Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya kikao na viongozi wa mkoa huo pamoja na Mkoa wa Pwani kwa lengo la kutafuta suluhu ya kudumu ya foleni katika jiji hilo.
Akizungumza ameeleza kuwa foleni imekuwa mwiba na miongoni mwa visababishi imekuwa ni bandari kavu ambazo zipo katika...