Binafsi sijui huyo mtu anaishi maisha ya namna gani. Inasikitisha sana,Umejawa na upuuzi na upumbavu mwingi mno📌🔨
Binafsi sijui huyo mtu anaishi maisha ya namna gani. Inasikitisha sana,Umejawa na upuuzi na upumbavu mwingi mno📌🔨
Hivi hiki kichaa chako unafikiri kitakufikisha wapi wewe?Jaribu kutoa pua yako kwenda kuanzisha au kushawishi maandamano uone cha mtema kuni. Utatwangwa kama mbwa koko
Wewe nenda zako kaanze kudai haki hizo unazozisema, wala usipoteze muda kuandika hapa.Imetosha Sasa! Watanganyika Tuanze Maandamo Ya Kudai Haki Ya Tundu Lissu.
Tundu Lissu amekuwa mahabusu Ukonga kwa case ya uongo ya treason. Raia wote tunaelewa ni hujuma za Samia kumuumiza Lissu ili Samia na CCM yake waendelee kupora rasilimali za watanganyika. Samia amejiapisha kuwa Rais wa Tanganyika baada ya kuuwa watanganyika zaidi ya elfu kumi (10,000).
Ni muda wetu sasa, watanganyika wote kufanya maamuzi magumu na kuingia barabarani ili tuweze kunusuru uhai na haki ya kuishi ya Tundu Lissu.
Watanganyika wote, kwa kauli moja tuanze maandammano yasiokoma, maandamo ya #Free Tundu Lissu. Ni lazima Tundu Lissu aachiwe, tuanze harakati za katiba mpya. Bila Tundu Lissu kuwa huru, bila katiba mpya Tanganyika inazikwa rasmi Kizimkazi.
Amka utakunya kitandani kwa ndoto chafu. Huo ujinga hauna nafasi tena. Mnahamasisha watoto wenzenu wanauliwa, nyinyi kazi yenu kuandika upumbavu tuNinakubaliana na kila neno ulilosema kwenye mada yako hii.
Hii ni mada ya pili kwa siku za hivi karibuni kuwasihi waTanganyika, kama siyo waTanzania kwa ujumla kufanya maandamano kupinga uonevu wa waziwazi kabisa kama huu.
Tatizo la mada kama hizi ni kuwa zinapoletwa humu JF inakuwa kama ndiyo njia ya kuamsha mori wa waTanganyika /waTanzania na kuwapa msukumo wa kufanya maandamano.
Hii siyo njia sahihi ya kuitisha watu watende jambo, hata kama wanaona umuhimu mkubwa wa kufanya hivyo.
Ninachohofia mimi mada kama hizi ni kama kuwapa tahadhari waovu hawa; ili wafuatilie mienendo na watu.
Kwa maoni yangu, badala ya kuhimiza tu watu wafanye maandamano, ni bora zaidi kushughulika na mbinu za kufanya maandamano hayo ili yafane.
Yale yaliyosababisha maafa makubwa Oktoba, hayakufanyika kwa watu kuhimizwa tu kuingia barabarani.
Na haya yanatakiwa kutengenezewa mbinu. Haiwezekani kupeleka watu tena barabarani bila ya kuwa na njia za kuhakikisha kuwa kukitokea yaliyotokea oktoba, ni lazima mapigo yajibiwe kwa uhakika. au pawe na njia ya kuzuia waovu kufanya walivyofanya wakati ule.
Ni lazima pawe na njia za kuwakabili' iwe kwa shari au vinginevyo.
Hayo ndiyo yanayotakiwa kufanyiwa kazi wakati huu kwa bidii zaidi
Huku kuitisha maandamano kupitia JF pekee haitoshi kabisa.
Tundu Lissu anastahili kupiganiwa kwa nguvu zote; na wakati wa kufanya hivyo umekaribia sana; hasa hii mizunguko ya kesi yake itakapoonekana haina njia za kwenda mbele tena.
Nguruwe kama wewe unasubiri tu kuwa kitoweo cha Samia wakati akiagaaga kabla ya kuwajibishwa kwa maovu yake.Amka utakunya kitandani kwa ndoto chafu. Huo ujinga hauna nafasi tena. Mnahamasisha watoto wenzenu wanauliwa, nyinyi kazi yenu kuandika upumbavu tu
Sisi wengine tunafarijika tu kwa kuwaona na wenyewe wanavyoteketea kila siku kutokana na sababu zinazofanana, huku Mwenyezi Mungu akiendelea kumjalia uhai Rais wetu wa Tanganyika huru.
Anaemtumikia na kufaidika nae aanze kuandamana ,nitakuwa mitandaoni kuunga mkonoImetosha Sasa! Watanganyika Tuanze Maandamo Ya Kudai Haki Ya Tundu Lissu.
Tundu Lissu amekuwa mahabusu Ukonga kwa case ya uongo ya treason. Raia wote tunaelewa ni hujuma za Samia kumuumiza Lissu ili Samia na CCM yake waendelee kupora rasilimali za watanganyika. Samia amejiapisha kuwa Rais wa Tanganyika baada ya kuuwa watanganyika zaidi ya elfu kumi (10,000).
Ni muda wetu sasa, watanganyika wote kufanya maamuzi magumu na kuingia barabarani ili tuweze kunusuru uhai na haki ya kuishi ya Tundu Lissu.
Watanganyika wote, kwa kauli moja tuanze maandammano yasiokoma, maandamo ya #Free Tundu Lissu. Ni lazima Tundu Lissu aachiwe, tuanze harakati za katiba mpya. Bila Tundu Lissu kuwa huru, bila katiba mpya Tanganyika inazikwa rasmi Kizimkazi.
