Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,607
- 9,171
Kwani unajuaje kama babaangu "hajaliza" kulitumikia Taifa?Mpeleke babakoo ndo awe mbele huyo ameshaliza kulitumikia yaifa

BINGOKauli thabiti:
“Tulipita nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi kwenye rasimu niliyoiongoza mimi mwenyewe rasimu ya Warioba, wananchi wakatoa maoni yao ila serikali ikawapuuza, wananchi walilalamikia sana Tume ya uchaguzi kwamba haitendi haki wakatoa mapendekezo yao mkawaona wajinga, mkiwaona barabarani wanadai haki yao kwa nguvu msiwalaumu jilaumuni wenyewe”-; Jaji Warioba.
View attachment 3494486
Hata mimi nataka kujua aliongea kwenye tukio gani,lini na wapi?Hii kaisema lini. Sitaki matatizo na TCRA kwa Sasa.
Atakufa mdomo wazi. Mark my words.Sio Butiku snitch. Butiku atakufa baya sana na kifo cha aibu
Mbona rahis tu kujua sababu kazaa kiazi kama wewe kilaza tupuKwani unajuaje kama babaangu "hajaliza" kulitumikia Taifa?
Achana na ukilaza wangu. Nakubali mi ni kilaza, jibu ulichoulizwaMbona rahis tu kujua sababu kazaa kiazi kama wewe kilaza tupu
Butiku mzee wa hovyo kuwahi kutokeaSio Butiku snitch. Butiku atakufa baya sana na kifo cha aibu
Mzee ameanza upya?Kauli thabiti:
“Tulipita nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi kwenye rasimu niliyoiongoza mimi mwenyewe rasimu ya Warioba, wananchi wakatoa maoni yao ila serikali ikawapuuza, wananchi walilalamikia sana Tume ya uchaguzi kwamba haitendi haki wakatoa mapendekezo yao mkawaona wajinga, mkiwaona barabarani wanadai haki yao kwa nguvu msiwalaumu jilaumuni wenyewe”-; Jaji Warioba.
View attachment 3494486
Ametekeleza wajibu wakeHuyu mzee Taifa halimdai
Pakubwa sanaAmetekeleza wajibu wake
Mimi ni Tomaso mpaka nisikie audioKauli thabiti:
“Tulipita nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi kwenye rasimu niliyoiongoza mimi mwenyewe rasimu ya Warioba, wananchi wakatoa maoni yao ila serikali ikawapuuza, wananchi walilalamikia sana Tume ya uchaguzi kwamba haitendi haki wakatoa mapendekezo yao mkawaona wajinga, mkiwaona barabarani wanadai haki yao kwa nguvu msiwalaumu jilaumuni wenyewe”-; Jaji Warioba.
View attachment 3494486
HahahaaVideo iko wapi? Chanzo kiko wapi?
NB: Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa hiyo ni nukuu kutoka kwa huyo Mzee!
Hao wote ni wanafikj tu,wataongea hayo November 2030 kama watakuwa hai.