barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aanza Kutandika Lami Ya Njia Nne Mkoa wa Mbeya Kwa Kasi ya Ndege Vita. CHADEMA Washinda Barabarani wakijipiga Picha Utafikiri Wahitimu

    Ndugu zangu Watanzania, Pesa Za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,Nyota ya Matumaini na nuru ya Wanyonge. Anaendelea kubadilisha sura na muonekano wa jiji la Mbeya Kwa...
  2. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Mabango ya “TUMEWASIKILIZA” Barabarani

    Nimeona matangazo yenye ujumbe “TUMEWASIKILIZA” yaliyo barabarani, jambo lililonifanya nijiulize ujumbe huu unahusu nini na umetolewa na nani? Wadau, kuna yeyote anayefahamu maana ya mabango haya au anayejua walioyaweka? Tuelimishane, huenda kuna wenye taarifa zaidi. 👀🤔
  3. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania SACP Maigwa: Hakuna aliyejuu ya Sheria za usalama barabarani

    Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, SACP Simon Maigwa, amewataka madereva wa vyombo vya Serikali kuzingatia sheria na kanuni za usalama barabarani, akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria, bila kujali nafasi au cheo alichonacho. Akizungumza Oktoba 23, 2026, katika kipindi...
  4. Olmo

    JamiiForums Tanzania Polisi na tahadhari za ajari barabarani

    Wakuu ndugu zangu polisi najua na nina uhakika kabisa nyinyi ni watanganyika wenzetu tena hata majina mnatumia kama ya kwetu ya kina Mongera kama mimi hapa richa ya kuijita olmo lakini kiukoo ni mongera! Najiuliza kwanini mnachukiwa ivi jamani ? Wengine tunaenda mbali tunasema hii ni kwa sababu...
  5. TANESCO

    JamiiForums Tanzania Endesha kwa Umeme, Nishati Safi na Nafuu zaidi Barabarani.

    Umeme wa Kuchaji tunao lakini kupaa, paa "at your own risk." Endesha kwa Umeme, Nishati Safi na Nafuu zaidi Barabarani.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Abiria wahimizwa kutoa taarifa za makosa wanayofanya madereva barabarani

    Afisa Mnadhimi wa kikosi cha Polisi, Trafiki Makao Makuu ACP Desdery Rugimbana, alisimamia zoezi la utoaji wa elimu ya usalama barabarani kwa watumiaji wote wa barabara wakiwemo madaereva na abiria. Elimu hii ilitolewa oktoba Oktoba 18, 2026 eneo la Kipalala Morning Tabora. ACP Rugimbana...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malori yanayoegesha barabarani Ubungo Maziwa kuelekea Kigogo ni kero kubwa

    Kwa masikitiko makubwa, napenda kuwasilisha kilio cha wananchi kuhusu hali inayoendelea katika Barabara ya Ubungo Maziwa kuelekea Kigogo, ambapo malori makubwa yamekuwa yakipaki kandokando na hata sehemu ya barabara kwa muda mrefu, hali inayosababisha msongamano mkubwa wa magari, usumbufu kwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi wafanyabiashara wa barabarani hawawezi kuuza bila kufungulia sauti ya spika juu?

    Naishi Mbagala, na nina dukuduku pamoja na maoni binafsi ambayo ningependa yawafikie wananchi wenzangu na mamlaka husika, ili ikiwezekana hatua zichukuliwe na marekebisho yafanyike. Kumekuwa na tabia ya wafanyabiashara, hasa wale walio pembezoni mwa barabara, kutumia redio zenye matangazo ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Julius Nyerere: "Ukipewa kazi ya nchi, lazima ujiheshimu. Huwezi kupewa kazi ya nchi halafu unaishi kihunihuni. Kazi za uhuni barabarani ziko tele

    JULIUS KAMBARAGE NYERERE "Ukipewa kazi ya nchi, lazima ujiheshimu. Huwezi kupewa kazi ya nchi halafu unaishi kihunihuni. Kazi za uhuni barabarani ziko tele." (1995) Maneno hayo ni nukuu maarufu kutoka kwa Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyosisitiza umuhimu wa...
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hivi, polisi wa usalama barabarani, mmeiona hii?

