kuchunguza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Simbachawene: Polisi inalishughulikia shambulio la kutumia silaha kwa Tundu Lissu kama uhalifu mwingine na upelelezi unaendelea

    Akijibu swali la mtangazaji wa ITV Midle kuhusu uchunguzi ulipofikia kwenye tukio la kushambuliwa Tundu Lisu mbunge by then mh Simbachawene amesema yapo matukio mengi ya kutumia silaha yanayochunguzwa na hilo la Tundu Lisu siyo special ni uhalifu kama mwingine hivyo yote yanashughulikiwa kwa...
  2. M

    Kigoma: Polisi Wadaiwa kuua raia kwa risasi na kujeruhi wawili kwenye kiwanja cha mpira Lake Tanganyika

    Kupitia Twitter pia, Abdul Nondo Kaandika; -- Askari polisi mwenye namba F.5123 D/ CPL Subira ambaye aliyekuwa na bunduki aina ya AK 47 adaiwa kumuua Juma Ramadhani kwa kumpiga risasi na kuwajeruhi watatu wakati akiwa kwenye harakati za kujihami kwenye vurugu zilizotokea katika kiwanja cha...
  3. S

    Kim Jon-Un: Ktk miaka 5 North Korea itarusha na kuweka angani setilaiti nyingi za kijeshi ili kuchunguza shughuli za kijeshi za Marekani

    Rais wa North Korea, Kim Jong-Un, ameweka wazi kuwa ndani ya miaka 5 North Korea itafunga angani setilaiti nyingi za upelelezi ili kukukasanya na kupata taarifa ndani ya muda muafaka zihusuzo vitendo vya kijeshi vya Marekani na washirika wake wawili, South Korea na Japan. North Korea imefanya...
  4. Eric Cartman

    NBAA inatakiwa kuchunguza madai ya Kigwangala na kama yana ukweli kuwafutia leseni ya kufanya auditing wahusika

    Auditing is a profession na trustworthy ya report is key to stakeholders. Iwapo madai ya Kigwangala yanaukweli upande wake aujachunguzwa na control measures za matumizi ambazo ahusiki nazo kuamua matumizi. Wahusika wa hiyo report wamevunja kanuni za auditing ethics and obligations, makosa...
  5. J

    Waziri Masauni: Serikali haiwezi kukaa kimya wakati wananchi wanauawa. Aunda kamati kuchunguza matukio ya mauaji nchini

    Waziri wa mambo ya ndani mh Masauni amesema amewasikia kupitia mitandaoni mzazi wa polisi aliyefia mahabusu Mtwara na wazazi wa watu waliopotea Dar es salaam wakitoa malakamiko yao, na ameahidu kulifuatilia suala hilo kwani Serikali haiwezi kukaa kimya wakati wananchi wanapoteza maisha. Masauni...
  6. kmbwembwe

    Hivi tungekodi kampuni ya Uingereza kuchunguza makinikia tungejua tulichojua?

    Ndugu zangu Watanzania, kuna watu bado hawajui au hawaamini kama ukoloni na ubeberu ni matokeo ya hila kubwa ya nchi za magharibi na raia wao ikiwepo marekani. Kuna ushirika mkubwa kati ya nchi za kibeberu na makampuni mbalimbali ya nchi hizo linapokuja suala la kuendelea kumiliki uchumi wa...
  7. Kamanda Asiyechoka

    Kwa miaka mitano kuanzia mwaka 2015 mali nyingi za Chadema yetu zimepotea. Tuunde tume kuchunguza zilipo mali zetu zikiwemo Ford Ranger za M4C

    Ofisi nyingi mikoani zimefungwa huku mali nyingi za chama zikiwa hazijulikani zilipo. Tuunde tume ili kujua mali za chama zilipo. Nyingi ya mali za chama zilipotea kuanzia mwaka 2015 baada ya uchaguzi mkuu. Sio kwamba watu hawaoni wanaona kabisa kuwa mali nyingi zimepotea hovyo hovyo.
  8. Mshana Jr

    Je, CCM ina uthubutu wa kuunda 'task force' ya kuchunguza mali za wanachama wao Viongozi serikalini?

