PostGE2025 Njia za kudai haki kutoka kwa watawala zipo nne(4) kati ya hizo mbili (2) ndio pekee tu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mwana parokia

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2023
Posts
1,193
Reaction score
2,066
Wajumbe sina mengi moja kwa moja kwenye mada
1.Maandamano ya amani yasiyo koma ambayo mpaka sasa haya wezekani ,kwa kuwa JESHI LA WANANCHI, JESHI LA POLISI NA USALAMA WA TAIFA hawapo upande wa haki .Wapo kumlinda mtawala. Kufanikiwa katika hili ni asilimia ndogo sana

2.Jeshi la wananchi (jwtz) Kusaidia kupata haki. Hili halitokaa liwezekani kwasababu asilimia kubwa ya wanajeshi wetu wanatokea familia za kawaida sana kwahiyo hawezi kurisk(kuhatarisha) maisha yao kirahisi.

3.Mahakama ya ICC .Hii ndiyo tumaini kuu lililobaki.Ingawa hufanya kazi kwa kujivuta vuta sana.

4.Gen z watanzania waombe msaada kwa KAGAME na M23.Waandike barua ya siri kuomba msaada wa mapambano ya kivita kutoka kwao.Kagame hampendi SAMIA na KIKWETE kwahiyo msaada kwake uhakika.
 
Unasema GEnZ waombe msaada Kwa kagame na M23?yule JAMAA mwenye jersey ya YANGA anawatandika wote hao ndani ya nusu saa tu na KUMALIZA kazi
 
Hatujafikia hatua hiyo ya no 4

Hata ukifanya research hapo hapo nyumbani kwako kwa kuwauliza kuhusu hiyo point no 4 watajiuliza huyu baba anaongea uharo gani??
Ni kweli hiyo namba nne hatujafikia bado, at least for now
Ila CCM wakiendelea kuongoza nchi kibabe ipo siku tutafika huko. Na hicho sio kitu kizuri, bora CCM waache nepotism, ufisadi, kufadhili machawa na waanze kusimamia haki kama kweli wanaitakia mema Tanzania. La sivyo tutaipeleka nchi kwenye machafuko
 
Unasema GEnZ waombe msaada Kwa kagame na M23?yule JAMAA mwenye jersey ya YANGA anawatandika wote hao ndani ya nusu saa tu na KUMALIZA kazi

Hatujafikia hatua hiyo ya no 4

Hata ukifanya research hapo hapo nyumbani kwako kwa kuwauliza kuhusu hiyo point no 4 watajiuliza huyu baba anaongea uharo gani??
Huwezi kuelewa leo utaelewa kesho. Ukiona peacefully means imeshindikana violance ndiyo mbadala
 
Unasema GEnZ waombe msaada Kwa kagame na M23?yule JAMAA mwenye jersey ya YANGA anawatandika wote hao ndani ya nusu saa tu na KUMALIZA kazi
4 . Ndio jibu .ila kweli huu wengi hawaamini.Mh.Paul ni Mpango wa Mungu please save Tanganyika kwa masilahi ya Africa Tanganyika ni Mali za Africa si waarabu
 
Huwezi kuelewa leo utaelewa kesho. Ukiona peacefully means imeshindikana violance ndiyo mbadala
Huwezi kuelewa leo utaelewa kesho. Ukiona peacefully means imeshindikana violance ndiyo mbadala
Naamini Kwa Sasa serikali hawatafanya kazi Kwa mzoea kama ilivyokuwa mwanzo.Na wao wamepata funzo umuhimu wa haki na siyo kutekateka.
 
Hatujafikia hiyo point haya maandamano yenyewe ni ya kuforce tu wengi hawaelewi hata wanachopigania ni mikumbo tu na ndo mana target kubwa imekuwa kwa Gen Z kwa sababu ndo wanajua ni rahisi kuwashika akili

Unaloliombea haliwezi kutokea kamwe
 
Bila shaka wewe ni CHAWA ,bila shaka wewe ni CCM ,Bila shaka wewe ni mnufaika wa moja kwa kwenye mfumo .Kwa sasa huna akili ya kuelewa haya .Utaelewa ukiwa nje ya mfumo pole sana.
 
Yote hayo umekosea

Mimi mpenda amani na haki sinufaiki directly na kitu chochote kutoka CCM
 
Naamini Kwa Sasa serikali hawatafanya kazi Kwa mzoea kama ilivyokuwa mwanzo.Na wao wamepata funzo umuhimu wa haki na siyo kutekateka.
Hawa ni sikio la kufa wamepata funzo ila watapuuza..Uthibitisho ni mwendelezo maradufu wa utekaji nyara na upotezwaji wa watu wa matabaka mbalimbali.
 
Naamini Kwa Sasa serikali hawatafanya kazi Kwa mzoea kama ilivyokuwa mwanzo.Na wao wamepata funzo umuhimu wa haki na siyo kutekateka.
Hawawezi kuacha kuteka, maana hawakubaliki na kizazi cha sasa. Hivyo katika kujiokoa, kuteka ili kutia hofu ni sehemu ya mbinu za kubaki madarakani kwa shuruti. Machafuko pekee ndio yatawatoa. Na uzuri njia ya machafuko ni ngumu lakini inaonyesha italeta mafanikio.
 
Huwezi kuelewa leo utaelewa kesho. Ukiona peacefully means imeshindikana violance ndiyo mbadala
Tuna imani potofu ya kufikiri yanayotokea kwa wenzetu hayawezi kutokea kwetu. Hii imani itatugharimu. Tutakuja kujikuta tushaingia kwenye shimo ambalo hatuwezi kutoka
 
Hakuna Mtawala anaweza kutawala kama raia wote wakimchoka na tunapoelekea kwa watawala kutokujua kula na vipofu hilo litatokea , nina predict hawa Gen Alpha wakiwa wakubwa sababu litakuwa taifa la watu wasio na hope wala cha kupoteza....

Issue unazozungumzia wewe ni kama betting na sababu watawala wote ni binadamu na kama kuna uwezekano wa system kuwa corrupted kwa manufaa ya wachache basi yoyote atakayekuja itakuwa ni mkandamizo wa level tofauti tofauti...

The only way ya watu kupata Haki ni kuwa na System yenye Uwazi, watu kujua Haki zao na kutokuona ufisadi na ubadhirifu kwamba ni sifa - watu kuwajibika sababu waliooza sio viongozi tu bali hata wanufaika wa mfumo husika - indirectly wewe ukiwemo....

Pia tujiulize ni mfumo gani tunataka sababu democracy as is currently is ni oligarchy in disguise

4.Gen z watanzania waombe msaada kwa KAGAME na M23.Waandike barua ya siri kuomba msaada wa mapambano ya kivita kutoka kwao.Kagame hampendi SAMIA na KIKWETE kwahiyo msaada kwake uhakika.
Njia hii ni uhakika ila si kwenda kwa Kagame ,bali kupata backup ya Alshaabab , wale chinja chinja wa KITAYA , alqaeda hawa wanajivika mabomu na kwenda kujilipua kwenye mikutano ya samia.
 
Hawawezi kuacha kuteka, maana hawakubaliki na kizazi cha sasa. Hivyo katika kujiokoa, kuteka ili kutia hofu ni sehemu ya mbinu za kubaki madarakani kwa shuruti. Machafuko pekee ndio yatawatoa. Na uzuri njia ya machafuko ni ngumu lakini inaonyesha italeta mafanikio.
kabisa
 
Back
Top Bottom