Nguruwe kama wewe unasubiri tu kuwa kitoweo cha Samia wakati akiagaaga kabla ya kuwajibishwa kwa maovu yake.Nguruwe kama wewe unasubiri tu kuwa kitoweo cha Samia wakati akiagaaga kabla ya kuwajibishwa kwa maovu yake.
Huna la ziada ya hapo!
Mkuu nakuheshimu ila unanikwaza kwa kumjibu mtu kama huyo.Umejawa na upuuzi na upumbavu mwingi mno📌🔨
Imetosha Sasa! Watanganyika Tuanze Maandamo Ya Kudai Haki Ya Tundu Lissu.
Tundu Lissu amekuwa mahabusu Ukonga kwa case ya uongo ya treason. Raia wote tunaelewa ni hujuma za Samia kumuumiza Lissu ili Samia na CCM yake waendelee kupora rasilimali za watanganyika. Samia amejiapisha kuwa Rais wa Tanganyika baada ya kuuwa watanganyika zaidi ya elfu kumi (10,000).
Ni muda wetu sasa, watanganyika wote kufanya maamuzi magumu na kuingia barabarani ili tuweze kunusuru uhai na haki ya kuishi ya Tundu Lissu.
Watanganyika wote, kwa kauli moja tuanze maandammano yasiokoma, maandamo ya #Free Tundu Lissu. Ni lazima Tundu Lissu aachiwe, tuanze harakati za katiba mpya. Bila Tundu Lissu kuwa huru, bila katiba mpya Tanganyika inazikwa rasmi Kizimkazi.
Mtanganyika ndio adui namba moja wa mtanganyika,viongozi asilimia kubwa ni watanganyika ila ndio wako mstali wa mbele kuwahujumu watanganyika,inasikitisha Sana kwa kweliSisi watanganyika ni wajinga na ni wapumbavu sana.
Fikiria yanayoendelea kwa Tundu Lissu, pamoja na kesi dhidi ya chadema wawezeshaji na wasimamizi ni wazanzibar.
Fikiria yale mauaji ya October 2025 yalisimamiwa na mzanzibar Samia dhidi ya watanganyika.
Inasikitisha kumuona Katuga na wenzake wanamkandamiza mtanganyika mwenzao ili kumlinda Mzanzibar Samia.
Fikiria, huyu Mzanzibar kauza mali zote za Tanganyika, halafu watanganyika tupo tupo tu kila siku mamamamaaaaa.
Leo deni la Taifa ni T 110 anayeenda kulipa ni sisi Watanganyika na siyo zanzibar, waziri wa fedha mzanzibar je atakuwa na uchungu na maendeleo ya Tanganyika?? Tukimwambia wilaya ya Nkasi inaomba Billion 1 kwa ajili ya kusambaza huduma ya maji ataelewa?? Anaijua Nkasi huyu waziri na Samia wake??
Fikira suala la Elimu siyo la muungano lakini Naibu Waziri ambaye ndiye mjibu maswali ya wabunge bungeni ni mzanzibar, je atakuwa na uelewa wa kutosha juu ya mfumo wetu wa elimu?
Huu Muungano haupaswi kuendelea kuwepo.
Nakukumbusha hali yako duni, na kwamba mwisho wa huyo anayekutegemea wewe kuwa kitoweo chake unaelekea ukingoni.Nguruwe kama wewe unasubiri tu kuwa kitoweo cha Samia wakati akiagaaga kabla ya kuwajibishwa kwa maovu yake.
Huna la ziada ya hapo!
Inasikitisha sanaSisi watanganyika ni wajinga na ni wapumbavu sana.
Fikiria yanayoendelea kwa Tundu Lissu, pamoja na kesi dhidi ya chadema wawezeshaji na wasimamizi ni wazanzibar.
Fikiria yale mauaji ya October 2025 yalisimamiwa na mzanzibar Samia dhidi ya watanganyika.
Inasikitisha kumuona Katuga na wenzake wanamkandamiza mtanganyika mwenzao ili kumlinda Mzanzibar Samia.
Fikiria, huyu Mzanzibar kauza mali zote za Tanganyika, halafu watanganyika tupo tupo tu kila siku mamamamaaaaa.
Leo deni la Taifa ni T 110 anayeenda kulipa ni sisi Watanganyika na siyo zanzibar, waziri wa fedha mzanzibar je atakuwa na uchungu na maendeleo ya Tanganyika?? Tukimwambia wilaya ya Nkasi inaomba Billion 1 kwa ajili ya kusambaza huduma ya maji ataelewa?? Anaijua Nkasi huyu waziri na Samia wake??
Fikira suala la Elimu siyo la muungano lakini Naibu Waziri ambaye ndiye mjibu maswali ya wabunge bungeni ni mzanzibar, je atakuwa na uelewa wa kutosha juu ya mfumo wetu wa elimu?
Huu Muungano haupaswi kuendelea kuwepo.
Nakukumbusha hali yako duni, na kwamba mwisho wa huyo anayekutegemea wewe kuwa kitoweo chake unaelekea ukingoni.Nakukumbusha hali yako duni, na kwamba mwisho wa huyo anayekutegemea wewe kuwa kitoweo chake unaelekea ukingoni.
Usiyasahau hayo maneno.
Ni vizuri umekariri kabisa. Sasa usisahau.Nakukumbusha hali yako duni, na kwamba mwisho wa huyo anayekutegemea wewe kuwa kitoweo chake unaelekea ukingoni.
Usiyasahau hayo maneno