Madai ya kupata katiba mpya ni mapambano ya haki ambayo hayawezi kukamilika bila ya kupata katiba nyingine tofauti na iliyopo.
Mwenyekiti Mbowe na baadhi ya wapiganaji (Mola awafanyie wepesi) tayari wako mikononi mwa watesi wetu.
Wao wametangulia na hakuna mpambanaji aliye salama.
Pamoja na...
Kudai haki za msingi za yeyote ni masuala yasiyo hitaji ridhaa za asiyehusika na hasa mlalamikiwa.
Haki za msingi kwa mlalamikaji haziwezi kutegemea ukubali wa mlalamikiwa.
Mlalamikaji na ategemee machungu kamili kutoka kwa mlalamikiwa, ujira wa kutokuchoka kwake ni kupatikana kwa haki husika...
Hivi polisi hawa ambao ama kwa makusudi au hawaelewi kitu, kudai katiba mpya kuna kosa gani kisheria?
Hivi unapomkamata mtu ambaye anadai kitu ambacho kimeruhusiwa kisheria utakua unaelewa nini?
Au ukampiga mtu na kumuua au kumuumiza sababu tu amedai katiba mpya ambayo ni haki, ukifunguliwa...
Mwamba Mbowe aliposema covid ipo serikali ilimwandama Hadi yeye na wenzake qakatolewa Bungeni na kukatwa posho kisa wameenda kinyume na mfalme aliyekuwepo. Naamini Wakati anapambana kuhusu taadhari ya covid Hawa waliochanjwa leo walikuwa wafuasi wake ila awakutaka kutoka adharani nakusema kwamba...
Wasalaam wana JF
Ushaidi wa mtu kuwa na akili ni pamoja na kujitambua na kujua haki zake. Haki ni kama wembe zinakata pande zote, inapopokonywa kwa mwenzako wewe una uhakika gani utaipata?
Kila nikisoma uzi humu ndani naona wapo watu wanaofurahia kuona wananchi wenzao wakionewa na kunyimwa...
Wakuu za asubuhi?
Nawatafuta makamanda wezangu tuendeleze vita ya kudai Katiba.
Askari mmoja akifa au akipigwa risasi haturudi nyuma. Tunakwama wapi Makamanda?
Mbona mkwara tulikuwa nao mkubwa sana kwenye media?
Wapi Mdude, tusonge mbele!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.