kudai haki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito Mawakili Kushikamana, Kusimama Imara Kudai Haki, Heshima na Utu kwa Kusimama na Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi.

    Wanabodi, Hii ni Taarifa muhimu kutoka TLS. Nime C& P TAARIFA KWA UMMA Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi atabiri vikundi vya uasi kama M23, anachosahau ni kwamba hata jeshi lilishindwa mara mbili na vikundi vingine havikudumu kabisa

    Mange Kimambi anaota ndoto za mchana? Jana, Mange Kimambi alichapisha video akizungumzia uwezekano wa kuibuka kwa vikundi vya uasi nchini Tanzania kama M23. Ukweli ni kwamba, suala la majaribio ya kuipindua serikali na changamoto za usalama si geni katika historia ya Tanzania. Hata jeshi...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ado Shaibu: Sitaogopa Binadamu, nitaendeleaza mapambano ya kudai haki

    Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, ameapa kutoogopa vitisho vyovyote na kuendelea kupigania haki za wananchi wake. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi, mbunge huyo aliwahutubia wale wanaokandamiza haki, polisi wanaonyanyasa raia...
  4. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Bila kuchoka tuendelee kudai haki pamoja na changamoto zote tunazokutana nazo Haki uinua Taifa

    Najua kwenye kudai haki kuna changamoto mbali mbali tunakutana nazo lakini bila Kuchoka lazima kama haki ya Polepole kupatikana haki za watu wote waliopotea na waliotekwa na wengine kama waliokufa October 29 lazima haki zao zipatikane bila Kusahau Tundu Lissu bila kuchoka tuendelee kuzidai ni...
  5. Chacha wa Mwita

    JamiiForums Tanzania Imetosha Sasa! Watanganyika tuanze Maandamo Ya Kudai Haki ya Tundu Lissu

    Imetosha Sasa! Watanganyika Tuanze Maandamo Ya Kudai Haki Ya Tundu Lissu. Tundu Lissu amekuwa mahabusu Ukonga kwa case ya uongo ya treason. Raia wote tunaelewa ni hujuma za Samia kumuumiza Lissu ili Samia na CCM yake waendelee kupora rasilimali za watanganyika. Samia amejiapisha kuwa Rais wa...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa Iran waweka silaha chini na kuunga mkono maandamano ya kudai HAKI

    https://www.instagram.com/reel/DTL2zwckvlX/?igsh=NXI4ZTdyd2h5YXhr
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wakili Amon Mpanju: Kama hakuna amani utawezaje kudai haki na kutimiza wajibu wako?

    “Inategemea na mtizamo…..kama hamna amani unawezaje kudai haki? Utazitambuaje haki zako unawezaje kutimiza wajibu kwa hiyo kimsingi na watu wamekuwa na mijadala mingi lakini unawasikiliza tunahitaji amani….” Wakili Amon Mpanju, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake...
  8. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njia za kudai haki kutoka kwa watawala zipo nne(4) kati ya hizo mbili (2) ndio pekee tu

    Wajumbe sina mengi moja kwa moja kwenye mada 1.Maandamano ya amani yasiyo koma ambayo mpaka sasa haya wezekani ,kwa kuwa JESHI LA WANANCHI, JESHI LA POLISI NA USALAMA WA TAIFA hawapo upande wa haki .Wapo kumlinda mtawala. Kufanikiwa katika hili ni asilimia ndogo sana 2.Jeshi la wananchi (jwtz)...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Wakina mama, kesho ni siku yenu ya kudai haki juu ya dhuluma na ukatili uliofanywa kwa watoto wenu

    Hii sio vita ya vijana peke yao, tarehe 29 waliopitia mateso zaidi ni nyie kina Mama ambao uhai na ndoto za watoto wenu ulikwapuliwa kwa ukatili mkubwa sana. Ukatili huu ukiongozwa na mwanamke mwenzenu D9 ni siku yenu ya kupigania damu ya watoto wenu iliyomwagika mbele ya macho yenu wakipania...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani apigiwa wimbo wa kudai haki kwenye mahafali, akerwa

    Hivi kwa nini HAKI inakuwa kero kwa wengine, kwani HAKI ina ubaya gani? Kwa nini upende amani bila HAKI?
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Madowo: Serikali ya Tanzania ilikataa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana kilichotokea oct 29 lakini baada ya CNN kutangaza dunia ndio wamekuja

