kuelekea 2024

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. upupu255

    Pre GE2025 Manispaa ya Singida yaadhimisha siku ya Wanawake kwa bonanza na ugawaji gesi

    Halmashauri ya Manispaa ya Singida, ikiongozwa na Mkurugenzi wake, Joanfaith Kataraia, imefanya bonanza maalum la kusherehekea Siku ya Wanawake. Katika bonanza hilo, yamefanyika mashindano ya kupika na kuchoma nyama pamoja na michezo mbalimbali. Aidha, mitungi ya gesi 35 iligawiwa kwa mama...
  2. DaudiAiko

    Pre GE2025 Tofauti na miradi ya maendeleo, haya ni mambo ya muhimu yanayotakiwa kuwa kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM

    Wanabodi, Ninakubali kwamba kuna mapungufu makubwa kwenye sheria ya uchaguzi, kwenye tume yetu ya uchaguzi na vilevile kwenye katiba yetu. Kurekebisha mapungufu haya kutahitaji washika dau wote kukaa meza moja na kuwasilisha hoja zitakazo ibua zaidi mapungufu haya. Ingawa mapungufu haya yapo...
  3. Cute Wife

    Pre GE2025 Wanasiasa wangekuwa wanapiga kazi muda wote kama ilivyo kipindi cha uchaguzi Tanzania ingekuwa wapi kimaendeleo?

    Wakuu, Wote tunashuhudia kipindi hiki cha uchaguzi wanasiasa wakiangahaika huku na hukokuonesha wananchi wao ni watu wa kazi, wanawasikiliza kero za wananchi na kuzitatua kwa wakati, wanafika mitaani kuangalia mambo yanavyoenda, ziara za kushtukiza zinapigwa kwelikweli, wengine mpaka wameweka...
  4. mwanamwana

    Pre GE2025 Mzee Wasira: Hakuna anayeweza kuahirisha uchaguzi mkuu, watanzania wajiandae

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema hakuna chombo chochote cha serikali wala chama cha siasa kinachoweza kuahirisha uchaguzi mkuu wa mwaka huu, hivyo Watanzania wajiandae kwa uchaguzi huo. Wasira amesema watu wanaotoa hoja kwamba uchaguzi mkuu...
  5. sonofobia

    Pre GE2025 Pamela Massay: Bawacha inanuka rushwa, ala kiapo kuondoa rushwa Bawacha akipewa ukatibu

    Mwana mama jasiri asiyeogopa, Pamela Massay leo akichukua fomu ya kugombea nafasi ya katibu mkuu Bawacha taifa. Amekemea rushwa adharani na ameapa kukomesha rushwa inayofukuta Bawacha. Watu wamemsifu kwa ujasiri wake kwa kuwa Chadema ya sasa ukikemea rushwa wazi wazi unaitwa msaliti na...
  6. Mindyou

    Godbless Lema awapa onyo zito CHADEMA kuelekea Uchaguzi mkuu wa 2025. Akiri CCM kufuatilia Uchaguzi wao wa ndani

    Wakuu, Kufikia hvi sasa bado, Godbless Lema hajaainisha anamuunga mkono nani kati ya Lissu ama Mbowe. Na wakati watu wanasubiri atoe msimamo wake, Lema ametoa onyo zito kwa baadhi ya makada wa CHADEMA Kutokana na kauli ambazo wanazitoa. ============================================ CCM...
  7. Waufukweni

    Pre GE2025 Madeleka: Kama Lissu hafai, CHADEMA haifai kuaminiwa pia

    "Unaposema leo kuwa Lissu hafai, mtu mliyemuamini nyinyi (CHADEMA) wenyewe, kama Lissu hafai basi CHADEMA haifai. Kama Tundu Lissu wanamuona hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, CHADEMA haifai kuendelea kuaminiwa na Watanzania" Soma, Pia: • Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea...
  8. Waufukweni

    LGE2024 Askofu Pisa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa kama 'Mchezo Mchafu'

    Maaskfu kutoka Madhehebu mbalimbali ya Kikristo nchini wamekutana leo, Jumatano Desemba 18.2024 katika ukumbi wa Kurasini Conference and Training Center uliopo makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), jijini Dar es Salaam Maaskofu hao pamoja na wadau wengine wa...
  9. Waufukweni

    LGE2024 Makambako: Mwenyekiti wa Mtaa kupitia CHADEMA aahidi ushirikiano na Wananchi Mangula

    Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mangula, Halmashauri ya Mji wa Makambako, Sunday Chungwa, kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameahidi kushirikiana kwa karibu na wananchi wa mtaa wake ili kuhakikisha maendeleo ya pamoja. Chungwa alisisitiza kuwa ushirikiano kati ya viongozi na...
  10. Papaa Mobimba

