Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hawataki kuwadhibiti wanahabari bali kuwawekea mazingira bora ya kufanya kazi.
Kauli hiyo ameitoa wakati akifanya mahojiano na kipindi cha Dira ya Dunia kinachorushwa na kituo cha radio cha BBC ambapo amesema Serikali...