Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Leo kwa mfano Hospital zetu ukienda na mgonjwa akifariki pale hospitali kama ulikuwa unadaiwa hela ya matibabu utoi maiti pale, hivi ni sawa? kwa sababu serikali haina hela na wabunge wameacha serikali endelee kushirikia maiti
Lakini kwa kipindi hiki cha uchaguzi kufanya kulipia maiti ni maigizo kwa sababu uwezi kulipia maiti zote zilizopo hospitali. Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu (Bara), wa CHAUMMA
Lakini kwa kipindi hiki cha uchaguzi kufanya kulipia maiti ni maigizo kwa sababu uwezi kulipia maiti zote zilizopo hospitali. Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu (Bara), wa CHAUMMA