Rais Putin hawezi kurudi tena nyuma: Na ikiwa atashindwa katika vita vyake vya uvamizi dhidi ya...
Suala la ajira kwa vijana ni shida inayotusumbua nchi yetu kwa muda mrefu sasa. Moja ya masuluhisho ambayo yamekuwa yakipendekezwa ni vijana kujiajiri kupitia teknolojia, hasa mifumo ya mawasiliano ya kidigitali, kama mitandao ya kijamii, tovuti, programu, michezo n.k.
Tuangalie kijana ambaye...
UTAWALA BORA KATIKA KUJENGA NCHI NA KUCHOCHEA UZALENDO BORA
Utawala bora ni mchakato wa kuongoza nchi kwa kuzingatia suala la Demokrasia na utu wa wazawa katika nchi,utawala bora ni dhana kubwa ya kuwaleta viongozi wanaongoza na raia mahali pamoja ili kulijenga Taifa lenye maendeleo.
Mambo...
Utangulizi: Awali ya yote napenda kutumia fursa hii kumpongeza "Mh: samia suluhu hassan, raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania" kwa kuonyesha upendo na mahaba makubwa kwenye sekta ya utalli nchini, kwa kuamua kwa dhati kucheza filamu ya "The Royal Tour" kwa lengo la kuhamasisha watalii waje...
UTANGULIZI
Huduma za afya ni jumla ya huduma za umma zinazotolewa ili kuboresha afya ya wananchi. Mfano wa huduma za afya ni pamoja na uboreshaji wa mazingira ya kufanyia kazi kwa watumishi katika vituo vya afya na hospitali,ujenzi wa miundombinu ya kutolea huduma za afya, malipo bora kwa...
Makamu wa Rais, Philip Mipango, akiwa katika hafla ya kukabidhi magari ya kukuza Utalii, Mikumi, mkoani Morogoro amesema kutokana na wingi wa utalii unaoongezeka ni muhimu kwa wawekezaji wa ndani kuwekeza katika kujenga hoteli ili watalii wasiwe wanalala kwenye mahema mbugani
Aidha amezitaka...
Radi Yapiga Nje ya White House na Kuuwa Watu Wawili Hapo Hapo
Siku ya jana Radi ilishuka Nje ya White House, Ikulu ya Marekani, na kuua Watu wawili ambao ni Wanandoa walijulikana kwa majina yao James Mueller, 76, na Donna Mueller, 75, Baada ya radi kupiga nje kidogo ya Ikulu ya White House...
Kwa mara nyingine Rais Samia Suluhu anaendelea kuonyesha aina ya uongozi unaojali uwajibikaji na usio toa nafasi ya kufanya kazi kwa mazoea. Falsafa hii ni muhimu kwa Taifa linalohitaji matokeo ya haraka na linalojali uwazi na uwajibikaji.
Kwasasa kila atakaye pewa nafasi kwa kuteuliwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.