Jaji Warioba: Wasilaumiwe watakaoingia barabarani kudai haki zao walizonyinyimwa!

Jaji Warioba: Wasilaumiwe watakaoingia barabarani kudai haki zao walizonyinyimwa!

Hahaha haya maneno mnayowawekea usishangae kesho akaja kukanusha.

Ujasiri umepotea kabisa siku hizi.
 
Kama kweli ameyasema hayo maneno basi Mwenyezi Mungu aendelee kumjalia maisha marefu Mzee Warioba. Hakika huyu Mzee hajawahi kuwa msaliti kama ilivyotokea kwa akina Polepole, Kabudi, Butiku na Snitches wengine waliolambishwa asali ili tu kuyasaliti mabadiliko na haki za msingi za wananchi.
 
Mzee Butiku amenisikitisha sana kwakweli.
Butiku ndo snict aliyekua amebaki wanamtandao huyo suala la Polepole na Lissu la kukemewa watu wote kama tulivyokua tunamkemea Magufuli Sio mambo ya kufurahia utekaji karne 22 unamtoa uhai mwezio kisa mmpeshina hoja na kakushinda una mtoa roho Unafikiri Wewe utaishi milele Wakisema waafrika sio binadamu kamili sometimes huwa nakubali
 
Hiyo ni habari ya siku nyingi huko, wanaokoteza tu hawa

IMG_20251026_095650.jpg
 
Butiku na Lipumba tayari wanakodolea kuwa kwenye tume ya maridhiano baada ya uchaguzi. Wazee binafsi sana hao. Kimsingi ni wa kutolea uvivu!
Bituki Lissu hawezi kumsikiliza na Uzuri wa Lissu uwa anasikiliza wakimkataa Butiku wananchi Lissu anamtema na maridhiano bila Lissu hamna maridhiano Lipumba hana Ushawishi wowote kwa watu maridhiano watu wenye ushawishi ambao hawana doa ya usaliti kama Lipumba na Butiku hiyo ni mistake nyingine wanatengeneza Maridhiano yatakufa kibudu Warioba ndo anawezwa kusikiliza na Prof shifji
 
Baada ya kimya kingi juu ya maovu yanayofanyika nchini, niliamua kumtoa mzee Warioba katika orodha ya wazee wenye busara na wazalendo kwa nchi hii lakini naona nilifanya kosa. Hapa namwekea kiti chake cha uzalendo, ukweli na uwajibikaji uliotukuka, Salute kwako Jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba.
 
Video iko wapi? Chanzo kiko wapi?

NB: Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa hiyo ni nukuu kutoka kwa huyo Mzee!

Hao wote ni wanafikj tu,wataongea hayo November 2030 kama watakuwa hai.

Mambo mengi muda mchache. Mwenye masikio ya kenge kwa sasa si kipaumbele!
 
Huyu mzee ndiye aliyepaswa kuwa baba wa taifa. Ana hekima na maamuzi ya busara.

Ila angekuwapo JKN si JK, jiwe wala huyu aliyepo wangali liona jumba jeupe. Pia katiba mpya hadi leo ingekuwapi. Julius (rip) alikuwa jembe kweli kweli kwa maana CCM hata vyama vingi walikataa.
 
Baada ya kimya kingi juu ya maovu yanayofanyika nchini, niliamua kumtoa mzee Warioba katika orodha ya wazee wenye busara na wazalendo kwa nchi hii lakini naona nilifanya kosa. Hapa namwekea kiti chake cha uzalendo, ukweli na uwajibikaji uliotukuka, Salute kwako Jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba.
Kwa hiyo na wewe ushaamini habari hiyo ni current!
 
Siku zote kama huliwezi jambo n heli husilijaribu
Katika kipind hiki tumewaona wanasiasa wa kweli
Katika kipind hiki tumewaona wachungaji wa kweli na kinyume chake
Watu wengi waliojijengea heshima yao kupitia siasa wakati huu umetumika kuwapepeta na wamepepetwa kweli
Leo nimekaa nikatafakari picha walizozijenga watu wafuatao
Viola Mtetezi
AuntLulu
Mzee Butiku
Aisee siasa ni kitendawili
 
Back
Top Bottom