  11. S

    JamiiForums Tanzania Ni wazi malori ndio chanzo cha ajali nyingi nchini; suluhisho la kutatua msongamano wa malori barabarani ni hili hapa, kama kweli serikali iko serious

    Ni kwamba kimsingi, hakuna haja kabisa ya kuwa na utitiri wa malori tunayoyaona barabarani siku hizi katika barabara za Dar - Mbeya, Dar - Tanga, Dar - Songea, Dar - Arusha na hata Dar - Mtwara. Sasa basi suluhisho ni nini? Serikali iamue, kama kweli inataka kuondoa tatizo la msongamano wa...
  12. O

    JamiiForums Tanzania # 💰 Bei ya Gari Sio Gharama Yote ya Kulifikisha Barabarani Tanzania

    Habari Umeona gari Japan kwa TZS 25 milioni na ukaamua kulinunua? Subiri kidogo. 🚨 Kabla hujafanya uamuzi, unahitaji kufahamu kwamba bei ya gari na gharama ya mwisho ya kulifikisha barabarani Tanzania ni vitu viwili tofauti. Unaweza kuwa na gharama kama: 🚗 Bei ya gari 🚢 Shipping 📑 Customs...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Ujue mfumo wa points za udereva (Drivers Licence Point System)

    Kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi na malori uliotokea Septemba 28 na 29, 2026, madereva wengi hawakujua maana ya mfumo wa points (Drivers Licence Point System). Kwa mujibu wa Kifungu cha 31 cha Sheria ya Usalama Barabarani Sura ya 168 Rekebu ya 2023, leseni yako ya udereva ina pointi 15, na...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania LATRA tumieni technolojia kudhibiti madereva barabarani kabla ya kuongeza sheria nyingine.

    Kama madereva wana uwezo wa kutumia teknolojia ya kidigitali kuhamasishana kugoma nchi nzima kwanini nyinyi LATRA mnashindwa kutumia teknolojia hiyohiyo kuwadhibiti madereva wasifanye makosa barabarani yanaosababisha ajali?. Badala yake bado mnatunga sheria zitakazofanyakazi manually kuwapa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini gari moja la mizigo linaweza kuonekana lina uzito tofauti kwenye mizani tofauti ya barabarani?

    Kwa kuwa kila siku magari yanapita katika mizani mbalimbali, kuna changamoto inayowakabili madereva na wamiliki wa magari ya mizigo. Unaweza kupita mizani A, ukaambiwa umezidisha uzito na kupewa faini. Baada ya kulipa, unapanga upya mzigo na kuendelea na safari. Ukifika mizani B, unapimwa tena...
  16. tpaul

    JamiiForums Tanzania Madereva: Hatuingii barabarani hadi turudishiwe pointi zetu

    Licha ya Waziri wa Michezo (Bwana Paulo Makonda) na Waziri wa Mambo ya Ndani (Bwana Patrobas Katambi) kufanya kikaokazi na madereva wa mabasi yaendayo mikoani jana tarehe 29/09/2026, madereva hao wameshikilia msimamo wao wa kutoingia barabarani hadi warejeshewe pointi zao walizokatwa kihuni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani

    Wana-Jamii Forums salamu, Kama mnavyofahamu, nchi imeshuhudia taharuki na usumbufu mkubwa kufuatia mgomo wa ghafla wa madereva wa mabasi ya mikoani na malori unaopinga utekelezaji wa mfumo mpya wa Jeshi la Polisi wa kukata pointi kwenye leseni za udereva kila wanapofanya makosa. Binafsi...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Sheria za Barabarani: Afya na Uhai Wetu

    Sheria na taratibu za barabarani ziheshimiwe ili kulinda Afya na uhai wa watumiaji wote, suala la kukatwa Points ni kwa watumiaji/Madereva wa vyombo vya moto wote haijalishi ni Bus la Abiria ama Private Car. Wanaojikuta ni special waendelee na Mgomo ila wasizuie wengine📌
  19. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu: Huu ndio Muarobaini wa Ajali za Barabarani - Kila Dereva Awe na Leseni, na Mfumo wa Pointi Uboreshwe, Uwe na Ufanisi.

    Ndugu zangu wa JamiiForums, Ajali za barabarani zimeendelea kupoteza maisha ya ndugu zetu, kusababisha ulemavu, na kurudisha nyuma uchumi wetu kupitia uharibifu wa mali. Mara nyingi tumekuwa tukilaumu ubovu wa miundombinu au magari, lakini ukweli ni kwamba chanzo kikuu cha ajali ni kiburi...
  20. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa Bajaji barabara Kuu, Wakati wa Kuziondoa ni sasa! Anza na Dodoma.

    Ikiwa vituo holela vya mabasi vinachafua jiji, basi bajaji zinazosimama kila kona ya barabara kuu zinalichafua zaidi, na kuhatarisha maisha. Barabara kuu inapaswa kuwa na mtiririko unaotabirika. Ikiwa kila baada ya umbali mfupi kuna chombo kinachosimama ghafla kumchukua au kumshusha abiria...
Back
Top Bottom