MKUU wa Wilaya ya Maswa, Dkt. Vicent Naano amewataka viongozi wa dini kutumia nafasi yao kuhakikisha amani na utulivu wa nchi unaendelea kudumishwa, hasa katika kipindi hiki kinapoelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 wa Rais,wabunge na madiwani.
Akizungumza mjini Maswa katika hafla ya dua ya...