Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Malasusa, ameitaka Serikali kusimamia sheria za kudhibiti matumizi ya pombe kupita kiasi, akisema ulevi unatishia nguvu kazi ya Taifa.
Wakati Askofu Malasusa akieleza hayo, aliyewahi kuwa mwenyekiti Chama cha Demokrasia na...