kudhibiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Apple watengeneza programu ya kuzuia udukuzi unaoweza kufanywa kwa vifaa vyake bila ya mtumiaji kubonyeza 'link'

    Apple imezindua programu ya dharura ili kukabiliana na hatari ya kiusalama kwa bidhaa zake kuzuia kile kinachoitwa "zero-click, ikiwa ni baada ya watafiti wa usalama kugundua kasoro ambayo inawaruhusu wadukuzi kuvifikia vifaa kupitia huduma ya iMessage hata bila watumiaji kubonyeza kiungo (link)...
  2. K

    TFF wekeni kigezo cha vyeti kwa walio na nafasi za usemaji na uhamasishaji ili kudhibiti ufinyu wa akili unaojitokeza

    Jambo hili ni muhimu sana.Utakuta mtu anafanya personal attack kwa muwekezaji na biashara zake kisa alinyimwa mshahara anaoutaka. Jambo hili ni ugaidi wa kibiashara na lisipoangaliwa vizuri litaleta shida sana baadae. Kama wewe ni msemaji wa timu pinzani hakuna sababu ya kuleta personal...
  3. M

    IGP Sirro jitihada za kudhibiti uhalifu wa CHADEMA zisiishie kwa viongozi, kamata na wafuasi wao wanaotaka kuharibu amani

    IGP Sirro, pongezi zako za pekee zikufikie maana jeshi lako lilibaini uhalifu ambao Chadema walitaka kuufanya kwa kisingizio cha kudai katiba mpya. Tunashukuru umewakamata na kuwatia nyavuni. Lakini tuanoamba ili ufanisi mkuu upatikane, kamata na wafuasi wa Chadema amabao wanaunga mkono kuvunja...
  4. Analogia Malenga

    #COVID19 UN: Taarifa feki kuhusu chanjo zinazidisha muda ambao ungetumika kudhibiti maambukizi

    Umoja wa Mataifa(UN) umesema taarifa zisizo sahihi kuhusu chanjo ya #COVID19 kunarefusha muda ambao ungetumika kudhibiti maambukizi ya Corona. UN wametoa wito kwa raia kuhakiki taarifa kabla ya kusambaza taarifa hizo kwa wengine ambazo zinaathiri mapambano dhidi ya Corona. Wamesema taarifa za...
  5. Analogia Malenga

    Masauni aagiza GBT kudhibiti ushiriki wa watoto michezo ya kubahatisha

    Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, ameiagiza Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) kuhakikisha inadhibiti ushiriki wa Watoto chini ya miaka 18 katika michezo ya kubahatisha na kuandaa mkakati na mapendekezo kwa Serikali ya namna ya udhibiti huo kutokana na...
  6. Miss Zomboko

    Iringa: Muda wa kuswali Misikitini wapunguzwa ili Kudhibiti Maambukizi ya Coronavirus

    Muda wa kuswali wapunguzwa Mkoani Iringa, kuanzia jana, muda wa kuswali katika nyumba za ibada umepunguzwa kutoka zaidi ya dakika 30 za awali hadi kati ya dakika 10 na 15 siku ya Ijumaa. Shehe wa Mkoa wa Iringa, Abri Said alisema utekelezaji wa maelekezo hayo ulianza jana katika misikiti yote...
  7. Analogia Malenga

    Wanajeshi waingia mitaani kudhibiti vurugu zinazohusiana na Rais Zuma kufungwa

    Watu sita wameripotiwa kufariki baada ya kuwa na vurugu zilizosababishwa na kufungwa kwa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma Wanajeshi wame;azimika kuingia mitaani ili kudhibiti vurugu zinazoendela ambapo hadi sasa watu 219 wamekamatwa katika vurugu hiz Katika Jimbo ambalo Zuma...
  8. Miss Zomboko

    Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika kudhibiti mfumuko wa bei wa Taifa ikilinganishwa na nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika kudhibiti mfumuko wa bei wa Taifa ikilinganishwa na nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kipindi cha mwezi June, 2021. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii, Ruth Minja, Jijini Dodoma ambapo amesema kuwa mfumuko huo kwa...
  9. donlucchese

    Msaada: Naomba kufahamishwa namna ya kuwadhibiti mende

    Straight to the point. When we were growing up, tulizoea kuona Yale ma mende makubwa makubwa flani ambayo in those times we thought they were originated from the lavatories. Ila kwa sasa kuna hivi vi periplaneta americana vidogovidogo hivi vinasumbua balaa. Ukichek chini ya sofa au sehemu...
  10. Kurunzi

    Mwarobaini wa kudhibiti kubambikiziwa bili ya maji waja

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemuagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Anthony Sanga kutoa taarifa kwa mamlaka zote za maji nchini kuanza kutumia mfumo wa malipo kabla ya matumizi (LUKU) ili wateja walipe maji kutokana na matumizi yao. Aweso amesema hayo leo Mei 31,2021 mkoani Arusha, wakati...
  11. M

    Bunge/Waziri Mkuu: Limulikwe genge la kifisadi, rushwa linalojiita ni kamatakamata ya magari jijini Dar kwa visingizio vya kudhibiti uhalifu barabara

    Waheshimiwa wawakilishi, viongozi wa taifa, hoja hii inafikishwa kwenu kwa kile kinachoonekana kuwa hakina mfuatiliaji jijini Dar. Hiki ni ile kero inayowasibu madreva wa magali binafsi inayosababishwa na genge la kamatakamata ya magari barabara za mitaa ya jiji. Hili genge huibuka na kupotea...
  12. S

    Kudhibiti COVID-19 na kuepuka kulishana uchafu, tuweke sheria ya kupiga faini yeyote atayepiga chafya hadharani bila kuziba pua na mdomo

    Hata kabila ya ujio wa Covid, hakuna tabia ambayo huwa naichukia kama mtu kupigya chafya mbele za watu bila kuziba pua na mdomo kwani mbali na kusambaza magonjwa, lakini pia inachangia sana kulishana uchafu(makamasi). Kutokana na ujio wa Covid, ugonjwa unaosambaa kwa njia kadhaa ikiwemo mtu...
  13. TEAM 666

    Ni zipi mbinu za kudhibiti wizi kwenye duka la jumla?

    Hello JF, Moja kwa moja kwenye bandiko Mimi ni mmoja wa wamiliki wa Duka la Jumla kiukweli hi biashara inalipa sana hasa inalipa faida ya milion 1.5 kwa mwezi kabla ya kutoa malipo ya wafanyakazi na Kodi ya pango nabaki na 600k au 700k Kama faida, kwa Duka moja. Hivyo kutokana na biashara...
  14. Analogia Malenga

    Prof. Assad: Kudhibiti wizi wa mali za umma Baraza la mawaziri lisiwe na siri

    Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Musa Assad amesema ubadhirifu unaotokea kwenye baadhi ya wizara huwa hauna maelezo zaidi ya kusema 'Ni maamuzi ya Baraza' Amesema suala hilo linafanya kuwepo kwa mianya ya rushwa na matumizi mabaya ya mali za umma, hivyo ni vizuri kuwa na...
  15. 101 East

    Zijue alama na maana za kudhibiti maudhui kwenye muvi/filamu

    Habari wakuu, Wengi wetu tumekuwa watumiaji wa visimbuzi vya makampuni mbalimbali ili tuweze kupata burudani za filamu,tamthilia na michezo Kwa ujumla ili kuburudika na kuelimika Kwa watumiaji WA DSTV na visimbuzi vingine mara kadhaa kwenye channel tv zinazoonyesha muvi za action, documentary...
Back
Top Bottom