Leo kwa mfano Hospital zetu ukienda na mgonjwa akifariki pale hospitali kama ulikuwa unadaiwa hela ya matibabu utoi maiti pale, hivi ni sawa? kwa sababu serikali haina hela na wabunge wameacha serikali endelee kushirikia maiti
Lakini kwa kipindi hiki cha uchaguzi kufanya kulipia maiti ni...