Jaji Warioba: Wasilaumiwe watakaoingia barabarani kudai haki zao walizonyinyimwa!

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,775
Reaction score
46,063
Kauli thabiti:

“Tulipita nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi kwenye rasimu niliyoiongoza mimi mwenyewe rasimu ya Warioba, wananchi wakatoa maoni yao ila serikali ikawapuuza, wananchi walilalamikia sana Tume ya uchaguzi kwamba haitendi haki wakatoa mapendekezo yao mkawaona wajinga, mkiwaona barabarani wanadai haki yao kwa nguvu msiwalaumu jilaumuni wenyewe”-; Jaji Warioba.

G4QFrb1XQAAcDjK.jpeg
 
Miaka 80, tamaa ya nini tenaa.. Wakati ndio umri wa kuacha legacy. Sasa yeye kaua yote aliyofanya yote na hawato msaidia walio muingiza chaka
Ameua legacy, hiyo ni mpaka vitukuu na vining'ina vyake, watu watakumbushia tuu.
 
Kauli thabiti:

“Tulipita nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi kwenye rasimu niliyoiongoza mimi mwenyewe rasimu ya Warioba, wananchi wakatoa maoni yao ila serikali ikawapuuza, wananchi walilalamikia sana Tume ya uchaguzi kwamba haitendi haki wakatoa mapendekezo yao mkawaona wajinga, mkiwaona barabarani wanadai haki yao kwa nguvu msiwalaumu jilaumuni wenyewe”-; Jaji Warioba.

View attachment 3494486
Na yeye awepo mbele kama vipi
 
Back
Top Bottom