    LGE2024 Lissu: Sijutii kushiriki uchaguzi, nimejifunza kupambania mambo ya msingi, Katiba Mpya, mfumo huru wa uchaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema yeye binafsi hajutii kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa vijiji na vitongoji uliofanyika jana Novemba 27 2024. Lissu ameyasema hayo wakati akifanya mahojiano na jambo TV akisisitiza "sijutii nimejifunza angalau mimi nimejifunza kwamba...
  11. L

    LGE2024 CCM Imeshinda kihalali na kuvuna kile ilichopanda, CHADEMA haikujipanga

    Ndugu zangu Watanzania, CCM imeendelea kuonyesha Umwamba wake katika siasa za Nchi hii na Bara zima la Afrika.imeendelea kuonyesha namna inavyokubalika ,kupendwa ,kuungwa mkono na namna ilivyo na ushawishi mkubwa hapa Nchini. Imeonyesha namna ilivyobeba Matumaini ya mamilioni ya...
  12. Cute Wife

    LGE2024 Iringa: UVCCM Glory Chambo awaangukia wananchi kwa magoti kuomba wawachague Wenyeviti wa CCM

    Wakuu, Mjumbe wa Baraza kuu la UVCCM kutokea Mkoa wa Iringa Cde. Glory Chambo amewaangukia Wanamagulilwa kuomba wawachague Wenyeviti Wanaotokana na Chama cha Mapinduzi siku ya Uchaguzi Serikali za Mitaa tarehe 27 Novemba 2024. Chambo amesema CCM ina haki ya kupewa muhula mwingine wa...
  13. Waufukweni

    LGE2024 Hujuma Uchaguzi: Mwakajoka atuhumu kuenguliwa kwa Wagombea wa CHADEMA Mikoani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa Frank George Mwakajoka, amesema wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wamekiuka kanuni za uchaguzi kwa kuwaondoa wagombea wa chama hicho bila sababu za msingi. Mwakajoka amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa...
  14. Gabeji

    LGE2024 Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka. Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika" Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo...
  15. Mindyou

    LGE2024 Waziri Mchengerwa atangaza rasmi kukoma kwa madaraka ya viongozi wa vijiji na mitaa Tanzania

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ameelekeza madaraka ya wenyeviti wa vijiji, wajumbe wa Halmashauri za Vijiji na Wenyeviti wa Vitongoji katika mamlaka za Wilaya, Miji na Mamlaka za miji midogo kukoma Oktoba 19, 2024 na nafasi zao...
  16. B

    LGE2024 Nini kimetokea kiasi kwamba Wananchi hawataki kujiandikisha hadi wanafatwa majumbani na wanatoa majibu ya dharau kwa wahamasishaji?

    Kabla ya mwaka 2015 kulikuwa na mwamko mkubwa sana kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha ili kutimiza adhima yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka. Kuanzia 2010 hadi 2015 ulizuka msemo unaitwa Kichinjio. Yaani kadi ya mpiga kura ambapo mwenye nayo anaamua kumkatilia mbali Diwani...
  17. Waufukweni

    LGE2024 CHADEMA Dodoma mjini wadai kunasa majina feki ya wapiga kura

    Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Dodoma Mjini umelalamikia kuwepo kwa vitendo vya hujuma katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwenye Daftari la Mkaazi. Akizungumza leo, Oktoba 14, 2024, katika ofisi za CHADEMA Kanda...
  18. Cute Wife

    LGE2024 Kwanini uandikishaji wa wapiga kura serikali za mitaa unafanyika kwenye makaratsi na siyo kidigitali? Ulinzi wa taarifa unahakikishwaje?

    Wakuu salam, Zoezi la kuandikisha wapiga kura lilizinduliwa Oktoba 11, 2024 na Rais Samia ikiwemo na yeye pia kupanga foleni (wazee wa maigizo) kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Swali ni kuwa, kwanini uandikishaji huu unafanyika kwenye makaratasi...
  19. Genius Man

    Pre GE2025 Sikuizi CCM wanasimamisha mgombe ili mradi tu waonekane nao wanamgombea tutaenda kujenga taifa bovu tutaiumiza nchi

    CCM wasisimamishe mgombe heti kwa sababu tu ni raisi au mwenyekiti bali yule atakea hakikisha watanzania wote wanapata huduma zote muhimu bila ubaguzi sio unakuta mtu anakatiza huduma kwa watanzania wenzake ili wafe njaa, tusisimamishe kiongozi kama huyu sisi hatutaki raisi ilimradi tu tuonekane...
  20. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Prof. Muhongo Amejiandikisha Kupiga Kura Tarehe 27.11.2024

    Leo, Ijumaa, 11.10.2024, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, amejiandikisha kupiga kura tarehe 27.11.2024. Vilevile, ametembelea vitongoji kadhaa vya Kata nne, ikiwemo Kata ya kwao ya Kiriba, yenye vijiji 3 na vitongoji 24, na kupata yafuatayo: (i) Idadi ya wapiga kura...
Back
Top Bottom