Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Mh. Rebecca Nsemwa, amezindua Bonanza la Michezo wilayani humo, lililoshirikisha michezo mbalimbali ikiwemo timu nne za mpira wa miguu, kuvuta kamba, mbio fupi, kuruka na magunia na michezo mingine ambalo limekutanisha makundi tofauti tofauti kwa lengo la kuhamasisha...
Mbunge wa Viti Maalum (Vijana Taifa) Anayetokea Kundi la Vijana Zanzibar, Mhe. Amina Ali Mzee ametembelea vituo mbalimbali vya Mkoa wa Mjini Unguja, Zanzibar vinavyoandikisha wananchi katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura kutokana na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Unaotarajiwa Kufanyika 27...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Magharibi (Zanzibar), Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo katika ziara aliyofanya tarehe 09 Oktoba, 2024 Jimbo la Dimani ameahidi kushirikiana na Viongozi wengine katika kutatua matatizo mbalimbali ya Wananchi.
Akikabidhi Mchanga na Mifuko ya Saruji kwa Viongozi wa...
Wilaya ya Bahi, iliyoko mkoani Dodoma, imeibuka kuwa kielelezo bora cha mafanikio katika sekta ya elimu nchini Tanzania.
Hayo yamebainika katika taarifa ya mkuu wa wilaya na serikali ya wilaya ya Bahi ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi 2020-2024 iliyosomwa kwa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya...
Unaweza shikwa hasira kwa mbinu zilezile zitumikazo kuwahadaa wananchi ila kila ukikumhuka wananchi wanadanganyika kama watoto wadogo kwa greda moja linalopita kwenye barabara za mitaani kiba baada ya miaka 5 kuelekea uchaguzi na halitaonekana tena mpaka baada ya miaka 5 basi unashusha pumzi...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Maji kuendelea na kasi ya usambazaji maji kutoka Ziwa Victoria ili kutatua adha ya ukosefu maji waliyopata wananchi kwa muda mrefu.
Makamu wa Rais amesema hayo mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi...
Nchi kwetu Tanzania katika kipindi hichi cha miaka hii 2, taifa litakuwa bize kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao utafanyika November 27, 2024. Na uchaguzi mkuu ambao utafanyika 2025.
Katika kipindi hiki wanasiasa wameshaanda sukari zao za hoja kuja kudanganya au kusema ukweli wakati...
Na Jackson Jonathan
Katika siasa za sasa, CHADEMA kimeonekana zaidi kama chama cha mitandaoni, kikitumia nguvu nyingi kwenye "Twitter" maarufu kama "X" kuliko uhalisia wa kisiasa.
Badala ya kuja na sera madhubuti, wamebobea katika porojo za mtandaoni, wakiamini kuwa "hashtag" ina uzito zaidi...
Tumerudia mara kadhaa humu tukionyesha namna baadhi ya viongozi matapeli wa ccm huko mikoani wakiwafanya viongozi wao wa Kitaifa Mabwege , kwa kuwakusanyia watu duni na wasela na kutangaza kwamba eti ni wanachama wa Chadema wanaohamia ccm, Lakini tumeonekana ni waongo.
Sasa angalia mwenyewe...
Ndugu zangu Watanzania,
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Itilima, Katibu na wanachama wao wahamia CCM.
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, Ndugu Terry Kilugala, na Katibu wake wa Wilaya ya Itilima, Ndugu Gershom Migasa Mipawa, pamoja na wanachama wao zaidi ya 60, wamehamia...
Hii imekaaje , Tamisemi na kampeni ?
Ambapo ukizingatia ndio msimamizi wa uchaguzi.
Soma Pia: Mahakama yatoa kibali Wadau wafungue Kesi kupinga Ofisi ya Rais-TAMISEMI kutosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Manispaa ya Temeke wamekata posho ya waandikishaji wa orodha ya wapiga kura licha ya wengi wao Leo kukosa chai Rais Samia anahujumiwa. Habari ndio hiyo Rais Samia ana hujumiwa na watendaji wake wa chini
Leo katika semina hiyo kulikuwa na mauza uza baada wa washiriki wa semina kukosa chai...
Wale wezi wa kura wasioheshimu sanduku la kura,wanaishi kwa mbeleko
Msijione washindi kwa wizi wa kura kimsingi mnaua morali ya wapiga kura kushiriki katika chaguzi mbalimbali hapa nchini.
Imefikia hatua wanachi hawataki kujitokeza kwenye mikutano na wala hawataki tu kusikia habari za uchaguzi...
Mkoa wa Njombe ni mmojawapo kati ya mikoa mipya nchini Tanzania wenye postikodi namba 59000, ukiwa ulianzishwa rasmi mwaka 2012. Unapakana na mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya, na Iringa.
Kutokana na hadhi mpya, Wilaya ya Njombe iligawanyika kati ya Njombe Mjini na Njombe Vijijini. Pia, mwezi...
Mkoa wa Ruvuma umepewa jina kutokana na Mto Ruvuma, ambao ni mpaka wake wa kusini na Msumbiji. Mkoa huu unapakana na Ziwa Nyasa na Mkoa wa Morogoro upande wa magharibi, mikoa ya Iringa na Lindi upande wa kaskazini, na Mkoa wa Mtwara upande wa mashariki.
Mkoa wa Ruvuma una majimbo ya uchaguzi...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau ameshiriki kuhamasisha Wananchi kujitokeza na kushiriki katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura.
"Wanawake jitokezeni kwa wingi kuboresha taarifa zenu kwenye Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ili mpate...
Kuna dalili kwamba wananchi wa Tanganyika wanakabiliwa na hofu kubwa ndani ya mioyo yao. Wakati wanapowaona polisi, wanawafikiri kuwa ni wawakilishi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kwa upande mwingine, wanapokutana na wanachama wa CCM, wanawaza kuwa ni polisi.
Hali hii inadhihirisha jinsi...
Wakuu, heshima kwenu!
Moja kwa moja kwenye hoja yangu.
Hivi karibuni 'Tume huru ya Taifa ya uchaguzi', ilitangaza kuanza kuandikisha/kuboresha/kurekebisha daftari la kudumu la wapiga kura, kwa wakazi wa Mkoa wa Mwanza na Shinyanga, kuanzia tarehe 21 August, 2024 mpaka tarehe 27 August, 2024...
Maombi yanayoombwa na Waleta maombi ni pamoja na;
1. Mahakama Kutoa ruhusa kwa Waleta maombi kuwasilisha maombi ya kufuta Sheria Ndogo zilizotolewa kupitia matangazo ya serikali Na. 571, 572, 573, na 574 ya tarehe 12/7/2024;
2. Mahakama kutoa ruhusa kwa waleta maombi kuwasilisha maombi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.