PostGE2025 Njia za kudai haki kutoka kwa watawala zipo nne(4) kati ya hizo mbili (2) ndio pekee tu

PostGE2025 Njia za kudai haki kutoka kwa watawala zipo nne(4) kati ya hizo mbili (2) ndio pekee tu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wajumbe sina mengi moja kwa moja kwenye mada
1.Maandamano ya amani yasiyo koma ambayo mpaka sasa haya wezekani ,kwa kuwa JESHI LA WANANCHI, JESHI LA POLISI NA USALAMA WA TAIFA hawapo upande wa haki .Wapo kumlinda mtawala. Kufanikiwa katika hili ni asilimia ndogo sana

2.Jeshi la wananchi (jwtz) Kusaidia kupata haki. Hili halitokaa liwezekani kwasababu asilimia kubwa ya wanajeshi wetu wanatokea familia za kawaida sana kwahiyo hawezi kurisk(kuhatarisha) maisha yao kirahisi.

3.Mahakama ya ICC .Hii ndiyo tumaini kuu lililobaki.Ingawa hufanya kazi kwa kujivuta vuta sana.

4.Gen z watanzania waombe msaada kwa KAGAME na M23.Waandike barua ya siri kuomba msaada wa mapambano ya kivita kutoka kwao.Kagame hampendi SAMIA na KIKWETE kwahiyo msaada kwake uhakika.
Ili kuwe na mabadiliko ya kweli inabidi upande wa watawala na ccm pia wapate maumivu kama wanauopitia wengine.
 
Hupendi amani, unapenda watu waoga na kujipendekeza kwa serekali.
Mi ni muumini wa amani sio muumini wa kumwaga damu

Naamini suluhu yoyote inaweza kupatikana bila kumwaga damu
 
Ipo njia , ni kuhak mitandao ya system zote za Tanzania. Jamani Gen Z hakuna mahacker ? ??? Yaani unahack system za mishahara,mawasiliano .Hii unahack sytem zote.Wallah hapa ndo ushindi upo.Sema wataalam ndo hatuna.Njia zako zote hapo haziwezekani.
 
Hatujafikia hatua hiyo ya no 4

Hata ukifanya research hapo hapo nyumbani kwako kwa kuwauliza kuhusu hiyo point no 4 watajiuliza huyu baba anaongea uharo gani??
Hatujagika lakini ndio hatua ifuatayo. Sio kwa uhuni huu
 
Njia hii ni uhakika ila si kwenda kwa Kagame ,bali kupata backup ya Alshaabab , wale chinja chinja wa KITAYA , alqaeda hawa wanajivika mabomu na kwenda kujilipua kwenye mikutano ya samia.
Shida ya hawa ni gharama sana kuwa handle maana wanahitaji SIRAHA ,posho na chakula kwenye kuishi wanaishi msituni . Hali ni tofauti kwa KAGAME anafadhili mwenyewe kila kitu ,pili yeyote anayesumbuliwa anakimbilia kwake na hakuna wa kumgusa .Tatu JESHI LA KAGAME lina kinyongo cha KISASI na TANZANIA.
 
Ipo njia , ni kuhak mitandao ya system zote za Tanzania. Jamani Gen Z hakuna mahacker ? ??? Yaani unahack system za mishahara,mawasiliano .Hii unahack sytem zote.Wallah hapa ndo ushindi upo.Sema wataalam ndo hatuna.Njia zako zote hapo haziwezekani.
Tume kwisha hata ya ICC?
 
4 . Ndio jibu .ila kweli huu wengi hawaamini.Mh.Paul ni Mpango wa Mungu please save Tanganyika kwa masilahi ya Africa Tanganyika ni Mali za Africa si waarabu
Kagame haleti jeshi kizembe, akileta basi mnaliwa pia
 
Serikali yetu haiwezi kujifunza lolote Kwa yanayoendelea
 
Mkuu uliona mbali. Hapa dawa ni:-
(a) kuchoma moto majengo ya chama na serikali,
(b) kuchoma vituo vya mafuta na maduka ya hao walioko serikalini na chamani,
(C) kuua ndugu jamaa na familia za hao wa chama na serikali.
 
Wajumbe sina mengi moja kwa moja kwenye mada
1.Maandamano ya amani yasiyo koma ambayo mpaka sasa haya wezekani ,kwa kuwa JESHI LA WANANCHI, JESHI LA POLISI NA USALAMA WA TAIFA hawapo upande wa haki .Wapo kumlinda mtawala. Kufanikiwa katika hili ni asilimia ndogo sana

2.Jeshi la wananchi (jwtz) Kusaidia kupata haki. Hili halitokaa liwezekani kwasababu asilimia kubwa ya wanajeshi wetu wanatokea familia za kawaida sana kwahiyo hawezi kurisk(kuhatarisha) maisha yao kirahisi.

3.Mahakama ya ICC .Hii ndiyo tumaini kuu lililobaki.Ingawa hufanya kazi kwa kujivuta vuta sana.

4.Gen z watanzania waombe msaada kwa KAGAME na M23.Waandike barua ya siri kuomba msaada wa mapambano ya kivita kutoka kwao.Kagame hampendi SAMIA na KIKWETE kwahiyo msaada kwake uhakika.
Hatimaye tumepata maana halisi ya neno HAKI mnayohangaika nayo. Kumbe madai ya Haki kwenu ni kumuondoa Rais? Pam••fu zenu.
 
Back
Top Bottom