kuelekea uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Pre GE2025 Sumbawanga: Serikali ipo mbioni kuanza ujenzi wa daraja la Ilembo lenye urefu wa mita 60 kwa bilioni 1.3

    Serikali imesema ipo mbioni kuanza ujenzi wa daraja la Ilembo lenye urefu wa mita 60 litakalogharimu kiasi cha Shilingi Bil.1.3 hadi kukamilika kwake lililopo Kata ya Mpui, Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga, Mkoani Rukwa. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala...
  2. B

    Pre GE2025 Mbunge Samizi na kamati ya siasa yaendelea na ziara kata kwa kata

    Ziara ya Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe yazidi kupamba moto Jimboni akiongozana na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya na Sekretaileti ya CCM Wilaya ya Kibondo chini ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya Ndugu Hamis Salum Tahiro na Katibu wake Ndugu Rafael John Sumaye maarufu...
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Pre GE2025 Ligi Kuu ya Wanawake yasimamishwa kupisha Samia Women Super Cup

    LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inatarajiwa kusimama kwa takriban wiki moja kupisha michuano ya Samia Women Super Cup inayotarajiwa kuanza kesho, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha. . Ligi hiyo iliyotarajiwa kurudi Machi nne baada ya mapumziko ya kupisha michuano ya kufuzu Fainali za...
  4. The Watchman

    Pre GE2025 Morogoro: Zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura linaendelea, Tume yasema muitikio wa wananchi ni mkubwa

    TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema kumekuwa na mwitikio mkubwa kwa wananchi kujitokeza katika vituo mbalimbali vya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaofanyika mkoani Morogoro na sehemu ya mkoa wa Tanga kwa siku saba kuanzia Machi mosi hadi 7, 2025. Mwenyekiti wa Tume...
  5. The Watchman

    Pre GE2025 Madereva daladala jiji la mbeya wamtaka Dkt. Tulia kugombea tena ubunge 2025

    Wakuu Umoja wa Madereva na Makondakta wa Daladala Mbeya Jiji (UDEKO) umetoa wito kwa Mbunge wa Mbeya Mjini na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, kugombea tena Ubunge katika jimbo hilo kutokana na kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi chake cha uongozi...
  6. The Watchman

    Pre GE2025 Kongwa, Dodoma: TASAF yakabidhi nyumba za walimushule ya sekondari Chitego

    Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) wameshukuru Serikali kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya miradi mbalimbal inayotekelezwa na TASAF nchini. Salimu Mshana, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF ametoa kauli hiyo wakati wa hafla ya kukabidhi nyumba za walimu (familia nne) wa shule ya Sekondari...
  7. The Watchman

    Pre GE2025 Serikali imekamilisha ujenzi wa jengo la tiba mionzi ya Saratani KCMC kwa bilioni 5

    Wakuu Wizara ya Afya imewekeza Sh5 bilioni katika ujenzi wa jengo jipya la tiba mionzi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) pamoja na ununuzi wa vifaa tiba vya kisasa. Hatua hii inalenga kuboresha huduma za matibabu ya saratani kwa wakazi wa Kanda ya Kaskazini na maeneo...
  8. The Watchman

    Pre GE2025 RC Simiyu amewataka wachimbaji wadogo kutoshawishiwa na wanaharakati kufanya migomo na maandamano

    Wakuu, RC Simiyu Kenani kihongosi amewataka wachimbaji wadogo kutoshawishiwa na wanaharakati kufanya migomo na maandamano kwani wanachokitafuta wao ni ugali wa familia zao tu. == Wachimbaji wadogo wa migodi ya dhahabu wilayani Bariadi wameaswa kutorubuniwa kwa namna yoyote vile na wanasiasa...
  9. The Watchman

    Pre GE2025 Geita: CCM yawanunulia wanafunzi TV kwa ajili ya kufuatilia yanayofanywa na Rais Samia ili yawasaidie katika masomo yao

    Wanafunzi katika Shule ya Sekondari Nyang’hwale iliyopo wilayani humo Mkoani Geita wamekabidhiwa Runinga pamoja na Kisimbuzi kwa ajili ya kufatilia maendeleo ya Miradi inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan. Makabidhiano hayo yamekuja baada ya Mwenyekiti...
  10. The Watchman

    Pre GE2025 CCM yampongeza DED Hai kwa kusimamia miradi ya maendeleo

    Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Katibu wake, Ndugu Mercy Mollel amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Dkt. Haji Mnasi kwa kusimamia miradi ya maendeleo huku akiwaeleza wajumbe kazi kubwa aliyofanya DED Mnasi wakati akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ileje...
  11. The Watchman

    Pre GE2025 Tanga: REA inatekeleza miradi minne ya kusambaza umeme kwa thamani ya shilingi bilioni 137.87.

    Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala ya Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Advera Mwijage amesema kuwa Mkoa wa Tanga unatekeleza miradi minne ya kusambaza umeme katika vijiji, miji, vituo vya afya, pampu za maji, maeneo ya migodi pamoja na viwanda vidogo ambayo thamani yake ni shilingi bilioni 137.87...
  12. Mganguzi

    Ccm pamoja na kutegemea Dola uchaguzi wa mwaka huu uwe wa mfano ! Wapinzani anzeni mapema kuwapika wagombea ! Moto uanze chini mpaka juu bila kuogopa

    Mwaka huu iwe mwisho wa upinzani uchwara Tanzania kuingia kwenye uchaguzi kama hisani ! Wagombea ATI hawajui kujaza fomu ! Au Kuna mahali mtu anapita bila kupingwa ,au tunasikia mpinzani anatishiwa polisi ,iwe mwisho kusikia stori za kuibiwa kura za ubunge na udiwani ,iwe mwisho mapolisi...
  13. The Watchman

    Pre GE2025 CHADEMA Sikonge: Watakaoihujumu "No reforms No election" hawatavumiliwa

    Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Sikonge, mkoani Tabora, Felix Liata, ameendelea kusisitiza msimamo wa chama hicho wa kutoshiriki uchaguzi bila kufanyika kwa mageuzi ya kisiasa na kisheria, akiwataka wanachama na viongozi kusimama pamoja katika msimamo huo...
  14. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Oscar Oscar: Ipatikane tume huru ya uchaguzi, kurudisha heshima ya upigaji kura

    Mtangazi wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM Oscar Oscar amezugumza pointi nzuri sana, kuliko wale machawa wakina Kitenge kufika hatua ya kuimba hadi nimbo za CCM mbele kwa mbele. =================== Kwa Nchi kama ya kwetu idadi ya wapiga kura inapaswa kuongezeka kuliko kupungua kama...
  15. R

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Ninakiri juu ya Dhambi ya kumleta Lowassa CHADEMA. Watanzania tumekusamehe, ubarikiwe

    Hellow Tanganyika!! Akihojiwa kuhusu ushirika wake kumleta chamani Lowwassa, amedai ,Yeye na Mnyika walipewa taarifa juu ya ujio wa Lowassa mwishoni kabisa, hivyo wasingekataa, Alipoulizwa kwanini binafsi hakujiondoa kama Dr Slaa, amedai kuwa Dr Slaa alishiriki mchakato mzima wa kumleta...
  16. OC-CID

    Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

    Kutakuwa na mdahalo wa wagombea uenyekiti wa Chadema leo kuanzia saa 3:30 usiku pale Star Tv. wagombea wanaotarajia kuwepo kwenye mdahalo huo ni pamoja na jabali wa siasa, Tundu Lissu pamoja na Odero Odero. Freeman Mbowe hatahudhuria mdahalo huo kwasababu ambazo zipo nje ya uwezo wake...
  17. Mzee wa Code

    Rais Samia anatuonyesha Hakuna Mbadala wa CCM Katika Siasa za Tanzania

    Katika mazingira ya kisiasa ya sasa nchini Tanzania, chama ni kimoja tu kinacho weza ongoza Watanzania: Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kilichozaliwa kwa misingi ya umoja, maendeleo, na mafanikio ya kitaifa, CCM kimekuwa kikiongoza Tanzania tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977. Kwa miaka mingi...
  18. Cute Wife

    Pre GE2025 DC Magoti akabidhi kipaza sauti kitangaze mikutano yake

    Wakuu, Vitu vingine mpaka vinachekesha, ni zaidi ya vituko!:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: ===== Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
  19. Mindyou

    LGE2024 Dar Es Salaam: TGNP na LHRC zaungana kutoa elimu na kuwahasa wananchi kushiriki kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za mitaa

    Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, wananchi wamehimizwa kushiriki kikamilifu katika kampeni za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi. Wito huo umetolewa na Afisa Uchaguzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Maduhu William...
  20. Waufukweni

    Simba na Yanga acheni kutumika vibaya, kuibeba CCM, sasa hii "Watoto wa Mama" ya nini?

    Kuna ajenda gani kati ya Rais Samia na Vilabu vya Simba na Yanga?, Wanatumika kisiasa na kufanya kampeni kabla ya wakati Kuna namna CCM wanawatumia hawa wasemaji wa vilabu hivi pendwa nchini kujinufaisha kisiasa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi, badala ya kuwekeza nguvu kwenye miradi ya maendeleo...
Back
Top Bottom