baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Najua kwenye kudai haki kuna changamoto mbali mbali tunakutana nazo lakini bila
Kuchoka lazima kama haki ya Polepole kupatikana haki za watu wote waliopotea na waliotekwa na wengine kama waliokufa October 29 lazima haki zao zipatikane bila
Kusahau Tundu Lissu bila kuchoka tuendelee kuzidai ni HAKI yetu kikatiba. Pata picha waliokufa October 29 wakifufuka alafu wakatukuta heti tumetulia tutaonekana wasaliti bila kuchoka tupambane .