kudai haki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOKEZO Kilimanjaro; Walimu wadai kudhalilishwa na Afisa elimu kwa kuambiwa kuwa hata Mahari hawajawahi kumaliza. Kisa kudai haki yao

    Baadhi ya walimu wa shule ya msingi waliohamishwa katika shule mbali mbali katika wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wamesikitishwa na kauli iliyotolewa na Afisa elimu wa wilaya hiyo kuwa hata mahari yenyewe hawajamalizaga kulipa kwa hiyo hata malipo yao watalipwa kidogo kidogo. Walimu hao...
  2. L

    Hivi Mhe.Rais akiamua na yeye kwenda Mahakamani kudai haki yake ya kubaguliwa na Mbowe na Lissu kwenye majukwaa ya siasa c itakuwa balaa

    Wewe Mbowe umembagua sana Rais wetu, umemuita yeye ni mzanzibar na kashfa kibao za kisiasa dhidi ya Rais. Mhe Rais amebaki na 4R tu, mmemtibua sana kwenye majukwaa kwa kauli zenu za kibaguzi, kama ningekuwa mm hakyamungu ningewaongoza kama Niccolo Machiaevell vile. Rais ni kiongozi wa nchi lkn...
  3. K

    Mbinu waliyoitumia Wamasai Kuandamana ili Kudai haki yao ni Effective kwa Hakika

    Hiyo Mbinu ya Wamasai wa Ngorongoro waliyotumia Leo itaisumbua mno Serikali. SERIKALI italazimika kuangalia upya sera yake ya kuwahamisha hao Wamasai vinginevyo utalii kwa maeneo ya Serengeti na Ngorongoro utaathirika sana. Na watalii watasaidia sana kusambaza taarifa za kilio cha Wamasai hao...
  4. Mwanamke Akianza kudai haki zake, huonekana ana kiburi.

    Hususan Maeneo ya Vijijini na hata baadhi ya Familia Mjini Mwanamke akianza kutambua na kudai haki zake huonekana ana kiburi sana. Halafu cha kushangaza sasa unakuta wanawake ndio wa kwanza kuanza kukandamiza haki ya Mwanamke mwenzao ili mradi tu na wao wasionekane wabaya. Mwanamke huyu...
  5. Wakili Sweetbert Nkuba kupinga ushinda wa Wakili Boniface Mwabukusi kuwa Rais wa TLS

    Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Rais wa chama cha Wanasheria nchini TLS, Wakili Sweetbert Nkuba amekataa kutambua ushindi alioupata mpinzani wake wa karibu Mwabukusi kwa madai ya ukiukaji wa mwenendo wa uchaguzi. Pia soma: Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274...
  6. Jomo Kenyatta(RIP): Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao

    Jomo Kenyata alishawai kusema: "Waganda ni sawa na wagonjwa wanaweza kupona mda wowote na wakadai vyao, Wakenya ni sawa na walio lala usingizi muda wowote wanaweza kuamka na kudai chao, Ila Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao.
  7. Kijana dai haki kwa kutimiza wajibu wako

    Niwakumbushe tu vijana wa kudai haki zenu hakikisha unatimiza wajibu wako. Mfano kama ulisomeshwa vizuri na wazazi wako na wewe ukatimiza ushauri wa wazazi wako na ukakosa ajira ni haki yako kudai haki. Kama unafuata sheria za nchi kama katiba inavyoeleza una haki ya kudai haki. Sio ujiingize...
  8. Dhana ya maiti katika Siasa na Harakati za kudai Haki Tanganyika

    1. Wakenya mara kadhaa wametumia dhana ya MAITI kuelezea namna ambavyo Watanganyika "Wamekufa" katika kudai haki zao toka Uhuru 1961 (miaka 63 iliyopita). 2. Mkataba wa DP World ilikua fursa ya Watanganyika kukataa dhana ya "MAITI" Ila ndo kama mnakumbuka mkataba umeshaanza kutumika, 3...
  9. Watanzania wanahofu kwenye swala la kudai haki

    Serikali haina dini ila watu waliomo katika serikali wanamisingi ya dini, zipo theory ambazo zinaelezea tabia ya binadamu inavyoathiri taasisi/utendaji kazi mfano wa behaviorism theory japo kuna code of conduct zimetazamiwa kumctrol muhusika ila effect ya kinachomtengeza kinakuwepo akiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…