Wakuu
Mambo yanazidi kuwa mengi, mkuu huy wa vipindi kwa hiki anachokifanya tutegemee usawa katika kuripoti taarifa za uchaguzi mwaka huu?
Au na yeye anataka kugombea? basi angekaa pembeni kabisa.
===
Mkuu wa vipindi Clouds TV, Dotto Bahemu akielezea mafanikio na mwitikio mkubwa wa wananchi...
Ni kwasababu ya sera zake nzuri za kitaifa na kimataifa na mipango mikakati yake bora na muhimu sana inayolenga na kukusudia mabadiko ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote kote ulimwenguni?
Ni kwa sababu ya umadhubiti, bidii, uadilifu na umahiri wa viongozi wake...
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya sauti ya Watanzania jinsi tunapoelekea kwenye uchaguzi kazi yao ni kumkosoa Mbowe tu au kutoa mijadala yenye kuchonganisha ndani ya chama kisambaratike.
Je, wanatumiwa au wameishiwa hoja au wanasimama upande upi hasa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.