kuelekea dira 2050

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BRELA

    JamiiForums Tanzania BRELA yasisitiza ulinzi wa Miliki Ubunifu kuinua uchumi wa Vijana kuelekea Dira 2050

    Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kupitia kikao cha ufuatiliaji na uendelezaji wa bunifu za wabunifu vijana kilichofanyika leo tarehe 27 Agosti 2026 Jijini Dodoma, imesisitiza kuwa ni muhimu kulinda haki za Miliki Ubunifu ili ziendelee kutumika kama nguzo kuu itakayoinua uchumi wa...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania na EU kuimarisha ushirikiano wa Biashara na Uwekezaji kuelekea Dira 2050

    TANZANIA, EU KUIMARISHA USHIRIKIANO WA BIASHARA NA UWEKEZAJI KUELEKEA DIRA 2050 Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kuimarisha ushirikiano wa biashara na uwekezaji ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kufanikisha utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Hayo yamejadiliwa katika...
  3. BRELA

    JamiiForums Tanzania Maafisa Biashara wasisitizwa kuwa wawezeshaji wa biashara kuelekea dira 2050

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wizara kwa BRELA, Prof. Neema Mori amewasisitiza Maafisa Biashara Nchini kuwa wawezeshaji wa wafanyabiashara badala ya kuwa wadhibiti ili kufanikisha Dira ya Taifa 2050. Profesa Mori ameyasema hayo leo tarehe 18 Agosti 2026 akimwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya...
Back
Top Bottom