Chalamila: Kuna vijana wanataka kuchoma bandari kavu, kisa foleni

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya kikao na viongozi wa mkoa huo pamoja na Mkoa wa Pwani kwa lengo la kutafuta suluhu ya kudumu ya foleni katika jiji hilo.

Akizungumza ameeleza kuwa foleni imekuwa mwiba na miongoni mwa visababishi imekuwa ni bandari kavu ambazo zipo katika makazi ya watu hasa Kigamboni.

Chalamila ameeleza kuwa amepata taarifa za kiintelijensia kuwa kuna vijana wamejipanga kwenda kuchoma moja ya bandari kavu kwa sababu inasababisha foleni katika maeneo wanayoishi.

Siyo mbaya ila haiwezi kuungua kwa sababu ina maji.
Hivi Chalamila hajui kuwa serikali ilihamishia Kwala bandari kavu zote na ikaweka treni ya SGR kupeleka huko makontena, sasa wanang'ang'ania nini Dar!
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya kikao na viongozi wa mkoa huo pamoja na Mkoa wa Pwani kwa lengo la kutafuta suluhu ya kudumu ya foleni katika jiji hilo.

Akizungumza ameeleza kuwa foleni imekuwa mwiba na miongoni mwa visababishi imekuwa ni bandari kavu ambazo zipo katika makazi ya watu hasa Kigamboni.

Chalamila ameeleza kuwa amepata taarifa za kiintelijensia kuwa kuna vijana wamejipanga kwenda kuchoma moja ya bandari kavu kwa sababu inasababisha foleni katika maeneo wanayoishi.

​
View attachment 3618337
Hizo customs bonded house kwanza ni vituo vya kukwepa kodi tu. Hebu fikiri kama lengo la kufungua bandari kavu kibaha ni kuondoa foleni hivi vituo vya kuchukulia mizigo wanasambaza ni jini kwa nia gani. Sasa hiizi bohari za kutozea ushuru wanaziita bandari kavu kimakosa au kusudi kupotosha huku vingi vinasababisha kuepa kodi na kusababishia mji foleni kwenye hivyo vituo.
 
Sasa amepata taarifa za kiinterenjisa na hajawakata hao vijana😅, wapuuzi bana ko wanatengeneza sinema zao wakachome na polisi wao ili baadae waseme chadema?. Ccm Ina wapumbavu qumaniner zao.
 
Kigamboni imekua kero kwa kweli, uhasibu unaweza kukaa masaa 2 ukisubiri foleni isogee upite darajani, upande wa mikadi napo kuna ICD, ni kero kila sehemu
Kwala ishajengwa na kukamilika, ugumu upo wapi kuhamisha hizo shughuli
Mapango ya wakwepa kodi. Yachomwe tu.
 
Kiberiti na mafuta ni kama wali maharage
wachome tu nchi yenyewe ishajifia hii!
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya kikao na viongozi wa mkoa huo pamoja na Mkoa wa Pwani kwa lengo la kutafuta suluhu ya kudumu ya foleni katika jiji hilo.

Akizungumza ameeleza kuwa foleni imekuwa mwiba na miongoni mwa visababishi imekuwa ni bandari kavu ambazo zipo katika makazi ya watu hasa Kigamboni.

Chalamila ameeleza kuwa amepata taarifa za kiintelijensia kuwa kuna vijana wamejipanga kwenda kuchoma moja ya bandari kavu kwa sababu inasababisha foleni katika maeneo wanayoishi.

Tatueni shida ya foleni,ondoeni mayadi yanayomea katikati ya miji!
 
Huyu ni wakumuaisha kupimwa akili.Tusipo shtuka
Unajibu kwa mihemuko badala ya kujibu hoja za kiongozi wa Mkoa, jambo linaloonyesha upungufu mkubwa wa uwezo wako wa kuchambua masuala kwa mantiki. Ulichokiandika kimeweka wazi kiwango chako cha uelewa na namna unavyoshindwa kutofautisha hoja na hisia.
 
Ni kero kweli na hawana cha kuwafanya wenye nazo.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya kikao na viongozi wa mkoa huo pamoja na Mkoa wa Pwani kwa lengo la kutafuta suluhu ya kudumu ya foleni katika jiji hilo.

Akizungumza ameeleza kuwa foleni imekuwa mwiba na miongoni mwa visababishi imekuwa ni bandari kavu ambazo zipo katika makazi ya watu hasa Kigamboni.

Chalamila ameeleza kuwa amepata taarifa za kiintelijensia kuwa kuna vijana wamejipanga kwenda kuchoma moja ya bandari kavu kwa sababu inasababisha foleni katika maeneo wanayoishi.

mbona analalamika badala ya kutoa suluhisho
 
Ukiona vijana wanapanga kufanya vurugu na kuchoma bandari kavu ujue matatizo yote hayo yamesababishwa na serikali ya ccm.
 
Tatizo la ukosefu wa miundombinu bora ya barabara Tanzania yamesababishwa na serikali ya ccm .
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya kikao na viongozi wa mkoa huo pamoja na Mkoa wa Pwani kwa lengo la kutafuta suluhu ya kudumu ya foleni katika jiji hilo.

Akizungumza ameeleza kuwa foleni imekuwa mwiba na miongoni mwa visababishi imekuwa ni bandari kavu ambazo zipo katika makazi ya watu hasa Kigamboni.

Chalamila ameeleza kuwa amepata taarifa za kiintelijensia kuwa kuna vijana wamejipanga kwenda kuchoma moja ya bandari kavu kwa sababu inasababisha foleni katika maeneo wanayoishi.

Huyu jamaa ni Muongo Hadi Shetani ameshika kiuno
 
itelijensia ya nchi iko juu sana hao vijana washushwe bega kabla hawajakomaa
 
Back
Top Bottom