    Kampeni za kuwania kiti cha spika wa bunge la Tanganyika zimepamba moto. Kuna nyuso kongwe chakavu zinatajwatajwa na kujitokeza sana hasa huko vijiweni na mitandaoni baada ya spika mtangulizi kujiuzulu nafasi hiyo mapema wiki iliyopita. Hata waganga wa kienyeji wameanza kufaidika na hizi...
  9. Chendembe

    Ningekuwa mwenye dhamana, busara ingenielekeza kuunda tume huru kuchunguza tuhuma zilizotolewa Mwingira

    Moto hauzimwi kwa petroli, Moto unazimwa kwa maji, mchanga na vitu ambavu si vilipuzi. Serikali ndio mlinzi wetu kwa kutumia vyombo vyetu vya usalama. Kwa vyovyote vile, haiingii akilini mtu kutuhumiwa na kujipa kazi ya kuhoji au kuchunguza. Majibu ya uchunguzi wa namna hii unaleta maswali...
  10. Idugunde

    IGP Sirro aagizwa kuchunguza wahitimu wa polisi wanaotaka kupangiwa utrafiki na bandarini

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro pamoja na wakuu waandamizi wa polisi kuchunguza sababu za wahitimu wengi wa mafunzo ya polisi kuomba kupangiwa idara ya usalama barabarani na bandarini kama maeneo yao ya kazi na si maeneo mengine...
  11. Idd Ninga

    Wanyakyusa na ujuzi wa Kuchunguza na kupasua maiti

    WANYAKYUSA NA UPASUAJI WA MAITI Afrika haikuwahi kuwa na wajinga kiasi hicho ndio maana watu walifuatwa kufanywa watumwa na kwenda kujenga Ulaya, ila ni lazima kuwalisha waafrika matango pori kwa sababu ya shida zao ili waamini kweli walikuwa wajinga. Hebu leo tutazame kabila la Wanyakyusa na...
  12. Analogia Malenga

    Kenya: KRA yatangaza kuchunguza maisha ya wakenya kwenye mitandao ya kijamii

    Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru nchini Kenya (KRA) imetangaza kuwa inaanza kuchunguza mwenendo wa maisha ya raia wa nchi hiyo kwenye mitandao ya kijamii na majukwaa mengine ya kidijitali ili kubaini iwapo mapato yao yanalipiwa ushuru. Mamlaka hiyo inasema kuwa raia wengi wa Kenya wamekuwa...
  13. jingalao

    CCM inapaswa kuchunguza kiasi cha fedha kilichotumika katika ziara za Kinana na Nape?

    Kuna muda huwa tunakaa kimya tu. Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika? Can it be accounted for?
  14. Ramon Abbas

    Haya mawe ni madini aina gani? naomba mnisaidie kuchunguza

    Habari jf? naomba mnisaidie kutambua kama hii ni mawe ya madini ama la? kuna mtu kaniuliza nimeshindwa kujua
  15. Mystery

    Nadhani tulikosea kuwakabidhi Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la mauaji ya Hamza

    Hivi karibuni kulitokea tukio la kustua na kutisha Sana, ambapo kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Hamza, alipofika kituo cha Selander Bridge na kuwafyatulia risasi kwa kutumia bastola yake na kuwaua askari 2 na kuchukua "machine gun" yao na kuanza kuwasaka Polisi popote pale walipo na...
  16. H

    Rais Samia, unda tume huru kuchunguza mauaji ya Hamza

    Leo DCI ametoa taarifa aliyoiita kuwa ni matokeo ya uchunguzi. Kwangu mimi, na nadhani kwa Watanzania walio wengi, Polisi hawakuwa taasisi sahihi ya kufanya uchunguzi wa mauaji yaliyofanywa na Hamza dhidi ya polisi na pia kifo chake yeye mwenyewe Hamza. Kwa nini? Katika tukio la mauaji ya...
  17. Mystery

    Jeshi la Polisi kujipa jukumu la kuchunguza mauaji ya askari, ni sawaswa na kesi ya nyani kumpa ngedere

    Jeshi la Polisi nchini limejipa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyotokea kwenye daraja la selander, ambapo mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Hamza, aliwafyatulia risasi askari watatu na mlinzi mmoja wa kampuni ya SGA na kuwaua wote na askari wengine kadhaa kujeruhiwa na hatimaye yeye mwenyewe...
  18. Fohadi

    SoC01 Muhimu Serikali kuunda Tume za kuzuia maafa ili ziwe mbadala wa tume za kuchunguza vyanzo vya maafa ambazo huundwa baada ya maafa kutokea

    Utangulizi Kumekuwepo na utokeaji wa maafa mbalimbali kama vile moto, ajali n.k ambayo kwa kiasi kikubwa yamekuwa yakisababisha athari ambazo zinaathiri ustawi wa mtu mmoja mmoja na ustawi wa jamii kwa ujumla. Baadhi ya athari ambazo zimekuwa zikijitokeza ni pamoja na upotevu mkubwa wa nguvu...
  19. S

    Rais Samia, unda tume huru ya kuchunguza madhila wanayopitia wananchi wa Tanga

    Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu amekua akizunguka maeneo mbalimbali akisisitiza ukusanyaji wa mapato na matumizi sahihi ya fedha hizo, amewataka viongozi waliopo chini ya wizara yake kuzingatia taratibu zote katika utumishi wa umma. Mbaya zaidi alipokua ziarani Tanga alimtolea mfano Martin...
Back
Top Bottom