Akijibu swali la nyongeza Bungeni leo Feb. 7, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya ampigia debe Conchesta Rwamlaza, Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu kuwa angetamani kumwona Bungeni kwa mara nyingine tena
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) Mkoa wa Geita imewafikia Wananchi 161,154 ambapo kati ya hao wanaume ni 80,810 na wanawake ni 80,344.
Kampeni hii inatoa msaada wa kisheria BURE huku elimu ya sheria imetolewa kwenye maswala ya ardhi,ndoa, mirathi, na...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema chama chao kimeshafanya uamuzi kuhusu kiti cha urais kwa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea.
Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
“Sisi CCM...
Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo) Mohammed Said Issa ameibua mzozo Bungeni mara baada ya kusema kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiwezi kupata kura katika jimbo lake kwa sababu sera zao ni mbovu.
Mbunge Issa ameyasema hayo jioni ya tarehe 06 Februari, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amepinga vikali madai ya vyama vya upinzani kuhusu wizi wa kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa, amesema vyama hivyo, hususan Chadema, vimedai kuwa uchaguzi huo ulikumbwa na udanganyifu uliowanyima ushindi wagombea wao.
Hata...
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa na historia ya miaka 48 ya uimara, umoja, na mafanikio makubwa, kimeendelea kuwa mwamba wa siasa za Tanzania huku kikijipambanua kama kiongozi wa maendeleo na mshikamano wa kitaifa. Kwa upande mwingine, vyama vya upinzani, kama CHADEMA, vimeonekana mara kwa mara...
Wakuu
Hawa ndio vijana tunaotarajia kuwa viongozi wa kesho, lakini badala ya kusimamia maslahi ya wenzao, wanajikita kwenye kampeni za kusifia bila hoja.
Badala ya kushinikiza fursa na maendeleo kwa vijana, wamebaki kupiga simu za kujipendekeza kwa Mwenyekiti wao wa CCM na mapambio yasiyo na...
Wakati Rais Samia anaingia Ikulu, baada ya muda mfupi vyama vya upinzani Tanganyika pamoja wanahabari wa kujitegemea wamekuwa wakipaza sauti zao juu ya Rais Samia katika uwongozi wake, Moja ya hoja kuu ni kuwa mzanzibar kuitawala Tanganyika na kuuza rasilimali za Tanganyika kwa wawekezaji , huku...
Wakuu
Hawa ni Vijana wakiwa wamepiga magoti na mabango kwenye Maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, zinapofanyika sherehe za miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi.
Soma, Pia: Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza...
Wakuu
Mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo, ameifananisha tuzo Maalum ya Kimataifa ya 'The Global Goalkeeper Award' aliyopewa Rais Samia Suluhu Hassan na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, akisema ni ushindi mkubwa kwa Tanzania na mafanikio ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma, Pia: Rais Dkt...
Wakuu
Vijana kama vijana kutwa busy na mambo ya uchawa tu!
Kikundi cha Vijana Waliojipaka Matope mwili mzima ni miongoni mwa watu waliopata fursa ya kuwepo kwenye maandamano ya watu elfu 5 walioingia uwanjani na kupita mbele ya Rais Samia kwenye sherehe za miaka 48 ya CCM mkoani Dodoma...
Wakuu,
Leo ndio ile siku ya maadhimisho ya kuzaliwa kwa CCM baada ya kuona matangazo mengi toka kwa chawa wa mama.
Watakuja na kubwa gani leo, wacha tuone.
https://www.youtube.com/live/8aNDV9Y2klA?si=CGbtC53BNZ6A5_yt
Huyu hapa msanii wa Bongo Flava, Diamond Platnumz akiwa anaingia kutumbuiza...
Wakuu
Mzee Stephen Wasira anasema nia ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kuwapatia Wananchi Maisha mazuri, huwezi kuwa na nchi watu wanatembea uchi.
Soma, Pia: Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo halafu Watanzania waamue, adai CHADEMA kwasasa imekatika
"Sisi, CCM sera yetu ya ki-socialist, nia...
Ndugu zangu Watanzania,
Katiba siyo msaafu wala siyo Biblia. Katiba yetu ilitungwa na wanadamu ambao ni watanzania kwa lengo la kuwa kama muongozo wa masuala mbalimbali ya kuongoza Nchi yetu. Katiba Ni karatasi tu zilizojaa maneno ya namna gani ya jambo fulani lifanyike na hatua zipi zifanyike...
Wakuu
Nani awe Mwamuzi wa mnyukano huu?
Mzee Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, amemwita mezani Tundu Lissu kufanya mdahalo ili Watanzania waweze kutoa maoni yao na kufanya maamuzi bora katika uchaguzi ujao.
"Lissu sio size ya Rais, Lissu ni mdogo na Rais ni mtu mzito...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewaonya wanachama wa chama hicho kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wanaokubalika na Wananchi katika uchaguzi ujao, Oktaba 2025. Akisisitiza kuwa viongozi ni wa watu na lazima wakubalike na wapiga kura ili washinde...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.