Imetosha Sasa! Watanganyika tuanze Maandamo Ya Kudai Haki ya Tundu Lissu

Chacha wa Mwita

Senior Member
Joined
May 17, 2008
Posts
169
Reaction score
56
Imetosha Sasa! Watanganyika Tuanze Maandamo Ya Kudai Haki Ya Tundu Lissu.

Tundu Lissu amekuwa mahabusu Ukonga kwa case ya uongo ya treason. Raia wote tunaelewa ni hujuma za Samia kumuumiza Lissu ili Samia na CCM yake waendelee kupora rasilimali za watanganyika. Samia amejiapisha kuwa Rais wa Tanganyika baada ya kuuwa watanganyika zaidi ya elfu kumi (10,000).

Ni muda wetu sasa, watanganyika wote kufanya maamuzi magumu na kuingia barabarani ili tuweze kunusuru uhai na haki ya kuishi ya Tundu Lissu.

Watanganyika wote, kwa kauli moja tuanze maandammano yasiokoma, maandamo ya #Free Tundu Lissu. Ni lazima Tundu Lissu aachiwe, tuanze harakati za katiba mpya. Bila Tundu Lissu kuwa huru, bila katiba mpya Tanganyika inazikwa rasmi Kizimkazi.
 
Naunga mkono hoja
20260210_145611.jpg
 
Nakuunga mkono 💯 tufike kipindi tukatae uhuni unaofanywa na wahuni kuwafunga midomo wale wote wazalendo na rasilimali za nchi Kama Lissu na wengine uku wao wakiendelea kuuza rasilimali za Nchi bila buguza fungeni waliotokea kwenye Riport ya CAG
 
Imetosha Sasa! Watanganyika Tuanze Maandamo Ya Kudai Haki Ya Tundu Lissu.
Tundu Lissu amekuwa mahabusu Ukonga kwa case ya uongo ya treason. Raia wote tunaelewa ni hujuma za Samia kumuumiza Lissu ili Samia na CCM yake waendelee kupora rasilimali za watanganyika. Samia amejiapisha kuwa Rais wa Tanganyika baada ya kuuwa watanganyika zaidi ya elfu kumi (10,000). Ni muda wetu sasa, watanganyika wote kufanya maamuzi magumu na kuingia barabarani ili tuweze kunusuru uhai na haki ya kuishi ya Tundu Lissu.
Watanganyika wote, kwa kauli moja tuanze maandammano yasiokoma, maandamo ya #Free Tundu Lissu. Ni lazima Tundu Lissu aachiwe, tuanze harakati za katiba mpya. Bila Tundu Lissu kuwa huru, bila katiba mpya Tanganyika inazikwa rasmi Kizimkazi.
nonsense
 
Sisi watanganyika ni wajinga na ni wapumbavu sana.

Fikiria yanayoendelea kwa Tundu Lissu, pamoja na kesi dhidi ya chadema wawezeshaji na wasimamizi ni wazanzibar.

Fikiria yale mauaji ya October 2025 yalisimamiwa na mzanzibar Samia dhidi ya watanganyika.

Inasikitisha kumuona Katuga na wenzake wanamkandamiza mtanganyika mwenzao ili kumlinda Mzanzibar Samia.

Fikiria, huyu Mzanzibar kauza mali zote za Tanganyika, halafu watanganyika tupo tupo tu kila siku mamamamaaaaa.

Leo deni la Taifa ni T 110 anayeenda kulipa ni sisi Watanganyika na siyo zanzibar, waziri wa fedha mzanzibar je atakuwa na uchungu na maendeleo ya Tanganyika?? Tukimwambia wilaya ya Nkasi inaomba Billion 1 kwa ajili ya kusambaza huduma ya maji ataelewa?? Anaijua Nkasi huyu waziri na Samia wake??

Fikira suala la Elimu siyo la muungano lakini Naibu Waziri ambaye ndiye mjibu maswali ya wabunge bungeni ni mzanzibar, je atakuwa na uelewa wa kutosha juu ya mfumo wetu wa elimu?

Huu Muungano haupaswi kuendelea kuwepo.
 
Sisi wengine tunafarijika tu kwa kuwaona na wenyewe wanavyoteketea kila siku kutokana na sababu zinazofanana, huku Mwenyezi Mungu akiendelea kumjalia uhai Rais wetu wa Tanganyika huru.
 
Imetosha Sasa! Watanganyika Tuanze Maandamo Ya Kudai Haki Ya Tundu Lissu.

Tundu Lissu amekuwa mahabusu Ukonga kwa case ya uongo ya treason. Raia wote tunaelewa ni hujuma za Samia kumuumiza Lissu ili Samia na CCM yake waendelee kupora rasilimali za watanganyika. Samia amejiapisha kuwa Rais wa Tanganyika baada ya kuuwa watanganyika zaidi ya elfu kumi (10,000).

Ni muda wetu sasa, watanganyika wote kufanya maamuzi magumu na kuingia barabarani ili tuweze kunusuru uhai na haki ya kuishi ya Tundu Lissu.

Watanganyika wote, kwa kauli moja tuanze maandammano yasiokoma, maandamo ya #Free Tundu Lissu. Ni lazima Tundu Lissu aachiwe, tuanze harakati za katiba mpya. Bila Tundu Lissu kuwa huru, bila katiba mpya Tanganyika inazikwa rasmi Kizimkazi.
Ole wako uandamane utakiona cha moto. Tutapiga Mpaka Uchakae.
 
Na kuvunja muungano...
 
Ninakubaliana na kila neno ulilosema kwenye mada yako hii.

Hii ni mada ya pili kwa siku za hivi karibuni kuwasihi waTanganyika, kama siyo waTanzania kwa ujumla kufanya maandamano kupinga uonevu wa waziwazi kabisa kama huu.

Tatizo la mada kama hizi ni kuwa zinapoletwa humu JF inakuwa kama ndiyo njia ya kuamsha mori wa waTanganyika /waTanzania na kuwapa msukumo wa kufanya maandamano.
Hii siyo njia sahihi ya kuitisha watu watende jambo, hata kama wanaona umuhimu mkubwa wa kufanya hivyo.

Ninachohofia mimi mada kama hizi ni kama kuwapa tahadhari waovu hawa; ili wafuatilie mienendo na watu.

Kwa maoni yangu, badala ya kuhimiza tu watu wafanye maandamano, ni bora zaidi kushughulika na mbinu za kufanya maandamano hayo ili yafane.

Yale yaliyosababisha maafa makubwa Oktoba, hayakufanyika kwa watu kuhimizwa tu kuingia barabarani.

Na haya yanatakiwa kutengenezewa mbinu. Haiwezekani kupeleka watu tena barabarani bila ya kuwa na njia za kuhakikisha kuwa kukitokea yaliyotokea oktoba, ni lazima mapigo yajibiwe kwa uhakika. au pawe na njia ya kuzuia waovu kufanya walivyofanya wakati ule.

Ni lazima pawe na njia za kuwakabili' iwe kwa shari au vinginevyo.

Hayo ndiyo yanayotakiwa kufanyiwa kazi wakati huu kwa bidii zaidi

Huku kuitisha maandamano kupitia JF pekee haitoshi kabisa.

Tundu Lissu anastahili kupiganiwa kwa nguvu zote; na wakati wa kufanya hivyo umekaribia sana; hasa hii mizunguko ya kesi yake itakapoonekana haina njia za kwenda mbele tena.
 
Back
Top Bottom