Jaji Warioba: Wasilaumiwe watakaoingia barabarani kudai haki zao walizonyinyimwa!

Jaji Warioba: Wasilaumiwe watakaoingia barabarani kudai haki zao walizonyinyimwa!

Unawaokota kweli wajinga. Sio vizr hivyo unavyowafanyia.. kwa maslahi gani hasa

IMG_20251026_100423.jpg
 
Kauli thabiti:

“Tulipita nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi kwenye rasimu niliyoiongoza mimi mwenyewe rasimu ya Warioba, wananchi wakatoa maoni yao ila serikali ikawapuuza, wananchi walilalamikia sana Tume ya uchaguzi kwamba haitendi haki wakatoa mapendekezo yao mkawaona wajinga, mkiwaona barabarani wanadai haki yao kwa nguvu msiwalaumu jilaumuni wenyewe”-; Jaji Warioba.

View attachment 3494486
Mungu akujalie umri mwingine kama ulionao wenye siha njema,amani,matumaini,furaha na uzalendo kama ilivyo siku zote katika maisha yako.
 
Sema Mzee Warioba, Sema.

Wasije kusema hawakujuwa na hawakukumbushwa.
 
Kwa kauli hii,

Atakayebaki ndani, ajitafakari sana.

Toka tu hata uende mtaa wa pili na kurudi.

NRNE 💪 🔥
 
Back
Top Bottom