    Madowo: serikali ya Tanzania ilikataa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana kilichotokea oct 29 lakini baada ya CNN kutangaza dunia ndio wamekuja. #D9
  12. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Naambiwa kwamba vijana walioingia barabarani kudai haki walilipwa kwanza ndipo wakaingia

    Leo Novemba 20, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani katika uzinduzi wa tume huru ya uchunguzi wa vurugu za uvunjifu wa amani uliojitokeza siku ya uchaguzi mku Oktoba 29, 2025 ameeleza kuwa walioingia barabarani na kudai haki walikuwa wamelipwa na NGO za ndani na za...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwa Afrika waasi ni wazalendo wa nchi zao waliovikwa ubaya mara baada ya kuanza kudai haki zao

    Huu ndio Ukweli !! Wanaweza wakawa ni wengi au wachache ila lengo lao ni HAKI ZAO TU. Wanapopuuzwa, ndio huamua kudai Haki zao Kwa namna wawezavyo. Baada ya hapo, hutangazwa kua ni Waasi.
  14. Keynez

    JamiiForums Tanzania Mambo haya yafanyike ili kujipanga upya kwa Season 2 ya kudai haki na demokrasia ya kweli nchini

    Maandamano ya tarehe 29/10/2025 yalienda kinyume cha matarajio ila kuna upande yamefanikiwa. Sitaenda ndani sana kwenye uchambuzi huo kwa sasa ili naomba nielezee nini kifanyike kuanzia sasa ili nafasi nyingine ikipatikana iwe bora zaidi. 1. Ni muhimu kuwa na viongozi on the ground. Hawa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi yakanusha video ya Wamasaai Kuandamana kudai haki zao Arusha

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo (video clip) inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikisema "Wamasai waanza maandamano kudai haki zao Arusha". Ukweli ni kwamba picha hiyo mjongeo ilikuwa ni wakati wa sherehe za jando/tohara mwezi Juni 2025...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Wasilaumiwe watakaoingia barabarani kudai haki zao walizonyinyimwa!

    Kauli thabiti: “Tulipita nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi kwenye rasimu niliyoiongoza mimi mwenyewe rasimu ya Warioba, wananchi wakatoa maoni yao ila serikali ikawapuuza, wananchi walilalamikia sana Tume ya uchaguzi kwamba haitendi haki wakatoa mapendekezo yao mkawaona wajinga, mkiwaona...
  17. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Huyu Mchungaji, anafanya uchochezi au anatimiza wajibu wake kiimani?

    Wakuu nimekuta na hii video sehemu, Mchungaji anawasimanga vijana na kuna mahala anaenda mbali zaidi mpaka kusema Vijana hawezi hata kudai haki, wakipewa Elfu 5 tu wavaa T-shirt. Hii mijadala ya dini na siasa imekuwa yakawaida sana hivi karibuni na mpaka wa Viongozi wa dini kuonekana wanafanya...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Apostle Mtalemwa: Tuna vijana foolish wasioweza kudai hata haki zao

    Mchungaji amesema kuwa hana neno na wazee, ana shida na vijana. Asema vijana wa nchi hii ni foolish, hawawezi hata kusoma katiba na kudai haki zao, vijana wanahongwa elfu 5, tshirt, nyama na wali, baiskeli, eti ndiyo wakapige kura. Vijana hawa ni foolish. Anasema neno la Mungu linasema vijana...
  19. mkokamoto

    JamiiForums Tanzania Swali: Kabla ya kuwalalamikia watanzania kuwa waoga wa kudai haki zao; Je, ni kweli wanajua wanahitaji hizo haki?

    Habarini ndugu zangu wana JF, jana nikiwa naburudika bar ukazuka mjadala wa walevi kuhusu no reforms no election Kinachosikitisha asilimia kubwa ya wadau waliochangia hoja wanadai hizo reforms hazina msaada wowote kwa raia wa kawaida zaidi zaidi ni janja janja ya Tundu Lissu kujipatia urais...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaogopa kufa kwa kudai haki zao wakati walishakufa

    Mtanzania anaogopa kufa na au kuwa mtumwa akidai haki yake wakati tayari ni maiti na mtumwa. Mnaogopa kutekwa wakati tayari ni mateka,kweli mmekuwa mateka chini ya chama tawala chenye elementi za udikiteta .
Back
Top Bottom